kujiunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Feisal Salum mbioni kujiunga na Simba

    Club ya Simba imeanza rasmi mazungumzo na Azam FC kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Feisal Salum, Taarifa zinaeleza kuwa Feisal ni kipaumbele cha juu cha kocha Fadlu Davids, ambaye anataka kumjumuisha kwenye kikosi chake dirisha hili la usajili la Januari. Wekundu hao wa msimbazi wako...
  2. PreGE2025 Wana CHADEMA Waendelea Kujiunga na CCM Ngara

    Viongozi na wanachama 6 wa CHADEMA Ngazi ya Kata ya Muganza akiwemo Tumain Petro, Mwenyekiti BAVICHA wa Sasa wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa tafrija ya Kusherehekea kukamirika kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Nyamagoma. Sherehe hiyo ilidhaminiwa na Mhe. Ndaisaba George...
  3. Georgia kama Ukraine, Raia wachachamaa wakiandamana kushinikiza kujiunga na umoja wa ulaya(EU) haraka

    Huko Georgia kwa wiki moja sasa raia wanaandamana na kupambana na polisi baada ya chama tawala kusitisha kwa muda mpango wa nchi yao kujiunga na umoja wa Ulaya(EU). Kura mbalimbali za maoni za Georgia zimekuwa zikionyesha 80% ya raia wa Georgia wanataka kujiunga na umoja wa Ulaya na kuwa...
  4. Msaada wakuu: Nili-restore simu, Sasa wakati naingiza email kujiunga tena imekwama

    Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara. Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification yoyote na mbaya zaidi hizo njia zingine kama passkey Sina access nayo ,na hata namba ya simu...
  5. Wale mnaotafuta jinsi ya kujiunga na mpango wa Lottar Green Card Njoo hapa Bureee!

    Nimesikia Radio Moja hapa nchini ikitangaza mpango wa kujiunga na Green Card kuwa single ni 20,000, na familia 30000/- Huu ni wizi kama wizi mmwingine! Ilitakiwa watoe elimu jinsi ya kujiandikisha na sikuwatoa pesa! Wanakusanya pesa nyingi unaweza kukuta hata katika walioomba asipata hata mtu...
  6. E

    Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App

    Habari za muda huu wakuu, Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi) Kwa muda wa miezi miwili sasa...
  7. Waharifu wamepungua nchini Russia baada ya wafungwa kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kepelekwa Ukraine

    Habari za uhakika na kupendeza uharifu sasa umepungua na waharifu wamegeuka kuwa watakatifu. ni baada ya waharifu kufikishwa mahakamani na kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kupelekwa Ukraine tena front line . Tutarajie vita ikiisha Ukraine Russia patakuwa paradiso.
  8. R

    India imekataa Uturuki kujiunga BRICS

    Ni kitu kimeshitusha wengi baada ya India kukataa uturiki kujiunga ndani ya brics, kwa sababu uturuki na Pakistan ni kitu kimoja. Hata hivyo Pakistan nayo iliomba kujiunga ila India ilikataa. https://x.com/TimesAlgebraIND/status/1849545656525803745?t=uHWcI-n4FR2iMTGmlxgAfw&s=19 Hata raisi wa...
  9. R

    Wana CHADEMA waliolazimishwa kujiunga CCM Wana mpango wakurejea Chadema hivi karibuni CCM chukueni taadhari

    Kuna majadiliano na mawasiliano yanafanyika kuhusu utaratibu mzuri wa waliokuwa wanasiasa ndani ya chama cha CHADEMA wakalazimishwa na JPM wahamie CCM wanajipanga kurejea CHADEMA. Mkakati huu unaratibiwa vyema na viongozi wa juu wa Chadema ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu 2025. Wakati huo...
  10. Kujiunga Bachelor ya Uhasibu TIA

    Nili confirm kujiunga TIA siku moja kabla ya muda kuisha na mfumo ulinikubalia vizuri tu, na pia ilikuwa baada ya TIA kutoa orodha ya first round kabla dirisha kufungwa, nisingekuwamo sababu niliyoeleza, sasa sijajua kama mimi ni mwanachuo rasmi wa TIA au watatoa orodha nyingine ili niwe na...
  11. Mwenyekujua namna ya ku confirm chuo cha kujiunga kwenye Multiple selection

    Hello ni wapi na confirm chuo ninacho kitaka kwenye case ya multiple selection? Je ni TCU? Je nikwenye moja wapi ya vyuo? Na process zikoje. Natanguliza shukrani
  12. Zanzibar kujiunga OIC ni lazima, si la Mzee wa CHADEMA tu. Dr. Salmin Amour alipokuwa Rais alishalipitisha na kugonga Mhuri. Muda utaongea

    Salaam Wakuu, Naona kuna watu wanataka kupotosha kuhusu swala la kujiunga OIC kwamba ni la leo. Yule Mzee wa CHADEMA kakumbushia tu Wazanzibari ajenda yao ya Miaka mingi. Swala la OIC ni Ajenda ya Siri ya kila Mzanzibar. Asikudanganye mtu. Mwaka 1992, Dk Salmin akiwa na miaka miwili...
  13. R

    Muhas kujiunga na MD kwa diploma wanapewa nafasi ngapi?

    Nakumbuka kuna idadi ya wanafunzi waliotengewa nafasi za MD kwa diploma qualification. Huwa ni nafasi ngapi?
  14. Jeshi la polisi kutumia mikutano Chadema kukamata jinai ni kuwatisha wananchi kujiunga na Chadema.

    Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
  15. Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  16. A

    Je, nifanyaje niweze kujiunga na NSSF APP?

    Mimi ni mwanachama wa NSSF ninayehitaji kujiunga na NSSF APP tatizo namba zangu wanasema hazihusiani na kadi je nifanyaje? Kingine naweza fanya kazi nje ya nchi na kuweza kuendelea kuchangia?
  17. Maelezo Kutoka Jiku Tech Tips ya Kujiunga na Mafunzo ya Android Development

    Karibu katika safari ya kujifunza kutengeneza android app yaani App za simu za Android, Kujifunza Taaluma hii kuna umuhimu wa mtu kuwa na uelewa wa nini anaenda kufanya na kwa nini. Elimu hii ni moja kati ya elimu ndani ya software development, kwa hiyo kwa kutekeleza mafunzo haya ya...
  18. Msaada jinsi ya kujiunga na space twitter

    Mjadala wa kesho nataka nisikose
  19. R

    Yupo wapi Tundu Lissu? Ni kweli anajiandaa kujiunga CCM?

    Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei. Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
  20. Msaada wa namna ya kujiunga na Alibaba

    Nimekuwa nikijaribu Mara kadhaa kujiunga na Alibaba lakini kila Mara naambiwa hivi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…