Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote.
Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano.
Soma mwenyewe hapa chini.
"Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya...
Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste mkoani Arusha, jana Desemba 13, 2025 ulifanya kikao cha dharura katika Kanisa la ARCC Sakina, kujadili madai ya Vitendo vya Unyanyasaji vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya Vijana wa jamii ya Kimaasai, dhidi ya Wachungaji wa Makanisa ya Kipentekoste, Wake zao na...
Maandamano yetu yawe ya amani hatupigi kura hadi reform zifanyike sasakm tume ni yao, majaji ni wao unategemea watashindwa ??
Tayari NIDA wamepewa magari 140 ya nini?? ili yasafirishe nini? Kwanini wapewe wakati huu wakufanya uchaguzi?
Njia nzuri na ya amani nikutokwenda kuwachagua ili...
Yer 26:16 SUV
[16] Ndipo wakuu na watu wote wakawaambia makuhani, na manabii, wakisema, Mtu huyu hastahili kuuawa; kwa maana amesema nasi katika jina la BWANA Mungu wetu.
Hapa tunaona nabii Yeremia alipokuwa kwenye hatari ya tishio la kuuawa kwa sababu alitoa ujumbe mgumu kwa watenda mabaya...
Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao.
https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El
Tuliokuwa wakubwa miaka hiyo tunakumbuka sana. Tunakumbuka nini kilitokea na sababu ilikuwa ni nini. Ndo muone kuwa hili genge lina fanya kazi miaka na miaka. Siyo jipya.
Mnakumbuka lengo la kueliminate watu kadhaa akiwepo pia na Mwandosya? Haya mambo watu hamyajui wengi mlikuwa either Mbwinde...
Leo, Agosti 7, 2025, Jaji Hamidu Mwanga anatarajiwa kuendelea kusikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho.
Inatarajiwa leo mahakama itasikiliza...
Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu.
Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa.
Mambo yakawa si mambo mama anasema anasema muache mzee anasema utasepa nae ndoa ikaingia mgogoro...
Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha.
Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira.
Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
1. Ndani ya CCM hakupo shwari kuna mpasuko mkubwa.
2. Wanalalamika mgombea wao kujiteua yeye mwenyewe kimaigizo ndio maana hakuna anaye mnadi zaidi ya machawa.
3. Serikalini nao wamechoshwa na CCM hasa uongozi wa sasa ndio maana wanafanya mambo hovyo kuichafua CCM.
4. Vyombo vya ulinzi navyo...
Wakuu habari .kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoelezea Nina gari yangu aina ya Wish old juzi imeanza tabia ya kugoma kurudi nyuma je wabobevu tatizo laweza kuwa ni nini?
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya:
"CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu arudi".
Msingi wa kauli hii na ile ya hivi karibuni ya Waziri Mchengerwa na nyinginezo za aina hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.