kuku

  1. W

    Sheikh Ponda: Mtu akikusanya matrilioni alafu akajenga banda la kuku huyo ni fisadi, BAKWATA wamekusanya matrilioni yako wapi?

    Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na BAKWATA leo Machi 12, 2026 amewavaa vikali BAKWATA juu ya matrilioni ya fedha wanayoyapata lakini...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wale wanaopenda biashara ya kuku aina ya kuchi chimbo hili hapa

    Wakuu kama mjuavyo nikienda mahali huwa napenda kuwajulisheni namna kulivyo. Bila shaka mnajua wazi mimi ni mdau wa kilimo na ufugaji (mdau haswa sio mbabaishaji) Huko kwingine tupo tu kwa sababu tunaishi dunia ya watu wa aina zote but kila nikifungua jf muhimu niingie jukwaa la kilimo na...
  3. Brayan_Jk

    Utatumia zaidi ya milioni 100 kufuga hawa kuku 10,000

    Habari wadau wa JF,kama wewe ni unataka kuanza ufugaji wa kuku na unafikiria uanze wapi?....Jibu ni rahisi anza na Fuga App. Itakusaidia kujifunza na kusimamia shamba lako kiurahisi sana Ukiwa na App hii itakusaidia kujifunza kuhusu Ufugaji wa kuku maana kuna kipengele cha "Jifunze" ambacho...
  4. alphonce.NET

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara aina ya sasso na kloila. Wanakua haraka, wavumilivu dhidi ya magojwa, wanafaa kwa nyama na mayai Wanapatikana kila Jumatatu, bei Sh 1,800 Umri siku 2 Tupo Lugela - Kahama. Tunasafirisha kwenda maeneo yote kanda ya ziwa Simu: 0767659145, 0787659145
  5. RMK Freelancers Agency

    Kama wewe ni mfugaji wa kuku wa nyama au mayai, njoo tukuongeze mauzo.

    Kama wewe ni chicken farmer unayefuga kuku wa mayai au nyama, au unafanya biashara ya kuuza mayai au kuku wa nyama kwa jumla, na unachangamoto ya mauzo au unataka kuongeza mauzo kwenye biashara yako. Ninaweza kukusaidia kupata buyers wa uhakika kama restaurants, hotels, supermarkets, catering...
  6. alsam

    Kuku wakubwa wa kienyeji

    Habarini wadau Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa. Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza mayai tu tray moja ni 15K. Sasa nimepiga hesabu naona kunua makoo ni rahisi kwa mazingira niliopo...
  7. alphonce.NET

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    TUNAUZA VIFARANGA WA KUKU CHOTARA AINA YA KROILA, BEI SH 1,500 WANAPATIKANA KILA WIKI UMRI: SIKU 2 CHANJO: MAREK'S TUPO KAHAMA, TUNASAMBAZA MAENEO YOTE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA 0767659145 0620246040 0787659145
  8. Sasso

    Msaada wa Mawazo na Wadau wenye uhitaji au Interest kwenye Kuwekeza kwenye ufugaji hususani kuku

    Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja. To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
  9. A

    KERO Kuna harufu mbaya na kali katika Soko / Machinjio ya Kuku Shekilango (Dar es Salaam)

    Ukipita barabarani maeneo ya Shekilango unakutana na harufu kali sana ya uozo inayotoka machinjio ya kuku yaliyopo ndani ya Soko la Shekilango. Hivi Manispaa husika Ubungo / Kinondoni wameshindwa kudhibiti hali hii? Afya za walaji wanaoenda kununua na kuchinjiwa kitoweo cha kuku ikoje? HAPO...
  10. R

    Changamoto ya mafua na uharo kwa kuku

    Habari zenu wadau. Naomba kupatiwa dawa mujarrab ya kutibu ugonjwa wa mafua na uharo kwa kuku wa aina zote maana kwangu hili tatizo lishakuwa sugu. Muwe na siku njema
  11. M

    Kuku wakuchoma wakienyeji Dar wapi wanauza?

    Habar wakuu naomba mnijuze sehemu Gani dar ntapata kuku wakuchoma wakienyeji na ndizi choma,,msaada wenu
  12. I

    Kilo 1 ya Nyama ya kuku Chotara au Kienyeji Buchani ni bei gani?

    Naomba kwa wazoefu wa mikoa ya Dar, Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya mnipe uzoefu wenu. Wafugaji wengi wa kuku wanauza kuku kwa mazoea sana, mnunuzi anakuja anamshika anamtikisa kidogo hivi anakadiria uzito alafu mnaanza kubishana bei. Ila naona huu ni wizi wa hali ya juu. Naomba nipate uzoefu...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Kuna nyumba hapa wanachinja kuku na kufanya tafrija Kila wakisikia kiongozi au mke/mume wa kiongozi amefariki

    Hamjambo! 1. Kuna nyumba hapa mwaka mpya na Christmas hawakusherehekea. 2. Hawakupika chakula cha maana. 3. Lakini Kila wakisikia taarifa msiba ya kiongozi wa kiserikali wanafanya tafrija. Wananunua pombe, wanapika chakula kizuri, wanachinia kuku. 4. Wanaweka Muziki. Katafrija kadogo kwa...
  14. Brayan_Jk

    Una malengo ya kuanza ufugaji kuku 2026? Zingatia haya kabla hujawekeza hela yako kuepuka hasara

    Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu, Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza ufugaji wa kuku kwa matumaini makubwa, lakini wengi wao wanakata tamaa njiani kutokana na hasara ambazo...
  15. M

    Kiongozi wa Hamas hakamatwi kama kuku

    Nchi ya kiislam hawezi kiongozi wake kukamatwa kama kuku kama vile Maduro.
  16. M

    The law is not neutral. Rais wa dola huru anakamatwa kama kuku mataifa mengine yapo kimya.Usa who are you?

    Marekani imekiuaka sheria za kimataifa. Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa. Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
  17. M

    baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

    Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
  18. Brayan_Jk

    Unajua ni Faida kiasi gani umepata kwenye Ufugaji wa Kuku mwaka 2025 mzima?

    Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara Pakua Fuga app Leo Playstore Fuga - Apps on Google Play
  19. ELI COHEN

    At least naonaga posts za wazungu huko X hata kama ni consipracy ila ina mashiko, ila humu mtu ana post vitu kuntu ukimchallenge kidg anaishia kukutus

    Ukiwa challenged haimanishi mtu amedharau tafakuri yako, lakini namna unavyo react ndivyo inavyo prove ukomavu wa fikra yako. FACTS NO FEELINGS
  20. Brayan_Jk

    Tulipitia hili kosa kwenye Ufugaji wa Kuku ili wewe usilirudie

    Wengi tunadhani tutakumbuka tarehe za Kuku wetu chanjo kichwani,lakini sio kweli , Kama Young Lunya alivyosema "Kichwa kina vitu vingi" Ukweli mchungu ni kwamba unaweza kusahau kuwapa kuku wako Chanjo ya Tsh 8,000 alafu ikakuletea hasara ya kupoteza kuku wenye thamani ya zaidi ya Tshs 1,000,000...
Back
Top Bottom