kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    SoC02 Mtazamo wa msamaha

    Habari watanzania na wadau wote kwa ujumla. Katika chapisho hili nalenga kukutazamisha angalau kwa sehemu kuhusu msamaha, ninauhakika utakapomaliza kulisoma kwa utulivu utabadili au kuboresha mtazamo wako kuhusu msamaha. Katika chapisho la kiingereza liitwalo safari ya mahusiano binafsi...
  2. K

    SoC02 Sheria sita (6) za kuishi

    1. Acha iende Usije ukaharibu siku yako njema ya leo, siku yenye furaha, siku yenye nuru njema kwa sababu ya siku mbaya ya jana. Jambo linalorudisha sana watu nyuma pengine kimaendeleo, kimasomo, hama kufanya maamuzi ni kuruhusu kukumbuka siku ya jana iliyopita ambayo pengine ilikuwa mbaya...
  3. M

    Ni aibu kubwa, vijana wa kiume kuishi kwa kukata viuno kwenye mabaa ili kupata riziki. Kwa nini wasilime?

    Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance. Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga? Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
  4. Ataweza kuishi Moshi kwa salary ya laki 8?

    Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote. Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
  5. M

    Jinsi ya kuishi miaka100 - Wataalamu waelezea siri

    CHANZO CHA PICHA,REUTERS Maelezo ya picha, Mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani, Kiko Tanaka, alifari akiwa na na umri wa miaka 27 Juni 2022 Hapo zamani, maisha marefu yalionekana ni kitu kisichowezekana. Lakini sasa mambo yamebadilika. Je uzee kucheleweshwa au hata kuzuiwa? Je wale wenye...
  6. Wapi pazuri kuishi baada ya kustaafu?

    Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu. Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
  7. Inakuwaje mtu anafikia uamuzi wa kuishi Pugu Dampo na harufu mbaya kiasi kile?

    Habari! Harufu mbaya inapiga maeneo ya Dampo la Pugu almaarufu kama Pugu Dampo. Ukipita barabarani maeneo hayo unapokelewa na harufu mbaya kali sana. Najiuliza hivi Kati ya Dampo na makazi ya watu nini kilitangulia? Je, kama Dampo lilitangulia ilikuwaje mtu na akili zake timamu ajenge makazi...
  8. R

    Ni vigumu sana kuishi na Binti asiye ndugu yako wa damu pamoja. Hivi wake zetu mnalitambua hili?

    Habari wana JF, Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi. Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na binti wa kazi ambaye amekomaa na kakamilika vizuri? Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza, je...
  9. IGP Sirro: Kina dada kuweni makini si kila mwanaume ni bora wa kuishi naye

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ameendelea kukemea na kulaani vitendo vya mauaji vinavyotokana na wivu wa mapenzi ambavyo vimekuwa vikitekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi. “Ukiona mwanamke amekuzingua si unaachanana naye tu, kina...
  10. S

    Niliwahi kuishi kwa Waziri fulani miezi 3 watu wanaishi maisha bora

    Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo. Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
  11. Wanaume tuache umarioo unakubalije kuishi kwa mwanamke?

    Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu...
  12. Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe . Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
  13. Wa Russia, Uingereza, China, Arab, German, Hindi, Afrika wote wanatamani kuishi USA

    Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
  14. Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

    Habari za siku nyingi watu wa Mungu. Hivi ni utaratibu gani unafaa kufuatwa katika kuchagua ndugu wa kuishi nao baada ya ndoa. Nakumbuka mwanzo kabisa kipindi namuoa mke wangu nilimjulisha kuwa napenda sana ndugu ila kuishi na ndugu ni mtihani kama mtu ana uhitaji na tuna uwezo wa kumsaidia...
  15. P

    Mikoa gani mizuti kuishi ukiwa umeajiriwa?

    Habari zenu wakuu, Naomba nijuwe kwa mawazo yenu ni mkoa gani nzuri kwa kuishi ukiwa umeajiriwa. Nashkuru
  16. Namna ya kuishi na kiongozi(bosi wako)akiwa dikteta

    Wengi hupitia nyakati ngumu endapo wakiongozwa na viongozi ama mabosi madikteta. Zifuatazo ni mbinu unazoweza kutumia ili usidhurike au dikteta asikuone unampinga. 1. Usifanye jambo ambalo pongezi zitaenda kwako badala ya kwake, hata kama umefanya wewe jambo zuri linasibishe kwamba yeye ndio...
  17. M

    Hivi Gerson Msigwa yupo sawa? Baba wa Rihanna akistaafu atakuja kuishi Zanzibar itasaidia nini Watanzania?

    Msikilize hapa huyu Mkuu wa kitengo cha Maelezo. Anajitambua kweli? 👇
  18. Serikali: Mafanikio makubwa ya Royal Tour ni kufanikiwa kumshawishi baba yake Rihanna kuja kuishi Tanzania

    Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA! Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa. Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
  19. Je, ni muda wa Makonda kuishi kana ilvyowahi kuelezwa na Hayati Magufuli?

    Nakumbuka hayati raisi John Pombe Magufuli aliwahi kusema kuna watumishi/viongozi waliokua wanaponda starehe kula bata waliokua wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani kwenye awamu yake. Baada ya kifo chake awamu hii ya sita naona kijana...
  20. H

    Wenye uzoefu wa kuishi kwa ndugu nipeni muongozo

    Binafsi mwezi huu wa tatu hivi karibuni nilisafiri kwenda mkoa X ila ni ndani ndani mpakani na Msumbiji huku. Kwakuwa ni kwa kaka yangu sikua na mashaka kwenda, bro ameshaoa tayari na pia ana watoto wawili sema anaeishi ni mmoja mwingine yupo kwa shangazi (yaani bibi) Haya wiki ya kwanza picha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…