kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Anayeishi "condemned cell" anaweza kuishi salama na aliye uraiani akatwaliwa. Mungu huyu ni fundi!

    Familia ya Mbowe imethibitisha kupitia ukarasa wa tweeter kwamba baba yao amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Tunaamini waliofanya haya hawataweza kumnyonga ila wanaweza kumweka kigungoni milele. Lakini aishivyo Mwenyenzi Mungu alimweka huyu Condem pia anaweza akatwaliwa katika...
  2. Kikundi cha wanawake kwenye Semina ya kuishi na Waume zao. Je, huyu ni nani?

    Kikundi cha wanawake kilikuwa kwenye semina ya jinsi ya kuishi katika uhusiano wa upendo na waume zao. Wanawake waliulizwa, "Ni wangapi kati yenu wanampenda mumeo?" Wanawake wote waliinua mikono yao. Ndipo wakaulizwa, "Mara ya mwisho kumwambia mumeo kuwa unampenda ni lini?" Wanawake wengine...
  3. Kama wewe ni jeuri, mkorofi, usiende kuishi Sumbawanga

    Sumbawanga ni tofauti, Wanapenda wageni Ni wapole Ni wakarimu Hawana roho ya kwanini Sio wachokozi Hawana mambo ya kurogana rogana hovyo japo uchawi wanaujua vizuri Walio bahatika kumjua MUNGU wana msimamo katika imani ya dini Ila kama wewe ni mchokozi,mkorofi sumbawanga haikufai Watu...
  4. Swali la kipombe: Kuishi demu Marekani kwa amani na kuishi Afghanistan mwanaume Ila utauawa na Taleban, kipi Bora?

    Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi? Mimi mzee baba ningechagua kuwa...
  5. Uhuru wa Mtanzania wa kuishi na kimaendeleo upo mikononi mwa dola au yeye mwenyewe?

    Wanna jamvi? Nimeuliza maswali mengi sana mpaka nikajikagua Mimi mwenyewe na wenzangu ninavyosikia sauti zao huku mitandaoni kuhusu kufanya Jambo ambalo unataka na wenzako washiriki kwa Nia nzuri lakini dola wanazuia. Mfano makongamano yanapoandaliwa na kuomba kibali polisi Ina maana yapo ndani...
  6. Hata kutokee nini, sirudi kuweka makazi yangu Tanzania

    Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania. Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila...
  7. Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la. Ngoja tuendelee kutega sikio
  8. A

    Raha za kuishi Dar es Salaam

    Dar es Salaam ni mji wenye mchanganyiko wa makabila, kutokana na shughuli za kibiashara za mji huu na mengineyo. Dar unaweza kupata chakula cha aina yeyote unachokijua duniani. Kuna migahawa ya Wanigeria, huko konono wa kukaanga ni deli-case. Kuna migahawa ya watu wa Kusini, huko samaki...
  9. R

    Sheria ya Uhamiaji: Nahitaji kupata nyaraka gani kuishi na kumiliki ardhi Tanzania kama mgeni?

    Habari ndugu? 1. Ni vitambulisho gani vinavyotakiwa kupata kwenye ofisi ya uhamiaji vitakavyoniwezesha kuishi Tanzania kwa amani na usalama kama mgeni (kutoka USA)? 2. Nifanyeje ili nipate uwanja na kujenga nyumba bila shida nchini Tanzania kama mgeni (immigrant)?
  10. Mama Agness nimempa talaka juzi tu leo kaja kuishi jirani yangu na mwanaume mwingine!

    Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana. Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani...
  11. Je unaweza kuhisi una siku ngapi zimebakia za kuishi hapa duniani???

    Swali tata...wengi najua wataogopa kulijibu..lakini ukweli unabaki pale pale lazima wote tutaiacha dunia.. Je una siku ngapi zimebaki?? Na kwanini unahisi zimebaki siku idadi hiyo?? Je umejiandaaje.? Je kabla hujaiaga dunia ungependa ukamilishe jambo gani.? Je kabla hujaondoka ungependa...
  12. Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

    Wakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa, Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia. Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar...
  13. Nilishasema acheni kuishi na waume wa watu ila hamsikii

    Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani. Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi kajengewa nyumba na huyo baba. Ila baada ya miaka kumi na moja huyo baba akaanza kumpiga na kumtafuta...
  14. Lengo kuu la kuishi/Uhai ni ku enjoy hisia zetu na kuzi balance, kifo ni matokeo ya ku over/under feelings

    Habari wakuu hope mpo njema sana na sawia, kabla sijaingia katika maada kwanza tupeane pole kwa mtikisiko wa sasa unao ikumba hii Dunia yetu, hatuna Dunia ingine ya kuhamia kwa uharaka, Hata kama ingekuwapo basi tungehamia lakini tungehamia na magonjwa yetu,dhiki zetu,njaa...
  15. Jamii ya Shona imepata uraia wa Kenya baada ya miaka 60 ya kuishi bila Uraia hapa Kenya

    Jamii hii ya Shona ilikuja Kenya mwaka wa 1959 kama missionaries yaani watu wanaoeneza injili. Sasa wameishi Kenya bila uraia kwa miaka 62 na hivi leo wamepata uraia kamili na hata kupata vitambulisho. Hii inafuatia Jamii la Wamakonde kutokea Msumbiji waliopata uraia huo miaka michache...
  16. Maeneo gani ni mazuri kwa kuishi na familia hapa DsM

    Habari wadau..! Zamani wakati nipo chuo pale Mlimani nilikuwa naamini maeneo mazuri kwa kuishi DsM ni Sinza na Survey maana maeneo hayo yana totozi nzuri na bata za kufa mtu kwa kipindi hicho. Hivyo nilijitahidi kila mwaka wa masomo lazima nipate chumba Survey au Sinza . Ila sasa nina familia...
  17. C

    Ningetaka kuishi kwenye aina hii ya mtaa na ya nyumba hizo. Na wewe weka hapa picha ya aina ya mtaa ungetaka kuishi

    Habari wana JF, Ninatumai habari njema. Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano majirani, usafi wa mtaa Hyvio nilitaka kuweka hapa baadhi ya picha ya neighborhood popote niliona...
  18. Waliostaafu na wastaafu watarajiwa pokeeni ushauri utakaowawezesha kuishi kwa furaha na amani a

    Tunapofikia umri wa kustaafu tunatakiwa kujua tumefikia ukomo wa kipindi cha kuanzisha mambo mapya na tuko kwenye kipindi cha kuishi na kuyafurahia yale tuliyoyafanya tukiwa makazini, tukiwa na nguvu, tukiwa na nguvu na umri unaoturuhusu kurekebisha makosa. Niseme tuu kaka yangu Antony ameongea...
  19. Kati ya Tandale na Manzese ni wapi unapoweza kuchagua kuishi?

    Mmeshindaje ndugu zangu. Ikitokea ukaambiwa uchague sehemu moja ya kuishi kati ya Tandale na Manzese ni wapi utapokuwa tayari kwenda kuishi? Na kwanini? Pia ningependa mtu au watu waeleze utofauti wa sehem hizo mbili ki miundo mbinu, kimazingira, kibiashara na pia sehem inayoongoza kwa kuwa na...
  20. Nahitaji ramani "simple and low cost" ya nyumba ya kuishi vyumba vinne

    Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi. Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo. Atakayeweka na makisio ya gharama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…