Askari magereza wa nchini Uganda aliyetambulika kwa jina la Lawrence Ampe amefukuzwa kazi baada ya kuikosoa serikali kupitia mtandao wa TikTok, huku mamlaka zikisema alichokifanya ni utovu mkubwa wa nidhamu na kuongeza kuwa Kanuni za kazi haziruhusu mtumishi wa umma kushiriki siasa.
Lawrence...
Hamjambo wote!
1. Kumekuwa na vuguvugu mitandaoni la kuwapiga Pin Wasanii kwa sababu mbalimbali.
2. Nitaeleza sababu halisi bila kuficha kama ifuatavyo;
a) Wasanii kutokemea maovu yanayohusishwa na Dola.
Hii ndio sababu kuu. Ambayo wananchi wanaona Wasanii hawapo upande wao isipokuwa upande wa...
Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa...
Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.
ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA
Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka...
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.
N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika...
Ndiyo hali tuliyofikia kwenye utawala wa Mama chini ya serikali ya CCM,
Yaani kila mtu kabaki kusifiya, si maofisini,mitaani kwenye nyumba za ibada na hata kwenye makundi ya kijamii kama magroup ya kifamilia
Yaani ukionekana unaikosoa CCM na serikali basi unaoneka kama muhaini
Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
Hofu ya kutekwa na kupotezwa imeendelea kwa miongoni mwa baadhi ya wanaharakati na waandishi wa habari wa Tanzania wakiripoti kupokea kupokea jumbe za vitisho na tahadhari nchini kwao.
Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Tito magoti na Mtangazaji ROlandMabala wote walidai kupokea...
Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu.
Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA akiwa ni mmoja wa viongozi waandamizi wa hicho chama.
Baada ya kuhamia CCM, amegeuka kuwa mmoja wa...
Nauliza tu huyu jamaa ambaye huku ni mchambuzi wa mpira Crown FM huku ni CEO wa JKT Tanzania ataweza kutofautisha vipi haya mawili?
Asije kuongea kwa hisia akajikuta amefungiwa muda mrefu TFF
Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili...
"Lengo la ziara yetu ni kutazama tena, kuhuisha mwamko ndani ya chama chetu na ndio maana kazi ya kwanza tumefanya katika eneo hili (Mpanda/Katavi) ni kwenda kwenye shina namba tano (5) ili tukajiridhishe ni kweli wanafanya vikao? Ni kweli wanaandika mihtasari ya vikao vyao?
"Nataka niseme kwa...
Leo tumeona Polisi wamedai kumkamata mmiliki wa akaunti ya X inayotambulika kwa JINA la Sukunuku; mara tu polisi walipotaka hayo mawakili binafsi wengi wameonyesha nia ya kusimamia kesi hiyo huku baadhi wakiweka wazi kwamba watashinda kesi husika mapema kabisa.
Mmoja wa mawakili ndugu Madeleka...
Serikali, kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imetoa tamko juu ya matamko yanayotolewa na asasi mbalimbali kuhusu kukamatwa kwa Dr. Slaa, Wakili Mwabukusi, na Mdude.
Katika maelezo hayo imeeleza kuwa hakuna Mtanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa...
Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.
Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia...
Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa Watanzania?
Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.
Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.
Mnadai kuna demokrasia...
BUNGE linatarajiwa kuanza mikutano yake Mwishoni mwa wezi huu, ikiwa ni siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani yuko tayari kukosolewa yeye na Serikali yake ili kumuonyesha maeneo yenye matatizo aweze kuchukua hatua kubadilisha dosari zilizopo.
Wabunge tunawataka...
Kufupisha Uzi nitatoa mfano!
Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea!
Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
Tayari naanza kusikia Waandishi wa Habari (hasa Watangazaji wa Redio na Runinga) wanaanza Kuipongeza huku Wakimsifia Mtu (Mteuaji) wakati Wanachokipongeza ni Direct Responsibility ya Government kwa Wananchi wake ila Kuikosoa na Kushauri ndiyo Jukumu letu Kubwa ili basi kabla ya Kupitoshwa Kwake...
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.
Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.
Wamebaki kukomalia habari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.