kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu maridhiano na kuliponya taifa la Tanzania .

    Habari wana jf, Huu ndio ushauri wangu kwa Rais Samia , CCM ,Vyama vya Upinzani na watanzania kwa ujumla hususani katika maridhiano na kuliponya taifa kunakozungumzwa . Kwa katiba tuliyonayo tunategemea sana maamuzi ya Rais aliyepo madarakani na CCM , hata mataifa ya nje hayawezi kutusaidia...
  2. JamiiForums Tanzania UKWELI NI UPI KUHUSU HIKI KIWANDA CHA BAKHRESAA

    Wakuu kuna mjadala nimeukuta facebook sasa nilitaka kujua ukweli wa jambo ukoje Maana inasemekana wao ili wakupe kazi hawahitaji nida,passport wala kadi ya mpiga kura isipokuwa nguvu zako tu ila mziki wake utapenda we na roho yako Picha linaanza .Unakimbia na roba la kilo 50...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA kuhusu maridhiano

    Mtangazaji:"Kuhusu maridhiano, hapa nimesikia mwanzoni umezungumza unasema kwamba hakuna maridhiano mpaka wapatikane watu kutoka nje. Unaamini kwamba Tanzania haiwezi kufanya mambo yake bila kushirikisha watu wengine?" John Heche: "Hivi vitu Farhia si vitu vinavyotokea kwa mara ya kwanza...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

    DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

    Nilikuwa nasikia watu wanasema kabila la wahaya watu wake Huwa na sifa au misifa, sikuwahi ku experience hiyo tabia Yao ila Sasa nimeshuhudia. Aisee hawa jamaa ni hatari, wanasifa balaa, kujikweza, kujisifia, kupenda competition hasa kazini, na kujipendekeza Kwa viongozi. Yaani mtu kutwa nzima...
  6. JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Kama kichwa cha habari kisemavyo Nina changamoto kubwa sana kuhusu namna bora ya ku transmute sexual energy.. We all know how this energy can lead to doing greater things.. So badala ya ku indulge kwenye tendo lenyewe la sex kila muda nataka kutumia katika creativity ila sasa nikiwa in the...
  7. JamiiForums Tanzania Ulikua na mawazo Gani kuhusu watumiaji wa JF ulivyojiunga??

    Mimi kipindi hicho najiunga nilikua JF ni mtandao wa wafanyakazi wa serikalini tuu, sikujua kama ni mtandao kwa wowote. Nilivyoingia sikuamin, baada ya kuona post za watu hapa JF nilihisi kila mtu ana nyumba Kali na gari na ana degree. Wewe ulifukiria Nini kuhusu watumiaji wa JF
  8. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu Devowoshipu

  9. JamiiForums Tanzania Tutafakari sana kuhusu hiki anachokifikiria Masoud Kipanya

    MAPENDEKEZO YANGU: TUKITAKA KUJENGA UCHUMI WA UZALISHAJI, KUNA MAAMUZI MAGUMU LAZIMA TUANZE KUYAFANYA Kuna mambo ambayo naamini kabisa tukiamua kuyafanya kwa nia ya dhati yanaweza kubadilisha namna uchumi wetu unavyofanya kazi. Kwanza, tupange upya biashara zetu mijini. Hii tabia ya kila...
  10. JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya Luhaga Mpina aliyowasilisha madai kuhusu uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuitaka Jumuiya ya Madola kuchunguza

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wako juu ya Maisha toa maoni yako kuhusu msemo huu

    Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake. Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA" Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
  12. JamiiForums Tanzania Sheikh anatoa ya rohoni, kuhusu yanayojiri Tanzania na yatakayotokea. Kuna msiba wa mzito utatokea ASAP

    https://youtu.be/ObnNqWHIhwU?si=fZ3x4KYA79HxKTFj ILANI: Hii ni video ya Novemba 3, 2025
  13. JamiiForums Tanzania Kuhusu AI contents kwenye Mitandao ya kijamii

    Salaam Wandugu, Kuna jambo kuhusu AI contents naliona kwa upande wangu binafsi kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kuzikwepa, nitaweka mifano; Nikiwa naperuzi Mitandao ya kijamii ikatokea nakutana na video ambayo imetengenezwa kwa AI huwa na skip haraka sana bila kupoteza muda. Pia kutokana na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume za Rais Samia kuhusu 29/10 ni feki na hazisaidii chochote kwa sababu zinapewa kazi ya kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji yaliyofanyika

    Wanabodi Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Chadema toa TAMKO kuhusu hizi Tume zinazoundwa kuhusiana na mauaji ya 29.10.2026

    Huu ni mtegon mkubwa. Kujalalisha uovu.. Matais wa nchi zilizoleta majaji ni birds of the same feathers fly together! Uganda haina Independent judiciary, pia Namibia! Museveni ni dikitaita namba moka Afrika. Besigye anaozeamjela kwanuonevu kama Lisu.. Eti huyo atoe jJaji kuja kuona ukweli...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akina Mama Mathare na Huruma Wadai Majibu Kuhusu Vijana Waliotoweka

    Familia za vijana kutoka Mathare na Huruma zimefika hadi Bungeni kudai majibu kuhusu wapendwa wao waliotoweka katika mazingira yasiyoeleweka. Juni 18, 2026: Joel Kariuki Mwai, mfanyabiashara na aliyewahi kuwania udiwani, aliripotiwa kutekwa na watu waliokuwa wamevalia kiraia katika eneo la...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mathare: Kijana afariki akiwa mikononi mwa Polisi, wananchi waandamana kushinikiza haki na uchunguzi huru

    Wakazi wa Mathare wameandamana wakitaka haki na uchunguzi wa kina kufuatia kifo cha kijana Eric, ambaye familia yake inasema alijeruhiwa akiwa katika seli za polisi. Kulingana na taarifa iliyo kwenye video ya NTV iliyotumwa, familia imeomba uchunguzi huru wa mwili (independent autopsy) ili...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa - Kauli Ya Nchimbi Kuhusu Tupiganie Katiba Mpya Ni Kauli ya Mungu

    04 August 2026 Kyela, Mbeya Tanzania KATIBAKITAA - Mbunge Mstaafu wa G-55 Anafunguka Juu ya Katiba Mpya na Maridhiano Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kyela Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa akifanya mahojiano maalum kwenye kipindi cha Katiba Kitaa https://m.youtube.com/watch?v=gMXhLrtH45Q Emmanuel...
  19. JamiiForums Tanzania Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

    Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
  20. JamiiForums Tanzania Anaandika Jemedari Said kuhusu sakata la Simba

    Kuna tafsiri ambayo wana Simba SC Tanzania wanayo kwa Mwenyekiti wa Klabu yao MURTAZA MANGUNGU na kuna tafsiri wana Simba wanayo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRESENTIUS MAGORI. Bahati mbaya sana nadiriki kusema wengi wanawatafsiri hawa watu TOFAUTI (Vice Versa) na ukweli ulivyo. Mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…