kukatika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika

    Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, huku kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano. Hii ni kero, tumejaribu kuwasilisha kero zetu wanasema wanakuja kuongeza transformer Kwa ajili ya kuongeza umeme lakini hakuna...
  2. A

    KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  3. A

    KERO Tatizo sugu la kukatika kwa umeme Wilaya ya Mvomero huku mamlaka zikiwa kimya

    Sisi wakaazi wa Wilaya ya Mvomero tunaopata huduma ya umeme kuanzia Kituo cha msamvu kuja Turiani, laini ambayo inasambaza umeme maeneo mengi zaidi ya Wilaya ya Mvomero kuanzia mkundi, halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Dakawa, Dumila, Gairo, Mvomero, Turiani, Madizini, Kibati mpaka Pemba, kuna...
  4. Tundusami

    Mwanamke anavaa shanga na hajui kukatika ni matumizi mabaya ya shanga

    Raha ya shanga mwanamke ajue kuzungusha kiuno asa unakuta mwanamke kavaa shanga afu kitandani gogo miuno zero.
  5. Hance Mtanashati

    Hatimaye tumeletewa Shumileta Part 3, Kiu ya mashabiki inaenda kukatika

    Kwa upande wa filamu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania,basi kwenye hiyo listi Shumileta haiwezi kukosa hata iweje. Stori ya filamu inasisimua sana na iliishia sehemu ya pili, na baada ya mashabiki kuomba muendelezo wake hatimaye gwiji Mussa Banzi anachia rasmi sehemu ya 3 ya filamu hii na...
  6. Mshana Jr

    Kukatika kwa kiungo: Nani anamshauri nani Tanganyika!

    Kwenye kabumbu kiungo mchezeshaji akiyumba timu lazima ichezee kichapo ama ifanye vibaya Maziwa ya ng'ombe yako ya aina mbili, fresh na mtindi.. Ukisikia maziwa yamekatika maana yake sio fresh na sio mtindi Mbege pia inakatika Pombe pia inakatika Hata soda pia.. Ukiifungua haifanyi psii...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kitendo cha Tshabalala kukatika kwenye utambulisho wake imenikwaza sana

    Inaonekana jamaa alikuwa anaipenda sana Yanga siku mingi. Sio kwa mauno yale wakati wa kutambulishwa.
  8. ELI COHEN

    Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  9. gcmmedia

    KERO Kukatika umeme jijini Mbeya kumezidi

    Wiki hii leo ni siku ya 5 kila siku umeme unakosekana kutwa nzima jijini Mbeya. Zaidi siku ya hapo leo 09.08.2025 muda huu saa 4:40 usiku bado umeme haujarudi tangu ulipokatika majira ya saa 1 asubuhi. Cha kushangaza, hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na TANESCO. Kuna nini?
  10. haszu

    Tulipokua wadogo Nilikua nikishindanishwa na dada zangu kukatika.

    Kuna mambo nikiyakumbuka naona yalikua ya ajabu sana sema ni vile kukaa kwenye nyumba yenye wadada wengi, yani tulikua tunashindana ni nani anakatika sana, tunafunga kanga kiunoni wanaimba tunacheza aah🙌🙌🙌 Lile suala lingeniletea athari sana, hasa ukizimgatia na muonekano wangu.
  11. figganigga

    Tanesco waomba radhi kukatika kwa Umeme gridi ya Taifa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa rasmi ya hitilafu kubwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa, iliyotokea majira ya saa 2:36 asubuhi na kusababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika mikoa yote inayounganishwa na gridi hiyo. Kwa mujibu wa TANESCO, timu ya wataalamu inaendelea...
  12. inamankusweke

    ITV na shida ya kukatika matangazo DStv

    Wakuu,nikiwa kama mtu nipendaye kuifuatilia habari za ndani,hupendelea kutazama ITV kutokana na mfumo wa taarifa yao ya habari Lakini linalochosha kwenye kisimbusi cha DStv ni kukatika mara kwa mara kwa matangazo na kuonekana ujumbe 'technical difficulties'...ninachojiuliza ni ITV hawajui hili...
  13. kavulata

    Kwanini umeme unaendelea kukatika hata baada ya bwawa kubwa na gesi nyingi Tanzania?

    Wengi Tanzania, East Africa, SADC, Africa na Dunia nzima tuliamini Tanzania imejiunga na mataifa yenye umeme mwingi wa uhakika baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuwa kuwa na kiasi kikubwa cha gesi, lakini wapi bwana shida Iko palepale na vilevile. Umeme unaendelea kukatika...
  14. feyzal

    Hivi kwa Tanzania kuna sehemu inaongoza kukatika katikaumeme kama mikwambe?

    Habari ndugu zangu,bila shaka wazima. Niende kwenye bandiko la swali langu, TANESCO hivi mnajua kua mna boa sana? Haiwezekani kwa siku mnakata umeme zaidi ya mara 30 mnataka kuunguza vitu ama vipi?. Wakuu nilikuja mikwambe Jumanne kuna kaka yangu ana umwa nikawa nimekuja kupoa nae ,ajabu sana...
  15. GRACE PRODUCTS

    Nywele kukatika kwa wanawake: Tatizo, Sababu na Suluhisho.

    Nywele kukatika ni tatizo linalowakumba wanawake wengi, na linaweza kuathiri kujiamini na muonekano wa jumla. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mengi, ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya bidhaa za nywele, lishe duni, na matatizo ya kiafya. Kila mtu anayekatika nywele ana sababu tofauti na...
  16. Mwl Mwanaharakati

    Andazi! Kwanini mtu achague andazi?

    Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC) inavyoeleza; kila kitu hutokea kwa sababu na kila athari huwa na sababu maalumu. Aristotle anaona kuwa...
  17. kmbwembwe

    KERO Hivi kukatika maji Dar ni shida iko au ni mradi wa mtu?

    Ni kama mwezi umepita tangu wakazi wa dar wametangaziwa kwamba sasa mradi wa kuboresha maji umekamilika. Matarajio ya watu bila shaka hapatakua tena na mgao. Lakini la kushangaza bado kuna mgao wa maji sehemu nyingi za jiji. Kila siku ya pili ninapoishi mimi maji asubuhi yanakatwa. Kwa uzoefu...
  18. meemi

    KERO Kero ya kukatika maji Kawe Ukwamani

    Takribani mwezi mmoja wakazi wa kata ya Kawe tunataabika na kero ya kukatika maji kiasi bila sababu yoyote ya msingi jambo linalotishia mlipuko wa magonjwa kama kuhara na kipindupindu kutokana na uchafu huku wahusika wakikaa kimya na viongozi wa serikali ya mtaa kutoshughulika na kero hii...
  19. lui03152

    Umeme kukatika ifikika jioni

    Nimekuwa nikipata changamoto hii kwa muda sasa kila inapofika jioni taa zinapowashwa umeme umekuwa una kata na kuzima mara kwa mara. Na baadhi ya vifaa kama vile AC kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme kukosa nguvu wakati mwengine baadhi ya taa kufifia mwanga. Lakini cha kushangaza...
  20. Mzee makoti

    Barabara ya Bagamoyo eneo JKT Mbuyuni hatarini kukatika/ wachimba mawe

    Wakuu naona ofis ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam au Wilaya ya kinondoni imelala, pale mbele mbuyuni kama unaenda tegeta upande wakushoto karibu na kambi ya J.k.t barabara ya bgamoyo road had kufika mwakani itakuwa imekufa yote au kukatika. Wale wanaochimba mawe wanaikaribia kuikata barabara...
Back
Top Bottom