kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

    Kanda ya Serengeti KARATU BUNDA MJINI SERENGETI NJOMBE MAKAMBAKO
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania iruhusu watu binafsi kujenga nyumba za kuhifadhia maiti (Mortuary rooms)

    Wadau hivi Bongo ukiachana na Mortuary zilizopo ndani ya hospitali, Mbona hakuna Mortuary ambazo Mtu/Kampuni zinamiliki private? i.e high class/ VIP mortuary? Mfano kwa wenzetu Kenya, hii fursa watu wameitumia kweli kweli na kuna private mortuaries nyingi tu watu wamezitengeneza, na wengi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

    CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini. Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya miradi ya Chato?

    Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk. Je, Serikali itaiendeleza?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kustawisha afya za watu ndio chanzo cha kujenga taifa lililo bora

    Hakuna kitu chenye thamani duniani kama mtu kuwa na afya bora. Afya bora ndio inampa mtu nguvu ya kuweza kufanya shughuli zake mbalimbali ikiwemo kujitafutia riziki kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Ni kama msemo wa Kiswahili unavyosema “Bora Afya Kuliko Mali”, yaani ukiwa na mali huku afya yako...
  6. JamiiForums Tanzania Kujiongezea mapato Serikali ianze kujenga Magereza ya kulipia kwaajili ya wafungwa wenye pesa zao

    Magereza jengeni magereza ya kulipia kwa wenye pesa wanaopenda Mfano ni huu wa Marekani
  7. T

    JamiiForums Tanzania Midahalo ya kisiasa ya makatibu wakuu wa vyama itafanikisha kuongeza mshikamo wa kisiasa.

    Rais Samia Suluhu ameonesha nia ya dhati ya kutaka kufanya kazi na upinzani. Tunaamini Mhe.Rais atakapokutana na viongozi wa vya upinzani watajadiliana mengi hususani mambo yatakayokuza na kuimarisha ushirikiano na demokrasia. Kwa tathmini fupi niliyofanya nimegundua Rais wetu anapenda muafaka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu amepitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa?

    Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu. Mh Tundu Lissu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa Sheria au kwa kujitolea? Nia ni njema kabisa. Ramadhan Kareem!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kisarawe: Kamati ya siasa ya wilaya yachachamaa tsh milioni 56 kujenga matundu ya choo kifisadi

    Kamati ya siasa wilaya ya Kisarawe wamemtaka mkurugenzi wa halmashauri kutoa uthibitisho wa namna walivyotumia tsh 56 milioni kujenga matundu machache ya vyoo tena chini ya kiwango Wajumbe wa kamati hiyo wamesema halmashauri ya Mkuranga imejenga matundu ya vyoo kama hayo na kwa ramani hiyo hiyo...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mnaotutambia kujenga kila kitu kwa hela ya ndani, mnadaiwa kila mmoja milioni moja

    Ndugu zetu kila siku mnatutambia namna kwenu huko hela zipo na mnafanya vyote hivyo kwa hela ya ndani, ilhali taarifa zinaonyesha namna deni lenu limekua ghafla kwa miaka michache, heri sisi ambao huwa tunakiri kufanikisha hii miundo mbinu yote kwa mikopo japo pia uchumi wetu ni mara mbili ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kujenga nyumba ukiwa na miaka 60?

    Maisha yote uliishi nyumba ya kupanga, leo ukiwa 60 ndiyo umestaafu na kulipwa mafao. Ndiyo unatafuta kiwanja ujenge nyumba. Ni kheri kuhesabu pesa ya mafao kwa kodi ya nyumba kwa miaka iliyobaki au uingie kwenye changamoto za ujenzi? Kodi ni laki mbili na nusu kwa mwezi na mafao yako ni...
  12. JamiiForums Tanzania Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

    .
  13. JamiiForums Tanzania Kujenga miundombinu na kuruhusu wamachinga wasibughudhiwe ndio kusema kunafuta madoa ya utawala wa hayati Magufuli?

    Halina ubishi hata kiduchu kwa miaka yote tangu mwaka 1995 hayati JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha barabara za Tanzania zinaunganika. Na kweli sasa hivi nchi imepiga hatua kwa kuwa na miundo mbinu mizuri. Pia alipokuwa rais wa JMT aliwakingia kifua wamachinga wasiwekewe kiwingu na kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Gharama za kujenga reli SGR zitarudi baada ya muda gani kabla ya faida?

    Kuwa na reli ya kisasa inayokwenda kasi ni jambo la kiunchumi na kijamii/huduma. Lakini kutokana na hali yetu ya kiuchumi kuwa sio nzuri linafaa liwe la kiuchumi zaidi kuliko kihuduma. Yaani reli ya SGR lazima ituongezee mapato kuliko tutoa huduma, maana tanzania hatujaifikia luxury hiyo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Habari wakuu, Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu. Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu. Nashukuru sana kwa mchango wenu.
  16. JamiiForums Tanzania Kwa milioni 5 naweza kujenga nyumba ndogo Dodoma?

    Hivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani? NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…