kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe

    Habari wakuu, Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe kwa kutumia cheti chake? Naomba pia kujua changamoto kubwa au vikwazo ambavyo unaweza kukutana navyo katka kufungua dental clinic. Shukrani.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamka vibaya, nakusudia kwenda kumuona Waziri wa Michezo na Waziri wa Viwanda na Biashara kujua Transformation ya Simba itakamilika lini

    Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken. Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited? Mwaka zaidi ya wa3 bado...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli kuhusu wanyonya damu

    Zamani ilisemekana kulikuwa na watu kazi yao ni kunyonya watu damu na story nyingine zinasema walikuwa pia wakichuna ngozi ila sasa kama ni kweli nataka kujua Ilikuwa ni watu binafsi wakifanya hio biashara au walikuwa wakitumwa na serikali? Siamini kama serikali ingeweza kufanya hivyo sio rahisi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Mahindi eneo ulipo

    Asalaam, Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo. Ahsanteni.
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

    Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

    Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
  7. JamiiForums Tanzania Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  10. JamiiForums Tanzania Wadau samahani naomba kujua Njia ya kusafirisha Honda kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma

  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujua duka la vitabu ambako nitapata vitabu hivi.

    Kama kichwa cha habari hapo juu naomba mtu anaeweza kuniambia duka la vitabu kwa kupata vitabu hivi
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei za Electric Motor na eneo zinapopatikana

    Wakuu Asalaam, Leo nimeamka na majanga, kiwanda changu kidogo kimeungua Electric motor yake Naomba kujua Motor ya HP 20,25 na 30 zinauzwaje na eneo zinapopatikana kwa mtaalam. Nashukuru kwa muda wenu.
  13. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba kujua kuhusu shule ya Turkish Maarif School Of Zanzibar

    Habari wanaJamiiForums! Naomba nisiandike mengi, naomba kupata taarifa kuhusu shule Turkish School of Zanzibar. Natamani kujua mazingira ya shule, ada na mengine mengi
  14. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jina la huu wimbo tafadhali

    Habari ya jumapili wana wa Mungu. Huu wimbo nineusikia redioni nikaupenda, sasa tatizo sijui unaitwaje ili niupakue
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujua adhabu kisheria ya kesi ya kuisababishia hasara kampuni

    Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria. Natanguliza shukrani
  16. JamiiForums Tanzania Kujua mtu aliyekupigia kwenye Line ya Tigo kama haukuwa hewani

    Wakuu nahitaji Kujua Kama kuna namna ya kuset ili Kujua mtu aliyejaribu kukupigia wakati haupo hewani kwenye mtandao wa tigo
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kujua kuna namna elimu ni chanzo cha umasikini

    Wadau mambo ni gani aseee? Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA. Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi... Kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, usifikirie kwamba nimekuja kujigamba au kujionesha hapana nasema ukweli ili...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tunajua Mungu alimuumba Adam; je ulipata kujua ilitokeaje Dunia ikawa na watu wengi? Ni hatima ya watu weusi?

    Tupate majibu yako na huku ukitipatia chanzo chako. Mm chanzo habari yangu ni sunnah.com ambapo utasoma ktk Hadith ya 119 ya Mishkat Al-Masabih
  19. JamiiForums Tanzania Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye kujua hili

    Kama kuna mtu au wataalamu wa kupuliza dawa majumbani ninaomba tuwasiliane kuna wadudu wanakula mbao za dali ninaitaji sana kama yupo tuwasilane kwa kazi hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…