kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Anaefahamu kuhusu biashara ya uchomeleaji

    Salam wanajukwaa. Husika ni kichwa cha habari, Mimi ni kijana mpambanaji na ni muda Sasa nafikiria kuhusu hii biashara ya uchomeleaji. Ila mpaka Sasa sijajua iko ikoje, naamini hapa jf wapo wazoefu wa hii kazi so nilikuwa naomba mnipe mawili matatu kuhusiana na hii kazi Nilikuwa naomba...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu BIBLIA YA ETHIOPIA yenye vitabu 88 na kwa nini vitabu vingine vilinyofolewa na wajanja.

    Yale waliyoyaona yatawapa changamoto wakayaita APOKRIFA. Ati maandishi yaliyotiwa chumvi nyingi!! Yale waliyoona hayana madhara katika kuwezesha malengo yao kutimia ndiyo wakayaacha. Twende polepole: https://youtu.be/n489bUhMXb0?si=gAXe7aU7KY-ohDWR
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Ukweli kwa Vijana Kuhusu Maisha

    1. Jifunze Kujijua Kabla Ya Kujitangaza Usijaribu kuwa mtu mwingine ili ukubalike – jua wewe ni nani, unataka nini, na thamani yako iko wapi. Ukiwa original, huna ushindani. 2. Pesa ni Muhimu – Lakini Tabia ni Zaidi Unaweza kupata pesa leo na kupoteza kesho. Lakini ukiwa na nidhamu, heshima...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna taarifa zinasambaa kuhusu kundi hili katia picha hii kwamba wakikutana na kuanzisha chama basi kitakuwa babkubwa

  5. JamiiForums Tanzania Nataka gari ya mil5 IST,vitz iwe D fresh?? Sijui kuhusu magari ila Usijaribu kunirubuni

    Matajiri Nashida na kagari flan ivi ka kujifunzia funzia na kwendea sokoni. Location mwanza Nb: huwa napenda kujua na sababu ya kuuza
  6. JamiiForums Tanzania Mafunzo Kwa Wahariri na Waandishi wa Habari Kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025, leo Agosti 4, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=9D6yvt12c8o Updates Ramadhan Kailima: Vyombo vya habari visipendelee chama cha siasa kuelekea Uchaguzi Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari leo Agosti 4, 2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)...
  7. JamiiForums Tanzania Heko TRA kwa kuwaumbua machawa kuhusu miradi.

    Ili kuondoa utata wa nani anayegharamia miradi nchini, TRA hivi sasa imeweka tangazo kwenye runinga likionesha kuwa miradi yote inagharamiwa na kodi zetu. Lucas Mwashambwa na magarasa wenzako heshimuni hilo tangazo la serikali.
  8. JamiiForums Tanzania Je Mungu ameruhusu tujifanyie /tutengeneze sanamu za kuchonga ?neno la Mungu linasemaje kuhusu kujifanyia sanamu??

    Neno la Mungu linasema Kutoka 20:4-6 “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata...
  9. JamiiForums Tanzania Hili la Salim Kikeke kuhusu masoko ya Nguruwe mnalionaje ndugu zetu waislamu?

    Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge. Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tujifunze machache kuhusu umeme wa mwilini unavyoweza kukusaidia kuishi au kukuharibu mazima

    Ndugu karibuni katika mada hii japo nitasema kwa uchache. Pamoja na kwamba mimi ni fundi umeme na ujenzi lakini hapa kwa leo nitazungumzia zaidi umeme ambao upo ndani ya miili yetu zaidi. Nikiwa nafanya kazi zangu za kiufundi umeme huu tunaotumia majumbani nilikuja kubaini kuna uhusiano mkubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Kutengeneza Pesa Online — Usifuate Kelele, Fuatilia Mwelekeo Sahihi

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kauli kama “Unaweza kutengeneza mamilioni ukiwa nyumbani” zimekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ukweli ni upi? Je, kila mtu anaweza kweli kutengeneza pesa mtandaoni? Je, kuna njia halali na rahisi au kila kitu ni ‘scam’? Blogpost hii...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu elimu

    Je Kuna uwezekano wa mtu kusoma kozi mbili ndani ya intake moja chini ya NACTE!?
  13. JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu kampuni ya Prestige Auto Export

    Habari za mda huu wadau. Naomba kama kuna mtu humu aliewahi kununua Gari Prestige Auto Export anisaidie kuhakiki kama hizi taarifa na account ni sahihi. Nauliza kwa Niagara ya jirani anaogopa kupigwa.
  14. JamiiForums Tanzania Chukua hizi tips za ujenzi kuhusu Kuezeka nyumba za contemporary

    Tips za ujenzi Leo nawapa hii kuhusu kuezeka nyumba za contemporary 1.Bati zivaane migongo 3 ( kwa upana) 2. Overlap bati na bati kwa urefu isipungue cm 30 3.Weka treatment nzuri ya waterproof kati ya bati na ukuta 4.Gata ya zege ya kukusanyia maji iwe treated na waterproof na iwe pana...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hivi haya tunayoyasikia kuhusu Arusha ni kweli au uzushi?!!! Inashangaza na kutisha

    Akilini mwangu, tangu nikiwa mdogo shule, ilijengeka taswira nzuri sana kuhusu mkoa wa arusha. Vivutio vya utalii, ile kwamba no Geneva ya Afrika n.k vilinichanganya sana akili kiasi ilijengeka picha ya mbingu akilini pale Arusha ikitajwa. Nikiri, mpaka nikiwa mkubwa hivi, Kuna picha njema...
  16. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua zaidi kuhusu mti wa mjohoro (cassia siamea)

    Je Ni mzuri wa kivuli haupukutishi matawi ovyo ovyo, unakuwa haraka, maua yake hayatoi harufu kali, etc,? Karibuni
  17. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

    Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?" Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...
  18. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe alichosema Rais Samia kuhusu wanasiasa wenye "Stress" za 2025

    Wakuu, Wakuu nakumbuka Rais Samia akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19 alionya kuhusu watu wa Serikalini ambao walikuwa na fever ya Uchaguzi
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu narcissist

    Katika maisha ya kila siku, huwa tunakutana na watu wa aina mbalimbali—wenye upendo, huruma, upole, kujali, na pia wale ambao ni wakatili kimya kimya, wenye kujipenda kupita kiasi, wasiojua kupokea makosa, wala kuona umuhimu wa wengine. Hawa wa mwisho ndio mara nyingi huitwa "Narcissists" –...
  20. JamiiForums Tanzania Maswali 10 kuhusu maandiko ya Lucas Mwashambwa na hoja zake

    Wana Jamiiforums huyu Member mwenye kuitwa Lucas Mwashambwa amekuwa na maandiko yenye ushabiki usio na hoja, unaokusudia kusifia kwa lugha ya mihemko badala ya kutathmini uhalisia wa utawala wa Rais Samia kwa hoja na takwimu. Nimetumia muda mwingi kufuatilia maandiko yako ambayo yamenipelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…