kuitwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shule ya kata Yombo Vituka imebadilishwa jina na kuitwa shule ya kata Kurasini huku bado ipo eneo lile lile la Yombo Vituka ?

    Habari wadau. Kuna jambo limenishangaza sana. Katika mtaa wa lumo, kata ya yombo vituka, wilaya ya temeke kuna shule ya sekondari iliyojengwa awamu ya 4 rais akiwa Kikwete katika mradi wa shule za kata. Shule hiyo ya sekondari ilipewa jina la Lumo secondary. Then ikabadilishwa jina na kuitwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini waitwe kazini kwa Email badala ya Tangazo la kuitwa kazini linalotolewa kwa UMMA?

    Salaam Wakuu, Kama mtakumbuka, mwezi Februari mwaka huu, TRA walitangaza nafasi za Kazi kwa Watanzania wenye SIFA. Na takribani Watanzania laki moja na kitu, waliomba zile nafasi, na baada kufanyiwa Usaili uliofanyika tarehe 29 & 30 Mwezi Machi. Baada ya Usaili, Matokeo yalitoka Mwezi April na...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Ukikosoa chama chako utanyang’anywa kadi na kuitwa majina mabaya yote, CCM iwe imara inahitaji upinzani imara

    Wakuu Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe. SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA. Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa Furaha: WAPINZANI ACHENI KUIONEA CCM na CCM IACHE KUJIONEA. 1. Taifa hili bila CCM imara...
  4. JamiiForums Tanzania Kuitwa Kwenye USAILI Utumishi Ajira Portal, PSRS May 2025

    Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to be conducted as indicated in the PDF attached and finally assign job centers to the applicants jobs that...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ukiuchukua Urais kwa Dharula ya Kikatiba na Kuongoza kwa miaka 3 au 4 bado unastahili kuitwa Baba au Mama wa Taifa?

    Nitashukuru mkinijibu manake kuna Dada Mmoja hapa Mtaani amekuwa ni Mjumbe wa Kata yetu tokea Mwaka 2021 na hakuna anachofanya zaidi tu ya kupenda Umbea, ila nashangaa wana Mtaa Wenzangu wamemkubali hadi kufikia kumuita Mama wa Taifa la Mtaani, ila Mimi mpaka sasa sijaona Maendeleo ya hapa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa na kutumia degree za heshima ni huu kwa dunia nzima. Watu wanapenda kuitwa Doctors (Drs) na Professors ( Prof) kinyume na taratibu

    by Prof Shivji Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education. HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA . 1. Awadees msitumie hizo titles before...
  8. JamiiForums Tanzania Ni ngoma gani kati ya mtazamo ama Darubini kali ilimpa sifa Afande Sele ya kuitwa mfalme wa Rhymes 2004?

    Kama ni MTAZAMO sidhani kama alistahili labda Hit song ya Darubini Kali. Historia kidogo. Mwaka 2004, Mfanyabiashara Mwandishi wa Vitabu, Eric James Shigongo, alianzisha Shindano la kumtafuta Mkali wa kughani muziki wa Rap nchini. Shindano hilo aliliita "Mfalme wa Rhymes 2004". Kupitia Kampuni...
  9. JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini kuwa Soka la Zambia sasa limekwisha na kuwa la Kipuuzi. Hivi Chama na Musonda wana Kiwango cha kuitwa National Team sasa?

    Niliwahi kusikia kuwa Klabu ya Yanga huhonga Makocha wa Timu za Taifa za Kigeni ili wawaite Wachezaji wao kwa ajili ya Kuwaongezea Thamani katika Mauzo ya baadae na pia kuingozea Thamani Yanga SC Kibiashara na Kimichezo na kwa Kitendo cha Kocha wa Timu ya Taifa za Zambia kuwaita Wachezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Kisa cha Steven Wassira kuitwa 'Tyson' aliwahi kuzipiga kavukavu na rafiki yake Kipenzi hadharani wakigombea...

    Siwezi kuandika hapa walichokuwa wakigombea ila itoshe kusema huyo bwanaalikuwani rafiki yake watangu utoto,diwani wamwananyamala enzi hizo,Bwana CBN,walukuwa maeneo ya Kinondoni Vijana Social Hall. Ghafla zilipigwa ngumi hatari. Kipindihicho Tyson yupo juu kimafanikio. Wasira alimtandika ngumi...
  11. JamiiForums Tanzania Uzi kuitwa Chai ina maanisha nini? Naombeni majibu.

    Nashangaa fulani kusema "Chai" akirejea mada ya uzi fulani. Huwa wana maana gani? Chai? .
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ndo tabia za mtu aliekidhi vizezo vya kuitwa mbumbumbu:

    Bila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi; ""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba, Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi...
  13. JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. Talent sourcing solutions UTUMISHI is a government organization...
  14. JamiiForums Tanzania Kuitwa interview Gaming board of Tanzania.

    Habari wapambanaji wenzangu. Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari. Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer atupe dondoo ili tupate mwanga. Nimeambatanisha pdf la majina hapo chini.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

    Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikemea rushwa ndani ya CCM na serikali na aliwakemea viongozi walipobioronga hadharani. Lini aliwahi kuitwa mropokaji?

    Kama kuna kiongozi aliekuwa anawakemea watawala wanapoboronga tens hadharani, basi Nyerere alikuwa kiboko. Kama kuna kiongozi aliekuwa anakemea rushwa ndani ya chama chake(CCM) tena hadharani, basi Nyerere alikuwa hana mfano Nyerere alikemea wala rushwa, wauza mashirika ya umma, wanauza nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini Bodi ya Korosho Tanzania

    Wale waajiriwa wapya wa bodi ya korosho Tanzania.. mkeka wenu huu hapa... Hongereni sana.
  18. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wadada wakijiachia wanaangukia kwa wakware, wakibana sana wanaishia kuitwa mashangazi. Sasa wafanyeje?

    Duni hii siyo fair hata kidogo kwa wanawake. Tamaduni hazimpi mwanamke nguvu ya kuamua aolewe lini na aolewe na nani. Hivyo mwanamke hubakia njiapanda. Mtanziko huu ndiyo umewaingiza wanawake wengi sana kwenye dimbwi la usingo maza. Katika umri mdogo (early 20s) wanaume wanaowahadaa kuwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Aliye Rebrand TigoPesa kuitwa Mixx by Yas afukuzwe kazi

    Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious. Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro. Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa”...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…