kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo 70 kuhusu Legend wa Soka Hayati Pelé

    Popote pale, muda wowote haiwezekani kutokea mjadala kuhusu nani ni mchezaji wa soka bora zaidi bila jina la Pele kutajwa. Mshambuliaji huyo wa Kibrazili amefanya alama yake kuwa mashine ya kufunga mabao ambayo ilitoa mambo muhimu sana, na kasi ya ushindi wa ajabu ambayo ilianzia katikati ya...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kwenda Nairobi

    Hamjambo wakuu? Nataka kuenda Nairobi Kwa siku mbili, nahitaji kujua usafiri mzuri kutoka Dar, nauli na pale mpakani kinahitajika kitu Gani? Passport ninayo je, kuna kingine kinahitajika ili kuingia Kenya? Je, maeneo Gani mazuri Nairobi ya kukaa Kwa budget ndogo, msaada?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

    Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu. Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba kushauri hivi kuhusu Fedha za Boost kwenye Elimu kabla ya kuanza utekelezaji

    Sote ni mashahidi wa Juhudi Kubwa unazoendelea kuzifanya kuboresha Elimu yetu ikiwemo suala la kuboresha miundombinu ya Shule, Maabara na vitendea kazi. Hivi karibu Serikali imetoa Fedha kwaajili ya Ujenzi wa Madarasa, Maabara za shule pamoja na madawati ili watoto wetu wawe na mazingira rafiki...
  5. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu mabadiliko yaliyofanywa kwenye WhatsApp mwaka 2022

    Haya ni baadhi ya mabadiliko ambayo yamewekwa katika App ya WhatsApp kwa mwaka 2022. Ni features zipi ambazo umezipenda zaidi?
  6. JamiiForums Tanzania MWL. J. K. Nyerere kuhusu vyama vya upinzani

    Habari za saa wanachama wote natumai ni njema . Kama kichwa cha mada kisemavyo "Mwalimu nyerere kuhusu vyama vya upinzani”. Ningependa kuwa karibisha wadau wote kutoa maoni na michango huru kutokana na mazungumzo mafupi katika video hii nilio weka hapa ikumuonesha Mwalimu Julius Kambarage...
  7. JamiiForums Tanzania Kuota kuhusu jambo fulani na likatokea baada ya siku chache

    Kuna uhusiano gani uliopo kati ya ndoto anazoota mtu na zikawa kweli?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Kuhusu Mikopo ya Riba nafuu kutoka Hazina.

    Heshima kwenu! Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri. Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati rasmi wa kuongea ukweli kuhusu Fiesal

    Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga. Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal. Tumeshakubali kwamba ameondoka. Hatumuhitaji please. Msije kushangaa akizomewa.. Na kwa wewe unaesema msimponde Fei kutaka kuondoka...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu 1999 Toyota hilux surf 3rz powered

    Dear Wadau, Please kindly find the below snaps and Table 1: 1999 TOYOTA HILUX SURF SSR-X V SELECTION for your information and consultation. Kwangu reliability and durability kwenye gari are the key inputs ndio maana nimechagua 3RZ over 1KZ that's why naomba ushauri kwa wadau wote ambao ni...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Stereotype kuhusu Zoezi la ujazwaji maji Bwawa La Nyerere (JNHPP)

    Mods Msitoe huu Uzi. Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi. Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza...
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto nyingine kwa wazoefu na wataalamu kuhusu Binti yangu

    Binti yangu ana mwaka na miezi takribani miwili sasa yupo kakaa tu HATAMBAI... Ukimlaza atajigeuza geuza tu... Na hata ukimkaliza kwenye kochi anaweza kushuka na kuishia kusimamia tu miguu kwenye kochi... Anasimamia tu watu au vitu ila hatambai ukimlaza chini au ukimkaliza. Changamoto...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe siyo kila mwalimu atapewa kishkwambi kama alivyosema Waziri Mkuu!

    Naomba sana Jamii forums Uzi huu ikiwezekana ufikishwe Kwa ofisi ya waziri mkuu, Tar 4 mwezi November 2022 waziri mkuu akizindua zoezi la ugawaji vishikwambi namnukuu, "kila mwalimu apate kishikwambi, idadi ya walimu tunaijua na idadi ya vishikwambi tunaijua!" Kumbe bhana ni kama Ile kauli ya...
  14. JamiiForums Tanzania Urusi yang'aka kuhusu ziara ya Zelensky kule USA

    Sasa sijui wanalia nini, kwani rais wa Ukarine hana uhuru wa kufanya ziara ya nchi nyingine aitakayo??? Subirini mfumo wa Patriot usimikwe vizuri ili show iendelee... The Kremlin said that nothing good would come from Ukrainian President Volodymyr Zelensky's trip to Washington on Wednesday...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme. JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya Rais Samia na Hayati Magufuli nani aliona vizuri kuhusu idadi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM?

    Hayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
  17. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya sikukuu ya Xmas

  18. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu ulimwengu wa kiroho

    Nina ushahidi tosha juu ya ulimwengu wa kiroho sana ila sasa ningependa kukushirikisha juu ya watoto wa kiroho na jinsi wanavyopatikana . Mara nyingi wanapatikana katika ndoto pale unapoota unazini au unafanya mapenzi huwa no kweli katika ulimwengu wa kiroho na unapata watoto kabisa niamini...
  19. JamiiForums Tanzania Nape: Muda mnaotumia kulalamika kuhusu bei za bando mngefanya shughuli nyingine

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuna watu wanamkosoa kuhusu gharama za bando mtandaoni naye anawajibu kuwa muda huo wangeutumia kufanya kazi nyingine wasingelalama kuhusu bando. Kauli hii ya waziri, imeenda kinyume na sera ya TEHAMA 2016 inayotaka...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujifunza kwenu wana JF kuhusu Katiba na nafasi ya Urais Tanzania

    Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni! Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo! Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar! Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…