kuiondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bila kuiondoa CCM, watanzania msahau kabisa maendeleo.

    Wana JF. Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi. Facts: 1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali 2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa: Tunaenda kuiondoa CCM madarakani kidemokrasia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Amani Golugwa wakati akizungumza na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Trump kuiondoa Marekani kwenye Muungano wa NATO

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anafikiria kwa kina kuiondoa Marekani kutoka kwa Muungano wa NATO baada ya washirika wa muungano huo kushindwa kuunga mkono hatua ya kijeshi za Marekani dhidi ya Iran, kulingana na mahojiano na gazeti la Uingereza, Daily Telegraph. Soma pia Marekani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tofauti zetu, ikitokea Trump kasema anakuja Tz kufanya alichofanya Venezuela au Iran watanzania wengi tutaungana kumpinga

    Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata. Tanzania, Tanzania! Nakupenda kwa moyo wote Nchi yangu...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

    Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura. Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate? Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa? Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How. Je...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye jaribio la Trump kuiondoa China kwenye mfereji wa Panama limefeli

    Ikumbukwe kuwa mwezi March Trump alitamba kuwa Suez Canal itakuwa chini ya control ya Marekani: "China inaendesha Mfereji wa Panama, na hatukuipa China - tuliipa Panama - na tunaurudisha." – Trump (March, 2025) Hapo Trump alikuwa anazungumzia bandari 2 muhimu zinazomilikwa na kampuni ya...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA adui yenu ni CCM au CHADEMA? mmesahau kama mmeahidi kuiondoa CCM lakini kutwa ni CHADEMA, mmekula pesa ngapi?

    Wakuu CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM...
  8. JamiiForums Tanzania Mbinu saba zinazotumiwa na CCM kubaki madarakani na nini wapinzani wafanye kuiondoa madarakani

    Wakuu Habari! Heri ya siku kuu ya Pasaka Kwa Wakristo wote. Nitumie pia nafasi hii kuwatakia Kila la Heri watani zangu wa jadi Simba sc Kwenye Mechi Yao ya mkondo wa kwanza nusu fainali SHIRIKISHO barani Afrika hapo kesho dhidi ya Stellenbosch. Kabla sijaenda Kwenye mada ni declare interest...
  9. JamiiForums Tanzania Naichukia CCM ila sioni utayari wa Watanzania kuiondoa madarakani.

    Kati ya Watanzania zaidi ya millioni 60 huenda ni Watanzania laki 5 tu ndio wako tayari kuiondoa madarakani CCM, wengine wapo tu kufuata upepo. Atakayewapa kula siku ya uchaguzi huyo ndiye watampa kula. 0.0001% ya Watanzania ndio wana moja mbili tatu kuhusu Tanzania na siasa . Ila majority ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?

    Ni takribani miaka 33 sasa juhudi za kuiondoa CCM madarani zinafanyika nchini TANZANIA bila mafanikio yoyote. Kadri miaka inavyodhid kwenda CCM wameendelea kujiimarisha Kwa njia halali na haramu. Kwa chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu Kwa miaka ya karibuni CCM wameonekana wapo...
  11. JamiiForums Tanzania Kuiondoa CCM madarakani ni sawa na kupoteza muda

    Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa. Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Si kwamba vyama vya upinzani ni bora zaidi, lakini ni muhimu Watanzania kuiondoa CCM madarakani to teach the Police a lesson

    Watu wengi wamekuwa wakivitazama vyama vya upinzani katika mtazamo wa kuwa mbadala wa CCM katika uongozi, na wengi wanasema kwamba bado havijakomaa kuongoza nchi, jambo ambalo siku zote nasema, tulipopata uhuru TANU haikuwa imekomaa kuongoza nchi. Sasa mimi naona kama imefikia mahali jeshi la...
  13. JamiiForums Tanzania EWURA Kuondoa ushindani kwenye Petrol ni sawa?

    Binafsi sioni kama ni sawa kuondoa ushindani kwenye bidhaa (kibiashara) Nilitamani EWURA watoe bei Elekezi ya juu, ila bei ya chini waache kila mtu ajipangie Tumeona hii ikifanyika kwenye ada za Shule za private nk Kuna vituo vya mafuta vyenye uwekezaji mkubwa na wanamitaji mikubwa hivyo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi itasaidia kuiondoa CCM madaraka 2025 ? Na chama kipi kiandaliwe kuchukua dola ?

    Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti . NCCR Mageuzi ni better option...
  15. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmepata ajenda nzuri ya kuiondoa CCM madarakani, mjivuruge wenyewe sasa!

    Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai! Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati anajua wakati wa Hayati Rais Magufuli mkataba ule ulijadiliwa na Baraza la Mawaziri mara kadhaa! Sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka 2012, Yemen ilitangaza kuwa inavunja Mkataba na DP World kuendesha Bandari ya Aden

    Agosti 26, 2012, Mtandao wa Reuters uliripoti kuwa Wizara ya Uchukuzi kupitia Serikali ya Yemen ilianza mawasiliano na Wakala Mwendeshaji wa Bandari anayemilikiwa na Serikali ya Dubai (DP World) ili kuvunja mkataba wa kuendesha Bandari ya Aden. "Bodi ya Ghuba ya Aden Ports Corp imeamua kufuta...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani yafanikisha kuiondoa Iran kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa la ECOSOC

    Umoja wa Mataifa kupitia Baraza la Uchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa limepiga Kura na kuchukua hatua hiyo baada ya kuripotiwa matukio mengi ya Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana nchini humo. Pia, Baraza Kuu la Kimataifa linalopigania Usawa wa Kijinsia chini ya Ufadhili wa Marekani...
  18. JamiiForums Tanzania Elon Musk aendelea kuishutumu Apple kuwa inatishia kuiondoa Twitter kwenye program zake

    Elon Musk amesema Kampuni ya Apple imesitisha matangazo yake mengi kwenye mtandao wa Twitter na kuishutumu kampuni hiyo kwa kutishia kuiondoa Twitter kwenye program zake. Mzozo huo umeibuka baada ya kampuni nyingi kusitisha matumizi kwenye Twitter hasa baada ya mipango ya mmiliki mpya wa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa kisimbusi cha Azam kuiondoa TBC kwenye free local channels?

    Rejea kichwa Cha taarifa, Azam kisimbusi wameitoa tbc 1 kwenye orodha ya free local channels, hakuna sababu zilizotolewa isipokuwa watu wanahisi ni sababu za kuonyesha kombe la Dunia, je, inaweza kuwa ndiyo sababu ya kisheria? ===== Updates Waziri Nape Nnauye ameandika Twitter, amesema tayari...
  20. JamiiForums Tanzania Marriage intelligency: Je, ni kitu gani au tabia gani ulitaka kuiondoa?

    Ndoa Kwa wenzetu wenye I.Q kubwa sio kama vile tuzaniavyo sisi huku afrika, kwao ndoa huwa zinaenda au huwa na malengo ya ndani zaidi, ambayo pengine ni ya kitabia, akili za familia fulani na kadhalika. Mimi binafsi katika kufuata logic hii niliangalia mapungufu yaliopo ndani ya familia yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…