kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe...
  2. PreGE2025 Gerson Msigwa ajibu kuhusu vijana waliomzomea UDOM wakisema 'No reforms No election' asema ni walevi wachache waliotumwa kupiga kelele

    Kupitia Instagram story yake Msemaji mkuu wa serikali na katibu mkuu wa wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo Gerson Msigwa ameweka ujumbe unaojibu tukio la kuzomewa jukwaani na wanafunzi wa UDOM wakisema 'No reforms, No election' kwa chochote alichothubutu kukisema jukwaani hapo, ambapo...
  3. B

    Naomba kufahamu kuhusu Mercedes benz c class 2005

    Habari za majukumu wakuu Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji kununua mercedes benz c class (c180/c200) ya (2000-2005) hizi ndonamudu ushuru wake naomba kufahamu kuhusu uimara kwa ujumla na upatikanaji wake wa spare...gharama za huduma Natanguliza shukrani
  4. Tutaelimisha mpaka babu na bibi zetu kuhusu hili la NO REFORMS NO ELECTION

    Wakuu mpo wazima hapa. Binafsi nimeamua kuwapa elimu ya NO REFORMS NO ELECTION babu na bibi yangu pia wazazi na wajomba na mashangazi. Kwa wingi wa vijana wa kitanganyika na zanzibar tunao uwezo wa kuifikisha NO REFORMS NO ELECTION kila kona ya nchi yetu. Tuna weza na tutawafikia wote...
  5. AMANI IWE JUU YENU......NAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU TOYOTA COROLLA FIELDER NA RUMION IPI NZURI ZAIDI BONGO, ULAJI WA MAFUTA, VIPURI NA UIMARA

    AMANI IWE JUU YENU......NAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU TOYOTA COROLLA FIELDER NA RUMION IPI NZURI ZAIDI BONGO, ULAJI WA MAFUTA, VIPURI NA UIMARA
  6. R

    Salaam kutoka Jimbo la Indiana Marekani kuhusu kufungiwa makanisa

    Nadhani huyu ni mtanzania kwa lafdhi yake. Msikilize.
  7. Ushauri kuhusu Elimu yangu

    Nina bachelor degree in Gender and Development, nataka kwenda Dubai kutafuta maisha. Ila ndoto zangu nataka kwenda nchi za kiarabu kama njia ya kwenda ulaya... Hasa scandinavian countries, Sasa naomba kujua vyeti vyangu nibebe au niachane navyo!! Mana nasikia kule elimu yetu Haina Thamani...
  8. P

    Ujumbe wangu kuhusu amani

    Mimi ni mwalimu, juzi kati nikiwa nafundisha kuhusu topic ya Promoting Peace” wanafunzi walikuwa na maswali mengi sana. Maswali yao yalikuwa ya kutaka kujua 1. kwa nini kuna nchi zipo vitani 2. kwa nini vita hutokea 3. Na ni namna gani vita uanza Mfumo wa ufundishaji wangu ni wa kuwafanya...
  9. Video: DC Bomboko huku ni Kujidhalilisha, Si kila mtu ni mwoga. Haya sasa unajisikiaje?

    Ni aibu kwa huyu DC hata lugha yenyewe inamchanganya haijui. Anaishia kutishia tu na yupo kwenye paniki mode.
  10. Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer aishutumu Israel kuhusu Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka. Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
  11. Swali kwa msajili wa jumuiya za kiraia Je, muanzilishi wa kanisa akifariki kanisa litafutwa?

    Baba msajili wa makanisa hebu tueleweshe kuhusu hili. Endapo mwanzilishi wa kanisa amefariki je, kanisa litafutwa?
  12. Ukweli unaouma kuhusu Israel huu hapa!!!

    Wape wape vidonge vyao wakimeza wasimeze Shauli yao!!!! https://x.com/fcjoriginal/status/1913388970823803060?s=61
  13. B

    Discussion yangu fupi na CHATGPT kuhusu filamu za kihistoria

    Swali nililouliza; "Tanzania tuna maeneo ya makumbusho kama bagamoyo na kilwa ila tayari maeneo hayo yenye majengo ya kale yalisha kuwa over polluted na usasa mwingi na watu wengi. Ni vipi maeneo ya kale kama bagamoyo iliyoaribiwa na usasa inaweza kutengeneza filamu Kali ya kihistoria kama...
  14. R

    Tujikumbushe wosia wa Nyerere kuhusu udikiteita

    JE TUMEFIKA HUKU?
  15. Jeshi la Polisi latoa tamko kuhusu Wahalifu wanaovamia Watu na kuwapora wakiwa wamebaa Baibui

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na kumshambulia mwananchi kwa kutumia silaha. Jeshi la Polisi limewashikilia Vijana 8 kwa tuhuma za...
  16. Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa pekee ambao Wabunge wake Elimu ya chini Wana shahada/degree. Bila Degree Sahau kuhusu Ubunge huko Kilimanjaro

    Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2. Elimu 3. Familia. Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
  17. Google play store sasa inaweza kujibu maswali yako yote kuhusu app unayotaka kudownload

    Kampuni ya Google kupitia program yao ya Google play store imefanikiwa kuzindua feature mpya inayotumia muundo wa akili bandia (AI), kwa kuweza kumruhusu mtumiaji wa play store kuweza kuuliza app wanayotaka kuipakua ikoje kama hajaamua kuwa nayo kwenye simu yake. Feature hii inatumia...
  18. Luhaga Mpina kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivyo ambavyo unatakiwa Ulichukue Hilo yaaani Uwe tayari kupoteza Ubunge

    Mh Luaga Mpina , Tangu Enzi na Enzi wewe ni MTU Haki, unaijua Haki na Kusimamia Haki. Haijawahi kutokea ulimi wako ukafurahia Maovu !!. Kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivo ambavyo unatakiwa Ulichukue Hilo yaaani Uwe tayari kupoteza Ubunge.!!. Sasa Uchaguzi ni Mmoja tu, Ukawa Kimya bado...
  19. Usiyoyajua kuhusu UEFA Champions League

    𝑯𝒊𝒔𝒕𝒐𝒓𝒊𝒂 𝑭𝒖𝒑𝒊 𝑲𝒖𝒉𝒖𝒔𝒖 𝑼𝒆𝒇𝒂 𝑪𝒉𝒂𝒎𝒑𝒊𝒐𝒏𝒔 𝑳𝒆𝒂𝒈𝒖𝒆 📝𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐣𝐚𝐚𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐌𝐨𝐥𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐛𝐚𝐤𝐢 𝐦𝐮𝐝𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐞 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐩𝐨 𝐭𝐮𝐭𝐚𝐬𝐡𝐮𝐡𝐮𝐝𝐢𝐚 𝐟𝐚𝐢𝐧𝐚𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐔𝐞𝐟𝐚 𝐂𝐡𝐚𝐦𝐩𝐢𝐨𝐧𝐬 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐏𝐚𝐫𝐢𝐬 𝐒𝐚𝐢𝐧𝐭 𝐆𝐞𝐫𝐦𝐚𝐢𝐧 𝐝𝐡𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐧𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧𝐚𝐥 𝐌i𝐥𝐚𝐧𝐨. 𝐁𝐚𝐬𝐢 𝐭𝐮𝐤𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐧𝐢 𝐣𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐚𝐮𝐥𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐭𝐮𝐭𝐚𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐦𝐳𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐥𝐚𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐮𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐞 𝐡𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐔𝐞𝐟𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐦𝐩𝐢𝐨𝐧𝐬...
  20. Serikali ya mkoa Dar es salaam mtusaidie kuhusu watu wanaombaomba hapa maeneo ya cheif pride, na msikiti wa sunni

    Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…