kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuwa Licha ya Kujiuzulu na Kufukuzwa CCM, Mpaka Sasa Dr.Nchimbi Bado ni VP Mpaka Tar. 4 Sept?. Kufutwa Uanachama CCM, Hakuathiri Mafao Yake!

    Wanabodi, Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu kujiuzulu ni kukua kwa demokrasia nchini, ni kama Uingereza tu. Tuambiwe makosa yao

    Kama na sisi tunaweza kumfanya makamu wa Rais ajiuzulu kwa amani kabisa ni dalili kuwa na sisi tumepevuka. Mambo kama haya hayapatikani sana nchi za Afrika bali Ulaya, NKorea, Japan na nchi nyingine za mbele huko. Pale Uingereza ndani ya miaka 10 wamejiuzulu viongozi wao wakuu zaidi ya 4...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Kufukuzwa Uanachama, Upi ni Uhalali wa Yale Yaliomo Kwenye Notisi ya Kujiuzulu?

    Kwamba nitastahafu siasa kuanzia tarehe 4 Septemba, 2026 Nawaza tu, kama notisi ilikubaliwa, je huyu mwamba ni bado Makamu wa Raisi mpaka 4 September 2026 au kwa kufutwa kwake uanachama amefukuza wakati akiwa kwenye notice period. Wabobezi, wanazi na vilaza ni wengi, ila wote maoni yetu...
  4. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu Kwa Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi

    https://youtu.be/gxG_4KDoO5M?si=d3MdRYaigZxG9xKH
  5. JamiiForums Tanzania Barua ya VP ni Taarifa ya Uamuzi wa Kujiuzulu Sio Ombi!. Taarifa ya Ikulu ni Ombi Limekubaliwa!. Ilipaswa Iwe Rais Amepokea Taarifa Ameridhia!

    Wanabodi Tangu jana nilipoiona ile Barua ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini. Nilipata shock kwasababu niliamini he is the best that we have for 2030. Hata hivyo, licha ya kujiuzulu, kwasababu anayepanga nani...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji radio 47 Kenya: Je, Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, alisukumwa kujiuzulu baada ya kuwataka Watanzania kudai Katiba mpya?

    Mtangazaji wa Radio 47 Kenya, Captain Emmanuel Mwashumbe, ameibua maswali kuhusiana na uamuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na kustaafu siasa kuanzia Septemba 4, 2026. Akizungumza kwenye kipindi chake, Captain Mwashumbe ameeleza kushangazwa na hatua...
  7. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Dk. Nchimbi: Dharau au Utii?

    Uamuzi wa Makamu wa Rais Dk. Emmanuel Nchimbi wa kutangaza kujiuzulu nafasi yake umezua mjadala mzito huku hatua hiyo ikitazamwa kama dharau ya wazi na kukosekana kwa heshima kwa mamlaka ya ofisi aliyokuwa akiitumikia. Badala ya kuonekana kama uamuzi wa kawaida wa kiongozi anayepumzika lakini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kujiuzulu siasa ni ujumbe kwa CCM!

    Nchimbi hata mara moja hajazungumzia CCM na amesema anajiuzulu siasa maana yake ni kwamba kapiga dongo CCM kwa kiasi kikubwa. Sasa kama wewe bado upo CCM jiulize kusudi lako hasa ni lipi! Kwa serikali hii ya wanzanibari pekee na machawa
  9. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi: Mahojiano na Jambo FM

    https://youtu.be/HbPhXOsTTJI?si=hS_Hj3UZBVvvtJij
  10. JamiiForums Tanzania Habari ya makamu kujiuzulu ipostiwe kwenye mitandao ya kijamii?

    Wakuu, Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media? Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa. Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tunajua Dr. Nchimbi kalazimishwa kujiuzulu na hili linaweza kuwa ndio chanzo cha mpasuko mkubwa ndani ya CCM utakaomwondoa Samia madarakani

    Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi sasa, hawa huwezi tena kuwaita watu wa Samia, pamoja na wale wanaowaunga mkono Dr. Nchimbi...
  12. JamiiForums Tanzania Kilicho nyuma ya kujiuzulu kwa Nchimbi: Tetesi, ‘Yuda’, Katiba na mapambano ya ndani ya CCM

    Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Taarifa ya kujiuzulu kwake imetumwa kwenye akaunti zake za X...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Katika nchi zinazojitambua, kumlazimisha kiongozi anaetetea haki za wananchi kama Dr. Nchimbi kujiuzulu kutasbabisha ghasia za kupindua nchi

    NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi ni zama za kujiuzulu kwa barua

    Utake usitake barua yako ya kujiuzulu itakuwa hadharani. Hayati Spika Ndugai, Makamu wa Rais mstaafu Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu wa CCM mstaafu Daniel Chongolo wote walijiuzulu kwa barua. Anayefata atakuwa nani?
  15. JamiiForums Tanzania Makamu wa Raisi kujiuzulu nini chanzo?

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Emmanuel Nchimbi, ametangaza uamuzi wa kustaafu siasa na utumishi wa umma. Nchimbi amesema leo, Agosti 25, 2026, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha kuhusu uamuzi huo pamoja...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Kazungu atangaza kujiuzulu Siasa, akemea uchawa

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CDE Bakari Kazungu, ametangaza rasmi kujiuzulu na kujiepusha na siasa za kukitetea chama hicho katika mitandao ya kijamii. Kazungu, ambaye amekuwa mwanachama wa CCM tangu mwaka 2007 na kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika ngazi ya kata, wilaya, na mkoa...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2027 Countdown Yaanza: Watumishi wa Umma Wanaotaka Viti Wapewa Hadi Februari 10 Kujiuzulu

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza kuwa watumishi wa umma wanaopanga kuwania nyadhifa mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027 wanatakiwa kujiuzulu kufikia Februari 10, 2027. Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon amesema tarehe hiyo ni miezi sita kabla ya uchaguzi na...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu maanake abebe kesi zote za mauaji akabuli kuachia kundi la mauji bila ulinzi wa vyombo haiwezekani kwa hiari hata katiba mpya sahauni

    Mtasubiri sana kujiuzulu Kwa hiari Nani Yuko tayari kubebeshwa lawama zote za mauaji ? Nani Yuko tayari kujikabidhi Icc PEKEE yake ? Utakuwa usaliti Kwa kundi lote na mtandao na washauri wake Nani Yuko tayari kuachilia mpini ashile MAKALI ya Upanga Hata maboresho ya katiba yatafanyika...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanahalisi: Nchimbi agoma kujiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi. Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
  20. JamiiForums Tanzania Hii habari ya Nchimbi kulazimishwa kujiuzulu imekaaje? Dalili zinaonyesha kuna mpasuko mkubwa sana.

    Kama hii kitu ina ukweli basi taifa letu lina mpasuko mkubwa sana👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…