kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hebu tujadili kwa haki kuhusu hili. Unaweza kukubali mumeo/mkeo ashikwe hivi??

  2. JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Mimi niliwahi kusikia madereva wa malori wanaoenda nchi jirani kuna muda wanasahau kama wapo safarini, kutokana na changamoto mbalimbali za njiani kama mipakani nk Naskia wamatembea na majiko yao kabisa pia wakiwa na unga, vitunguu, mboga, nyanya yaani wakifika mahali wanashuka wanakaa wanapika...
  3. JamiiForums Tanzania Lema asema haogopi kukopa. Ameshalipa aliyodaiwa na bunge

    Akifanya mahojiano na Edwin Odemba, Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema amejibu swali kuhusu kudaiwa Mkopo na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Mahojiano hayo Lema amesema haogopi kukopa, hata kama wabunge wa-CCM wangekuwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala bungeni kuhusu sheria ya uchaguzi

    Nimefuatilia mijadala Bungeni kuhusu Sheria za Uchaguzi. Nilitegemea kusikia ushauri, maoni yaliyotolewa na wadau wote yakijadiliwa moja baada ya moja lakini cha kushangaza Wabunge wengi wamejikita kujadili tu marekebisho kuhusu Wakurugenzi na Jinsia. Kuna ushauri uliotolewa na wadau kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kuhusu Mbudya niende na wife au kitaalam natakiwa niwe peke yangu

    Kama sio mtaalam wa burudani sio lazima uchangie. Nasikia sikia Mbudya, Mbudya kila kona, nataka nitoke na shemeji/ wifi yenu this weekend. Niende nae au ntajibania mema ya nchi akiwa pembeni?
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya Fedha kuhusu kuongeza mapato kupitia usajili wa namba za magari

    Waziri wa Fedha pamoja na wasaidizi wako nataka niwashauri kuhusu kodi ya plate number binafsi [Majina kwenye plate Namba] za vyombo vya moto (Magari) kama tunataka kuongeza mapato huduma hiyo iwe na watumiaji wengi Ishuke iwe kwa mwezi, serikali iweke Tsh laki moja kwa mwezi [100,000] itapata...
  7. JamiiForums Tanzania Inawezekana CCM ina hofu kidogo kuhusu mkoa wa Mwanza?

    Au labda "hofu" is too strong a word? Kwa sababu huu ndio Mkoa ambao mgombea wa CCM (Kikwete) alishambuliwa jukwaani na chizi. Huu ndio mkoa ambao TANU ilikuwa inaihitaji msaada wa Bomani kuingia na kutoka kule. Sasa tunaona Makonda yuko Maswa,lakini huko si ndiko alikoenda miezi michache...
  8. JamiiForums Tanzania Mke wangu msaliti

    Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika. Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe. Mwez wa kumi karudia the same nkaamuru abadili namba ya simu akafanya hivyo. Juzi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua nafasi special zinazotolewa na jeshi je, Ni kwel zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?

    Msaada tafadhali kwa anayejua zaidi kuhusu nafasi special zinazotolewa na jeshi je? Ni kweli zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?
  10. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Ukweli kuhusu watumiaji wa JamiiForums

    Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao. Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

    1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja 2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga 3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na mahusiana na jukwaa la michezo 4. Member wengi wa JF hawapendi kujitangaza nje ya JF 5. Member wengi wa JF...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu usonji

    Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri. Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
  13. JamiiForums Tanzania UVCCM Kagera watoa tamko kuhusu Taarifa ya Sintofahamu iliyotolewa na Emeltha Kente yenye Ujumbe Maalum kwa Rais Samia

    Kwenye Ujumbe huo, Emeltha alimpa Rais Samia siku 4 kutimiza kusudi la Mungu la Kinabii la kurudisha mali za wavuvi zilizopokonywa na Serikali, kuwatoa jela wavuvi waliopewa kesi za uwongo wakatumikie familia zao, wavuvi wavue kwa kutumia kokoro kwa nchi 4 hadi 5 na siyo nchi 6 kama ilivyo sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Kigoma Region Tanzania: Mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Kigoma na viunga vyake

    Uzi huu ni maalumu kwa wakazi na watu wenye asili ya Mkoa wa Kigoma na watanzania wote kwa ujumla. Utapata kushiriki habari na kuungana na marafiki wa Kigoma kupitia hapa. Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma basi Ubongo wako umeshakubeba kabla ya elimu yako (wewe ni wa tofauti...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tafakuri ya kauli ya CDF kuhusu mkimbizi kupewa uteuzi

    Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani? Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za kiafya ndiye target ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba mama mwenye nyumba anamhofia sana ktk mbio za...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024 CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI Mkuu wa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
  19. JamiiForums Tanzania Namna filamu zinavyotumika kufundisha Jamii kuhusu Matatizo na Ugonjwa.

    Habarini Wanajukwaana na Watanganyika wenzangu kwa ujumla! Ni wakati mwingine kama mmoja wa mwanamaendeleo katika jamii yangu kuleta mjadala mpana kuhusu mambo kadha wa kadha yanayoikumba jamii ya Watanganyika. Ni wazi kuwa filamu ni moja ya sehemu muhimu sana ya Maisha ya jamii ya sasa, kupitia...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Debate challenge: Mgogoro wa Hamas na Israeli

    Pamoja na uwepo wa mdahalo kati yao, mdahalo huo haukuwa na topic maalum isipokuwa aina ya majigambo. Sasa basi huu ni mdahalo wa wiki nzima kwanzia leo Jumapili mpaka Jumapili ijayo tutakapopata mshindi wetu. Nyani Ngabu na FaizaFoxy karibuni katika mdahalo huku tukisubiri ule wa makonda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…