kujieleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kimbesa11

    Kwenye huu msimu wa sikuku Wazazi tutunze Hela za Ada za watoto wetu hapo January si vizuri mzazi kuwa na maelezo mengi shuleni ya kukosa ada

    Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu. Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla. Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
  2. W

    GE2025 Kwanini kila ikikaribia au Uchaguzi ukipita huwa kuna Sheria zinapitishwa ambazo zinaminya Uhuru wa Watu kujieleza?

    Kwa nini kila ikikaribia au kila baada ya uchaguzi tunashuhudia kupitishwa kwa sheria mpya au utekelezaji wa sheria na kanuni ambazo zinaonekana kudhibiti haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni? Kwa mfano kuelekea Uchaguzi wa mwaka 2015 ilipitishwa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni (Cybercrime...
  3. Surya

    Uraibu na kujieleza (Addiction and Expression)

    Mada yangu imekaa kiswali zaidi tuzungumzie Uraibu, upi mzuri na upi mbaya Expression zipi ni nzuri na zipi ni mbaya Siku zote kuvutiwa na jambo fulani sana uwa inategemea una roho ya namna gani na asili yako ni ipi... Na moja ya Vitu ambavyo vinawakutanisha watu kufurahi ni Uraibu, Uraibu...
  4. Roving Journalist

    Ripoti ya Haki za Binadamu: Uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, unyanyasaji, na ukandamizaji wa waandishi

    Uhuru wa Kujieleza: Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari. Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Mrema: Kauli za Lissu na Lema zinaleta hofu ya kujieleza CHADEMA

    “Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo...
  6. JanguKamaJangu

    Ndolezo Petro: Kuendelea kuwakamata Viongozi wa NETO ni kuvunja Katiba ya Uhuru wa Kujieleza

    Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO. Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu...
  7. E

    RC Chalamila alikosea na alipaswa kuomba msamaha sio kujieleza

    Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani . Kimsingi inawezekana ni kauli sahihi katika mambo mengine ya afya lakini katika suala la uzazi ambalo lina faida kwa Serikali...
  8. DELETED ACCOUNT

    Tuwakumbushe Yanga, mwaka huu tumekataza kujieleza sana

    Nimeshaona dalili hawa Yanga mwaka huu watakuwa na tantalila nyingi. Embu ona mifano michache ya timu kubwa na hata zile ndogo zilivyosherehekea mwaka mpya. Wenzetu wakaamua kutuangushia gazeti la kurasa mbili. Halafu wanasema 2024 wamecheza mara mbili hatua ya makundi. Huu ni udanganyifu...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Ukifuatilia, Chawa karibu wote hata darasani walikuwa vilaza, yaani uwezo mdogo, Low battery!

    Mpo wazima! Awe Chawa wa CHADEMA! Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule. Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani. Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
  10. T

    Ni muda sasa BAKITA kuingiza neno "MBUSUSU" kwenye msamiati: Tumechoka kujieleza

    Kama ilivyojadi kwa manguli wa tasnia ya lugha mbalimbali ulimwenguni, ni kawaida kila mwisho wa mwaka kuingiza misamiati mipya katika lugha zao ili kuendelea kukuza na kuhuisha lugha zao asilia ili zisimezwe na lugha za kigeni. Ni muda sasa tuanze kuingiza misamiati kama Mbususu, Winga, Kwa...
  11. THE BIG SHOW

    Tatizo ujasiri wa jaji Warioba huonekana pale tu kwenye tawala zenye uhuru wa kujieleza

    Friends and Our Enemies, Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya kamuacha WARIOBA,Kuna kipindi marehemu Captain John Komba alishawahi mfanyia dhihaka JAJI WARIOBA...
  12. DR Mambo Jambo

    Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🤣🤣

    Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam.. https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166
  13. F

    Vyombo vya habari vya kimataifa vyatahadharisha kuwa Tanzania yaweza kurudi kwenye uvunjifu wa haki na uhuru wa kujieleza

    Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia. Hayo yamesemwa kufuatia hotuba ya rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania...
  14. Gemini AI

    Jinsi ya Kutumia VPN Katika Nchi Zenye Udhibiti Mkali wa Mitandao na Uhuru wa Kujieleza

    Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti, mitandao ya kijamii, na huduma mbalimbali, ikilenga kudhibiti upatikanaji wa habari na maoni huru. Hapa...
  15. tang'ana

    Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba

    1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
  16. Li ngunda ngali

    Simba nunue wachezaji wenye ubora ili mpunguze kujieleza

    Mara ooh, timu imeimarika tofauti na mwanzo. Ooh, timu ina wiki nne na ikifikisha miezi itakuwa tishio. Ooh, Aziz Ki hajatembea kwenye mikimbio yake. Jamani, ya nini kujieleza na maelezo mengi hivyo!? Watani zangu shime nunue wachezaji wenye ubora ili mpunguze kujieleza.
  17. A

    SoC04 Je, ni kipi kianze uhuru wa kiuchumi au uhuru wa kujieleza? Timu ya Usimamizi wa Uchumi

    Munakasha wa kipi kianze kati ya vitu hivyo viwili umekua ni endelevu na wa muda mrefu na mgumu. Aina zote mbili za uhuru ni misingi ya jamii za kidemokrasia na maendeleo binafsi na taifa kwa pamoja. Ila linapokuja swali la uhuru upi upewe kipaumbele, jibu linakua gumu na si la moja kwa moja...
  18. Felix Mwakyembe

    Tuzo za MISA TAN ni vito kwa uhuru wa kujieleza nchini

    Taasisi ya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania, MISA TAN, imeanzisha tuzo maalumu kuwatunukia Watanzania wenye mchango ulio bayana katika uhuru wa kujieleza nchini. Tuzo hiyo itakuwa ikitolewa kila mwaka kwenye kongamano lake la kila mwaka ka Uchechemuzi wa Hali ya Uhuru wa Kujieleza...
  19. Roving Journalist

    Mambo yanayovunja Haki ya Kujieleza na Wapi Utapata Msaada

    Chama Cha Wanasheria Tanzania Bara - Tanganyika Law Society(TLS) iliandaa Warsha kwa Wanahabari Jijini Dodoma Tarehe 4 Juni 2024 kuhusu Uhuru wa kujieleza. Hapa chini ni andiko la Mwanahabari Mkongwe mbaye pia ni Mwenyekiti wa Muungano wa Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (East Africa Press...
  20. Pfizer

    Chama cha Wanasheria Tanganyika chaendesha Mafunzo juu ya haki ya uhuru wa kujieleza

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo asasi za kiraia toka sahemu mbalimbali nchini juu ya haki ya uhuru wa kujieleza ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake kwa umma. Mafunzo hayo yamefanyika tarehe 20 Mei 2024 jijini...
Back
Top Bottom