kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri

    Zifuatazo ni Kanuni na Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri. Kanuni hizi nilizipata kwenye andiko la gazeti la Mwananchi mtandaoni 2022 na namini zitakusaidia 1: Uwe na tabia ya kupenda watu kwa moyo wote, hali kadhalika na wewe watakupenda. 2: Heshimu kila mtu na kila mtu umwone ni muhimu...
  2. Zelensky: Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi umempigia mtu magoti

    Hii ni kauli ambayo raisi wa Ukraine ameiishi pale White House mbele ya Donald Trump ambayo ilitolewa na mwana mapinduzi na mwanaharakati Dolores Ibarruri huko Spain miaka ya 1936 chini ya utawala wa mkono wa chuma wa dikteta Franco. Alichofanya Zelensky mbele ya Trump na makamo wake JD Vance...
  3. Haujachelewa kuchukua hatua ya kwanza, anza kuishi sasa

    Haujachelewa 1. Kutubu na kuamua kuacha dhambi zinazokutesa kila siku 2. Kuanza kusave pesa hiyo ndogo unayoipata 3. Kuanza upya mahusiano yako ya kiimani, kimapenzi 4. Kufanya ndoto zako kuwa uhalisia Muhimu na uzingatie 1. We don't chase people, we chase dreams 2. Live for yourself 3. Think...
  4. S

    Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

    swala la karma ni kwamba Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau. Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia usiyoitarajia—labda kupitia mtu mwingine au wakati usioutarajia. aise Maisha ni duara, na unachoweka...
  5. Kama mwanamke haoni shida kuacha familia yake kuja kuishi na wewe mwanaume, Vivyo hivyo anaweza kukuacha na kwenda kuishi na mwanaume mwingine.

    Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe. Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi pamoja, ila ulisahau kwamba hisia huweza kuisha muda wowote ukaachwa mchana kweupe (in a day broad...
  6. Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

    Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
  7. Hivi ni kweli kuishi karibu na palipo mnara ni hatari kwa afya ?

    Kumekua na maneno/minong'ono ya watu kuwa kwa mfano una kiwanja au shamba lako unakoishi alafu haya makampuni ya mitandao ya cm ikataka kuweka mnara kwenye eneo lako karibu na nyumba ni hatari kwa afya eti kwa sababu kwenye mnara kuna mionzi mikali sana ya mawasiliano inaadhiri baadhi ya seli...
  8. Kijana unae kataa kuoa hivi ndivyo unatakiwa kuishi

    kataa ndoa uishi miaka mingi ya furaha Damka saa kumi na moja anza usafi wako wa ndani unapo lala deki choo chako vizuri sio kila siku kwa wiki ukifanya siku tatu sio mbaya Baada ya hapo tandika kitanda chako vizuri tu hii ina kusaidia siku unaweza ukazidiwa ukaletwa kwako ujitambui wakakuta...
  9. Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

    Mke wangu aliniacha na kwenda Kuishi na X wake sasa anataka turudiane? Mwaka 2017 nilimfumania mke wangu na X wake, mwanzo niliona meseji baada ya kumbana sana alikubali kuwa alikua na mahusiano na X wake na kuniomba msamaha, lakini baada ya kama wiki mbili hivi niliwakuta sehemu tena wamekaa...
  10. Tangu nianze kuishi na demu ghetto nimeacha Nyeto

    Hakika dawa ya kuacha nyeto automatically ni kukaa na mwanamke pamoja Nlikua mdau wa nyeto a.k.a mkono bao tangu mwaka 2004 hadi mwanzoni mwa mwaka 2025 Hatimaye nikapata mtoto mzuri wa mwaka 2005 naishi nae maskani, huwezi amini ni mwezi sasa nimeachana na nyeto na siitamani tena Maana...
  11. L

    Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo. Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume. Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna...
  12. Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

    Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa. 1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo kuchangia msiba ni lazima,usipochanga utadhalilishwa kwenye mkutano wa kijiji au kitongojina kulipishwa...
  13. T

    Wanawake ni viumbe wasioridhika kamwe. Tuendelee kuishi nao kwa akili

    a
  14. Maisha: Ni mitihani gani au changamoto zipi ulizokumbana nazo maishani mwako na kuzikubali na kuamua uishi nazo ili maisha yaendelee?

    Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini...... Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali....... Kuna baadhi ya changamoto na mitihani tunazikabili na kuzipatia ufumbuzi na kuendelea na maisha na kuna zingine kwa...
  15. PreGE2025 Dkt . Mpango: Nataka kuishi zaidi. Je, katishwa na nani?!

    Kuna nini ndani ya kuhitaji kuishi ziada kwa Dk Mpango? Seems ameona akiwa ndani ya mfumo maisha yake yapo hatarini-kwanini yawe?! Na kwa nini Rais Samia alijihami na kusema hitaji la Dk Mpango kutaka apumzike halichangizwi na masuala ya kazi?! ????
  16. Wanaume nawapeni codes za kuishi nazo

    Wanaume, Siyo kila mtu katika sehemu yako ya kazi ni rafiki yako. Fanya kazi yako. Pokea malipo yako. Rudi nyumbani. Wenzako wa kazini si marafiki zako. Kila mtu yupo pale kwa sababu ya kipato. Pesa zinapohusika, watu husalitiana . Usiwe mzungumzaji sana. Fanya kazi yako na rudi nyumbani...
  17. Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

    Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
  18. Nestory Bingwa, mganga tapeli aliewatapeli wasouth na kukimbilia Canada kuishi

    Habari zenu wana JF wenzang, Leo nawaletea kisa cha ndugu yetu Nestory Bingwa, ambae ni mjomba wangu kabisa wa kuzaliwa na mama yangu mzazi. Huyu bingwa ni miongoni mwa watanzania wachache sana waliowahi kuingia nchi hii kitambo sana, kabla hata muasisi wa taifa hili hajaachiwa huru. Baada ya...
  19. Kwa wanaompenda Tundu Lissu Mwambieni aache kuishi kama Celebrity maadui zake Kisiasa bado wapo

    Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi. Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa...
  20. M

    Mwaka 2025, fanya dunia sehemu nzuri ya kuishi

    MwanaJF wenzangu, Tunashukuru tumeanza wiki 1 ya mwaka 2025. Tuweke malengo ya kuhakikisha vizazi na vizazi vinaikuta sayari yetu salama. Mimi nitafanya yafuatayo; 1. Kupanda angalau miti 5 ya matunda tofauti tofauti. 2. Kuendelea kutotumia vifungashio vya plastiki 3. Kwenda sokoni na mifuko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…