kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  2. JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro unasubiri nini kujiuzulu kwa kashfa hizi za Jeshi la Polisi?

    Mzee Siro kutokana na uzoefu wako wa Operations mbalimbali ulizosimamia nchini kwa mafanikio makubwa tulijua unaweza kuliongoza jeshi la Polisi katika weledi mkubwa lakini matokeo yake umeonekana kushindwa kabisa kuja na mbinu mpya na za kisasa kuendesha jeshi hili. Jeshi linakuwa na kashfa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia hakupaswa kujiuzulu kwenye mchakato wa kichama bali pale atakapochukua fomu kwa Katibu wa Bunge

    Dkt. Akandunduma anasema kimsingi Dr Tulia hakupaswa kujiuzulu nafasi ya Naibu Spika katika mchakato wa mchujo ndani ya chama bali pale atakapochukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika kwa Katibu wa bunge la JMT. Je, yuko sahihi. Binafsi nimeunga mkono hoja ya Dr Akandunduma.
  4. JamiiForums Tanzania January Makamba, ulianza na ukame, ukaja na kuchoka kwa mitambo, leo umekuja tena na matengenezo, ni vyema ukae pembeni

    Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi. TANESCO wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Job Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu kwa mtu asiyehusika ni bahati mbaya au makusudi?

    Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu nafasi yake kwa kuandika barua kwa BUNGE na kuisaini. Spika atahesabika kuwa amejiuzulu baada ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai: Bunge ladaiwa kufuta taarifa kwa umma ilizochapisha katika tovuti yake na ukurasa wake wa Twitter

    Kufuatia kuibuliwa mahakamani kwa barua ambayo inadaiwa iliandikwa na Job Ndugai aliyekuwa spika wa bunge kwenda kwa Katibu wa Bunge ikimtaarifu kuwa anajiuzulu uspika kuanzia tarehe 06.01.2022, bunge la JMT limefuta taarifa kwa umma iliyozitoa tarehe 07.01.2022 kukiri kupokea nakala ya Barua ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge alilikiri kupokea kopi ya barua ya kujiuzulu Ndugai aliyopeleka CCM

    Hii barua ndiyo tuliyopewa wananchi.
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama imeamua kutuona watanzania hatuna ufahamu?

    Nakumbuka barua ya kujiuzulu ya Spika Ndugai iliandikwa kwenda kwa Katibu wa CCM na Nakala kwa Katibu wa Bunge. Leo Mahakama inatupilia mbali kesi ya kupinga kujiuzulu na kutuambia ilikuwa halali kwa sababu barua iliandikwa kwenda kwa katibu wa bunge na nakala kwa katibu wa CCM. Kuna nini...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa

    Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai. Mahakama imeeleza kuwa kesi hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya James Mbatia kupinga mchakato wa Job Ndugai kujiuzulu Uspika

    Kesi ya Kikatiba namba 2 ya Mwaka 2022 imeshaanza kusikilizwa hapa Mahakama Kuu upande wa Jamhuri unawakilishwa na Jopo la mawakili wafuatao. 1. Gabriel P Malata - Solister General (Wakili Mkuu wa Serikali) 2. Mack Lwambo 3. Mussa Mura 4. deodatusi Nyoni 5. Konsiano Lukosi 6. Hangi Chana 7...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi kuhusu kujiuzulu Spika: Mbatia atabezwa, lakini ana hoja

    Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ametinga Mahakama Kuu ya Tanzania na ameshafungua kesi ya kikatiba kuhusu kujiuzulu kwa Spika Job Yustino Ndugai. Kwa taarifa nilizonazo binafsi, tayari kesi husika imeshasajiliwa na imepangiwa jopo la Majaji watatu la kuisikiliza kesi hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo. Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  14. JamiiForums Tanzania Pamoja na Wanachadema kufurahia anguko la Ndugai kujiuzulu Uspika, Ndugai hajapoteza kitu

    Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa. Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo. Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama...
  15. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

    Naibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo wazifanye kama wasaidizi wa Rais wa Jamhuri wa Muungano na si vinginevyo. Kuhusu Bunge, amesema kuna watu...
  16. JamiiForums Tanzania Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

    Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi). Taarifa ya Katibu wa Bunge...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ndugai yupo wapi? Je aliandika barua ya kujiuzulu??

    Ndugai yupo wapi?? Je aliandika yeye hiyo barua. Nimepenyezewa Ndugai yupo kizuizini. Hata ile barua iliyoandikwa hajaandika yeye.
  18. JamiiForums Tanzania Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko

    Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Ndugai. Ulianza mjadala kwamba kwanini ktk barua yake ameandika herufi kubwa pekee? KIMSINGI kilichosambaa mtandaoni siyo barua bali ni TAARIFA KATIKA VYOMBO VYA HABARI ambayo ni sawasawa...
  19. JamiiForums Tanzania CCM imetudhihirishia kuwa ni chama Dola. Rais na Spika ni watu tofauti na Taaisisi ya Urais na Bunge ni vitu vingine

    Kitendo cha Spika wa Bunge la JMT kuandika barua yenye utata ya kujiuzulu na kisha kujitokeza hadharani kutamka kumwomba radhi raisi Samia Hassan, kina maana kubwa. Job Ndugai ametojitokeza ameomba radhi na kisha amejiuzulu na kuondoka. Huyu Spika si yule marehemu Adam Sapi Mkwawa na wala si...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mbatia, Ndugai atafika mbele ya Bunge Februari kujiuzulu, ameanza kujiuzulu dhamana aliyokabidhiwa na chama kwa sababu hiki siyo kipindi cha Bunge

    Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…