Amini usiamini Pirates wamefanya vizuri kwenye kundi lao lakini mashabiki wao hawana imani na wachezaji wengi team na haswa kocha wao sasa kumbe CEO wa pirates alikuwa busy kumpa offer nono Bwana Pablo ambaye kakataa akiamini analo jukumu la kukamilisha simba
Siku nasikia kocha huyu wa zamani...