Kaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila...