Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa.
Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ?
Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
Tunaye rais mwenye huruma kwa watanzania na hapendi fedha za dhuluma (alisema Mwigulu),
awasamehe tu hawa watanzania jamani :BBRUHH:
==========
Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Vicent Anney ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote waliokopa mikopo ya Serikali ya asilimia 10 kupitia...
Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala
Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama operesheni ya kasi na usahihi wa hali ya juu.
Simulizi hilo linaeleza kuwa shambulio la ardhini...
Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria.
Watu wajinga na wapumbavu huwa ni dhaifu sana kuliko mnavyofikilia niliwahi kusema haya huko mda wote kwa sasa hawana amani wapo vitumo joto vitumbo joto...
Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa ni kukamatwa kwa Maduro! Ila ukitumia jicho la tatu kwa kufuata mtiririko ufuatao utagundua ni mchongo ili kuipa hadhi Marekani pamoja na Trump!
Hii ni jana:
Maduro says Venezuela open to US talks on drug trafficking...
Mambo vipi wana JF....
Wadau, hivi karibuni Msigwa na wenzake wanalalamika kuwa wanaotukana serikali mitandaoni ni "maroboti" waliotumwa na wapinzani ili kuchafua picha. Lakini ukiangalia vizuri post ya Jamii Forums Instagram kuhusu kukamatwa kwa Mzee Clemence Mwandambo, wanaoshangilia na...
Hati ya kukamata ikishatolewa na ICC intepol wanamamlaka ya kukamata.
Kama alivyokamatwa Rodrigo Durtete aliyekuwa Rais wa uphilipino kwa makosa dhidi ya uhai wa binadamu. Ndivyo hivyo wahalifu wengine watakamatwa na Interpol.
Rodrigo Durtete mpaka sasa yupo the Hague ananyea ndoo.
Habari za jioni wakuu!
Mauaji yaliyotokea October 29 2025 hapa nchini, wengi wetu matumaini ya kupata haki yako ICC, ila kwa jinsi mahakama hiyo inavyofanya kazi, ni ngumu kupata haki huko.
Kwanza ICC haina 'Jeshi wala Polisi'
Inategemea majeshi ya nchi husika kumkamata mtu, sasa kwa jeshi...
Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania.
je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo
=================
Marekani imesema...
Bila Salamu.,
Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha...
Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua!
Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe...
Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith, Aliyechukuliwa tarehe 31/10/2025 na askari waliovalia kijeshi wakatiwa maandamano amepatikana ametupwa...
Kikwete yuko kimya. Rostam yuko kimya! Samia kadhalika. Tunajua. Hawa ndiyo waliokamata na kuikamua nchi mbali na kuielekeza pabaya.
Chama chao, kimya. Serikali, yao! Kunani? Kwanini mtufanya tuanze kubunia wakati mnaweza kujitokeza na kujibu. Wahusika, chonde chonde, jitokezeni mtuepushe na...
Wakuu, katika hali isiyo ya kawaida, Waziri mkuu wa Israel leo ametumia njia isiyoyakawaida kuelekea New York, kitu kilichoibua mjadala juu ya waziri mkuu huyo kukimbia kukwepa kupita katika anga la nchi za Ulaya ili kukimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita.
Netanyahu aliondoka Telaviv...
Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi.
Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo...
Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
Hii imekaaje wakubwa, FBI wamefanikiwa kumkamata muuaji wa Charlie Kirk wakitumia chini ya siku moja tu kufanikisha hili.
Ila, miaka 8 sasa imepita tangu mnadhimu mkuu wa Upinzani Bungeni, mtu mwema na Mbunge wa wakati huo Tundu Lissu ashambuliwe, hakuna hata suspect tu hadi sasa.
Hii ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.