OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI
Msomaji wa andiko hili, naomba ulisome ukiwa huna chembe chembe za udini au mihemko, naomba usome kujifunza, hili ni angalizo langu.
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakstani, Benazir Bhutto, anamuambia jambo la kumuonya Rais wa Marekani kwa...