kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Naona kuna kelele na nguvu nyingi sana huku mitandaoni kuhusu uchaguzi wa TLS hebu mnielimishe ina uzito gani hasa!?

    Kumradhi wanabodi kuuliza si ujinga naona tu nguvu nyingi sana zina tumika kuhakikisha TLS Inapata kiongozi fulani. Pengine tofauti na jumuiya zingine nyingi ambazo wahusika huchaguana tu na sa nyingine huchaguana kimyakimya lakini kwa TLS hali ni tofauti sana Natamani sana kujua nini nguvu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

    Napenda kufuatilia sana migogoro na vita zinazoendelea duniani. Mambo ya geopolitics. Nipo hapa kukujibu maswali yako yote kuhusu migogoro mbalimbali duniani. swalii lolote
  3. JamiiForums Tanzania Ombi la ushauri kuhusu fani na chuo kinachofaa

    Salam WanaJF! Kama kichwa cha Habari hapo juu. Nimehitimu First Degree ya ICT miaka michache ilopita. Tayari nilifanikiwa kuajiriwa. Sasa nimeamua kwenda kuongeza kitabu kwa ngazi ya Masters Degree. Hata hivyo nina Interest na fani mbili;- 1.Masters of Science in Project Planning and...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga mmesema Tiketi za VIP zimeshaisha, tunaomna mtutangazie mapema kuhusu kuingia bure

    Napenda kuushukuru uongozi wa Yanga ambao kupitiabmsemaji wetu Ali Kamwe walitutangazia kuwa Tickets za VIP zote ni Sold Out. Naomba niwakumbushe kwamba, maadam VIP zimeshauzwa zote, ni vyema wakatutangazia mapema kuhusu kuingia bure siku ya Wananchi ili tuweze kujiandaa kuujaza Uwania, na...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Loan Board

    Mlioanza application za loan board naomba uzoefu wenu maana nimeanza application asubuhi hii lakini mfumo haufunguki
  6. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu mizimu

    Habari wakuu, Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida. Mizimu ni roho za watu waliokufa. Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama (mababu na mabibi wote waliokufa) Mizimu ipo mizuri na mizimu mibaya Kuna aina zaidi ya >200 za...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga yavunja rasmi utamaduni wake wa jezi

    Hawa Gen-Z ndiyo wanachukulia poa ila utamaduni wa Yanga miaka yote ilikuwa ni marufuku kushobokea rangi nyeupe au nyekundu. Hawa jamaa ilikuwa manjano na wao na wao na manjano. Kama ni mfuatiliaji mzuri utaona miaka ya hivi karibuni walianza taratibu kutoka huko. Wakaanza kuonyesha waziwazi...
  8. JamiiForums Tanzania Angalia picha zinaongea zenyewe kuhusu wale vijana waliotimuliwa katika wizara zao

    Mwezi wa kwanza: Sasa ndugu yangu unajua kwanini nimekwita tukutane hapa? Nepi: Hapana ndugu yangu, hebu niambie.. Mwezi wa kwanza: Mimi nina nia ya kupambana na yule mama katika kinyang'anyiro cha kumpitisha mgombea wa chama katika uchaguzi mkuu, hivyo kama katibu mwenezi mstaafu, ninaomba...
  9. JamiiForums Tanzania The sentence in sentence case is: Anaandika Malisa GJ kuhusu kuahirisha utekelezaji wa mtaala ulioboreshwa wa kidato cha tano

    Wakati mnaanzisha combination zenu zisizoeleweka, tuliwauliza mmejiandaa? Mlipounda tahsusi kama vile Arabic, Music & Sports (ArMS) tuliwauliza serikali imeandaa walimu wa Arabic, walimu wa Music na walimu wa michezo wa kutosha? Tuliuliza kwa sababu tunajua vyuo vyetu haviandai walimu wa masomo...
  10. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi kiongozi umeshindwa kumshauri Rais kuhusu mishahara ya watumishi wa umma? Tukiibia serikali mtatulaumu?

    Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo Yaani haiwezekani mtumishi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mdau yupo sahihi kuhusu Wachungaji na Mahospitali?

    Yupo sahihi?
  12. JamiiForums Tanzania Unalijua hili kuhusu Mtoto wa kambo?

    Kijana endapo kama utaamua kuoa single mother na ukaamua kubeba majukumu ya ubaba kwa mtoto wake basi tambua kuwa mtoto hatothamini unavyojitoa kwake na kila utakachofanya ataona kuwa unayafanya hayo majukumu kwasababu upo na mama yake na sio kwamba unampenda kweli. Mtoto wa single mother...
  13. JamiiForums Tanzania Karibu Kujifunza Kuhusu PMP® Prep Training! - ULIZA SWALI LOLOTE!!

    Habari wanajamii, Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class. PMP® ni nini? PMP® ni cheti cha kitaalamu kinachotolewa na Project Management Institute (PMI). Ni cheti kinachotambulika duniani kote na...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

    Habari Ndugu wana jamii forum Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4 ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya 1. Political science and public administration 2.law 3. Law enforcement 4. Social work Zinahusu nini kiundani...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Habarini wakuu, niko hapa kuomba msaada kwa yoyote ambaye ana mtu anamfahamu anafanya kazi NSSF anaweza kuniunganisha naye. Nina maswali mengi nataka kufahamu kabla sijaanza kufuatilia pesa zangu, yeye atakuwa ananisaidia kwenye kila hatua hadi mwisho. Nawasilisha
  16. JamiiForums Tanzania Je watanzania wanafahamu kuhusu miradi ya TACTIC kwa upana?

    Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI imeendelea kutoa mafunzo ya masuala ya kijamii na Mazingira kwa watumishi wa Halmashauri Tanzania, zinazotekeleza awamu ya mbalimbali za mradi wa TACTIC inayotekelezwa kwa fedha za mkopo kutoka benki ya Dunia. Mafunzo yamefanyika...
  17. JamiiForums Tanzania Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

    Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa. Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni mnijuze kuhusu Samsung Galaxy A55

    Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55 Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk Bei halisi nijiandae na sh ngapi? Mkitaja na maduka sio mbaya
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu rudi tena useme vizuri kanusho la serikali "kufulia"

    https://www.jamiiforums.com/threads/tanzanialeaks-apuuzwe-hazina-haijafilisika.2236060/ Heshima kwenu wakuu wenzangu Kama mtambuka juzi kati member wa JF na Waziri wa Fedha alikuja humu kukana kwamba serikali haijapungukiwa uwezo wa kifedha. Hoja yake ilijikita kuonyesha serikali ina uwezo...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira hizi mpya za Utumishi

    Naomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024 Je, kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari Ina pesa kiasi cha kuendesha interview kila mkoa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…