Marekani na Ukraine zinalalamika kuwa Urusi imeikatia Umeme Kyiv toka kwenye mtambo mkubwa wa nyuklia wa kufua umeme uliokuwa mali ya Ukraine kabla ya kuanza vita vya Ukraine. Mtambo huonwa nyuklia wa Zaporizhzhia ndio mtambo mkubwa zaidi kwa Ulaya nzima, na umo kwenye top 10 ya mitambo mikubwa...
Hizi Tozo zimeongeza ugumu wa maisha. Imekua kero juu ya maisha magumu ya utafutaji.
Ingekuwa inchi zinazojielewa kama zambia, malawi, kenya nk CCM ingechomolewa madarakani comes 2025 election.
Ikumbukwe kwamba hata inchi zilizo mbele Kwenye siasa/mfumo wa vyama vingi. Vyama tawala huondolewa...
Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM.
Nimewaza sana na kujikuta naona Tundu Lissu ndiye anaonekana mtu pekee kwa sasa mwenye ushawishi na uwezo wa kuongoza...
Kwa namna ya hili sakata la Hawa wanaojiita wabunge wa viti maalum, kupitia chama kilichowavua uanachama wao cha Chadema na namna Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, anavyojaribu kuendelea kuwakumbatia hao akina Halima Mdee, naziona dalili zote za kutokea kile kilichotokea kwenye ile Kesi ya...
Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa.
Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita.
Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi...
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Huu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa tu.
Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025.
Muda ndio utasema. Kama Sio Uraisi Basi Wabunge Watakua Wengi Sana.
Tukutane hapa baaada ya Uchaguzi 2025.
NI CHAMA GANI CHA UPINZANI KIMEJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI?
Wakati Chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujiimarisha katika nyanja mbalimbali uku kikiendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya uchaguzi na kuzidi kuwavutiwa wanachama walio wengi nje na ndani ya chama vyama vingine vya upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.