kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Al masry hawakufungwa kisa kukosa ubora bali ubovu wa pitch, CAF ichukue hatua zaidi

    Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Katika kujitafuta uliwahi kufulia hadi kukosa jero ya chapati ? haya ni mafunzo niliyowahi kuyapata na jinsi nilivyojipata upya

    Kuna watu wanaweza kuyaona maisha haya ni sinema ila kuna wengi huyapitia. Kwenye kujitafuta safari huwa ina mabonde na makorongo, kuna muda hadi mtaji unaisha ama umeibiwa unarudi zero kabisa. Kwenye hustle zangu niliwahi kupatwa na hii hali, yaani nilikuwa mtupu kujumlisha na madeni...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Tatizo la Tanzania ni Kukosa Viongozi Wenye Akili na Maadili?

    Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumepita na marais, mawaziri, wabunge na viongozi wa kila aina—lakini matatizo yetu yamebaki kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kukosa au kucheleweshwa huduma kila mara katika taasisi za serikali kwa sababu mtandao hakuna au uko chini ni jambo la hovyo sana

    Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Kukosa akili kwa CCM na System kunazidi kuthibitisha Uhalali wa Ajenda ya Chadema kuhusu No Reforms No Election.

    Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema. Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa. Wakati Maofisa wa System wakienda kumwaga vitu vya kemikali kwenye Ofisi za Chadema Mbeya kuwatisha Wanachadema na Wanambeya kuacha...
  6. JamiiForums Tanzania Kumegeka kwa CHADEMA ni matokeo ya uongozi mpya kukosa maono, kukosa angenda za kuiunganisha na kukurupuka

    Sote ni mashuhuda kwamba tangu uongozi mpya kuchaguliwa, Chadema imekua ikiendeshwa kwa matamko na press conferences ambazo kimsingi nyingi zililenga kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi wa chama wasio na ajira, waliojificha nyuma ya kuomba kuchangiwa pesa kwaajili ya matumizi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko mwanamke akikosa

    Kutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Watawala wanaogopa kukosa madaraka kuliko kumkosea Mungu

    Video inajitosheleza!
  9. JamiiForums Tanzania Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

    1. Watu hawana upendo kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu. 2. Watu hawana uvumilivu kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu. 3. Ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu. 4. Watu hawana amani kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu. 5. Watu hawana ustahimilivu kwa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kwa kilichotokea Jana pale Durban hasa kwa Stellenbosch FC kukosa Haki zao katika Matukio Mawili ya VAR tunaamini kuwa BAHATI ipo Maishani?

    Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania walioumia wakati wakileta fujo Kisutu jana wanaendeleaje?

    Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana. Hata hivyo, je, wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani? Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu...
  12. JamiiForums Tanzania Nikimuangalia Lissu na Maria Sarungi namuona Kibwetere alivyowaangamiza wafu wake kwa kukosa maarifa

    Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa maarifa yeye akatokomea kusiko julikana. Hivi sasa hilo jambo naliona kwa wafuasi wa chadema...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa bongo ni kukosa akili au ni uvivu wa kufanya utafiti?

    Nimeona wengi wakiizungumzia mechi ya Simba na Stellenbosch kwamba Simba awe makini kwani siyo kama alivyokutana na Almasry. Sababu ni kwamba wapinzani wa sasa wa Simba wamemtoa Zamalek! Ni napenda niwaulize hao wachambuzi,Je walichukua muda wao kutafiti matokeo ya hivi karibuni kati ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kukataa neno "Awamu ya Sita" kwa kukosa ilani ya chama na Kukubali "Awamu ya Tano" iliyokuwa na Ilana ya chama

    Katika kipindi hiki cha siasa za Tanzania, mjadala kuhusu awamu ya sita unazidi kuibuka, hasa kutokana na matendo ya serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia anajiita yuko katika kipindi cha awamu ya sita, lakini ukweli wa mambo unaonyesha kuwa uongozi wake unategemea zaidi Ilani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

    Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka? kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi? Fabrice konokono Ngoma pale kati...
  16. JamiiForums Tanzania Kama ni mwanaharakati wa fedha za mtandaoni hutakiwi kukosa hivi vitu

    Habari wakuu Kama kichwa kinavyojieleza vitu hvyo ni kama vifutavyo ✅Good profile ✅Goodsite kama vile upwork,fiverr na zingineezo ✅Skills ✅Mullavid VPN ✅Tor browser ✅Crypto wallet kama vile binance ✅burner phone ✅Proxy 5 ✅Good OPSEC ✅RDP ✅Cc cleaner Vingine tuendelee kuvishusha kwenye comment...
  17. JamiiForums Tanzania Kitendo cha CCM kulazimisha mkutano ufanyike stendi na kusimamisha shuhuli wakati viwanja vipo ni kukosa akili.

    Hawa ccm naona kwa sasa watu wamewachoka jana kahama waliamua kulazimisha mkutano wao na wasira ndani ya stendi ya shinyanga kahama ambayo inashuguli nyingi za watu. Mabasi yalilazimisha kupaki nje ya stendi ili kusubiri wateja wao. Sasa cha kujiuliza wakati kahama kuna kiwanja kikubwa ambacho...
  18. R

    JamiiForums Tanzania KERO Ni aibu kwa mji wa Himo toka Halmashauri ya Moshi kukosa Taa barabarani, ili hali wananchi wanalipa kodi

    Hallo. Kama title inavyojipambanua. Kati ya miji midogo inayokuwa ndani ya Halmashauri ya Mji wa Moshi, ni pamoja na Mji wa Himo ambao uko karibu na Mpaka maarufu wa Kenya na Tanzania(Holili). Mji huu umekuwa na viashiria vingi kuonyesha kuwa unakua kutokana na shughuli mbali mbali za kiuchumi...
  19. JamiiForums Tanzania Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  20. JamiiForums Tanzania Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki. Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…