Bibi mwenye umri wa miaka 66 anayefahamika kwa jina Julia Albin mkazi wa Tarafa ya Useri wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya eneo lake lenye makazi yakudumu kuuzwa kwa amri ya mahakama, kutokana na mwanae kushindwa kutoa matumizi kwa...
Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
Kikundi cha T Group waunga mkono jitihada za utoaji wa huduma za afya katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kukabidhi msaada wa mashine 10 za kupimia shinikizo la damu.
Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo, Septemba 6, 2025, ambapo Kiongozi wa Wodi 4B, Bi. Sada...
Mfuko wa uwekezaji wa pamoja UTT punguzeni ubabaifu katika kuhudumia watu,mnafanya clerical errors na badala ya kuzishughulikia mnampa mzigo mteja.Mkiwa watoa huduma tena mnaoshika vitu muhimu kama pesa hakikisheni mnafanya kazi zenu kwa weledi.Dunia iko kidijitali lakini mnafanya makosa...
Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
Mwaka 2024, kampuni maarufu na inayoheshimika kimataifa katika tathmini za kiuchumi na uwezo wa kulipa madeni — Moody’s wameitaja Tanzania katika nafasi ya juu zaidi ukilinganisha na majirani zake wa Afrika Mashariki. Kwa mara ya kwanza katika historia ya karibuni, Tanzania imepewa daraja la B1...
Moja ya mambo yanayorudisha michezo nyuma ni academy za michezo mbalimbali kukabiliwa na ukata wa fedha za kujiendesha
Lengo kuhakikisha Tanzania inakuwa dominant kwenye michezo karibia yote
habari wadau.
nina imani wengi tumeona seke seke la mabinti wa chuo kupigana kwa sababu ya kugombania penzi la mwijaku ambaye ni mume wa mtu.
kwa hali ilivyo mitaani hayo matukio ya wanawake kugombania wanaume yataendelea kuwa mengi sana.
hapa Tanzania kuna wanaume wengi sana ila ni...
Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
biashara
huduma
kitaalamu
kodi
kufuata sheria
kuhudumia
kuongeza uelewa
mbalimbali
tayari
uhasibu
ukaguzi
unatafuta
ushauri
ushauri wa biashara
uwekezaji
uwezeshaji
wafanyabiashara
wote
Habari za asubuhi Wanajamiiforums.
Leo nawakumbusha Vijana.
Unakuta Kijana hata kujihudumia mwenyewe anashindwa ila kichwani ana hesabu za kuoa, Vijana ebu tuacheni huu uwendawazimu.
Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini.
Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
afya
aga khan
dar
dar es salaam
habari
hali
hospital
huduma
huduma za afya
katika
kuhudumia
kutokana
mkutano
mkutano wa nishati
muhimbili
nishati
uchambuzi
wageni
Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama,
Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa..
Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI
Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa juhudi kubwa...
Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu
Utumishi wa Mungu ni Nini
Utumishi ni hali ya kutii na kuitumikia mamlaka au mtu mwenye mamlaka fulani na ambaye unamwamini na kumtegemea. Katika muktadha huu tunakuta kuna watumishi wa aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utumishi...
Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana ila si haba wawe na uwezo flani sauti,kuwa nakaji uwezo hata kwa mbali kanakoweza ku influence...
Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeipongeza Serikali kwa kukamilisha vipande viwili vya vya mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kuanza kutoa huduma.
Akizungumza jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba 2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)...
Jana nilileta uzi wa baadhi ya mambo ambayo yatasababisha kuanguka kwa nchi za magharibi.
FEMA ni mfuko wa kusaidia jamii kwa ajili ya majanga na emergency mbali mbali huko Marekani.
Sasa Serikali ya democrat imejikuta ikitumia pesa nyingi kuhudumia wahamiaji hadi wa wale walioingia kiholela...
TUWEKANE SAWA; SINGLE MOTHER NI YULE ASIYEWEZA KUHUDUMIA WATOTO WAKE NA ANAHITAJI KUTUNZIWA WATOTO NA MWANAUME MWINGINE ÀMBAYE HAKUMZALISHA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kelele zote na Kejeli zote unazozisikia Kuwahusu single mother msingi wake Mkûu ni ufukara walionao Wanawake wengi...
Kuna siri kubwa imejificha kuhusu pesa.
Haiwezekani wanaume tuweze kuhudumia wapenzi wetu mpaka michepuko, tuhudumie watoto, tuhudumie wazazi, tuhudumie wakwe na mashemeji na bado tukawa sawa lakini kwa wanawake washindwe?
Kama kufanya kazi hata wanawake nao wanafanya tena mnaweza hata mkawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.