kuhudumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Aweso: Ruksa wenye visima Binafsi vilivyo hakikiwa kuhudumia wananchi

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka watoa huduma binafsi ya visima kutoa huduma hiyo kwa kuzingatia taratibu za uuzaji zilizowekwa kisheria ikiwemo maji bei elekezi na kuhakikisha maji hayo yana ubora. Amewataka wamiliki wa visima binafsi na vya umma kuendelea kutoa huduma hiyo kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia mwanamke ni raha sana

    Kuwa bonge la bwana sio lazima uwe na mwili mkubwa vile unavyowatendea wanawake (mapambo ya ulimwengu) ndiyo yatafanya mwanamke amwage machozi siku utakayomwambia "Me and you it's over". Siyo mpo kwenye date kila mara unaweka mikono mfukoni, mara kabla ya kuagiza unaanza kuuliza bei, nini sasa...
  3. MoseKing

    JamiiForums Tanzania DCs waondolewe, DEDs wapewe Nguvu(Ulinzi na Usalama ) Wakuu wa Idara wapewe Nguvu kuhudumia Idara

    Hata kama CCM hawataleta Latina mpya au wanahitaji utitiri wa vyeo ili waweze kutoa fadhila na zawadi, Ni muhimu kupitia muundo wa utawala ili kuboresha kazi, kuondoa urasimu. na kuongeza Tina na kukwepa lawama. Leo, DCs wanalaumiwa masuala ya mapato lakini kiuhalisia DCs hawahusiki kabisa. DCs...
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ujamaa ni kwa ajili ya kuhudumia na kuwatunza Politburo, basi!

    Hakuna kingine communism inafanya isipokuwa kuwahudumia politiburo, mfumo wa Tanzania haukuundwa kujali mtu wa kawaida bali ni kwa ajili ya wale walio juu na hilo ni kuanzia Serikalini, Mashirika mpaka Polisi na Jeshini, ukiwa mkubwa matatizo hayakuhusu, na na ndiyo maana Ujamaa au moja kati ya...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuhudumia, nahisi ni wakati wangu sahihi wa kuanza kuhudumiwa

    Nahisi ni wakati sahihi sasa wa kuumaliza mwendo. Haiwezekani posho yangu ya 135k kwa wiki igombaniwe na kila aina ya rika. Hapo hapo ndugu, jamaa, marafiki, bia, usafiri, vocha, tozo, umeme😥 Halafu hapohapo bado kuna mpenzi🥺 huyohuyo mpenzi mara aje na matawi yake ya hela ya kusuka, kubandika...
  6. Poker

    JamiiForums Tanzania Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

    Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill. Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia. Nadhani ni...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tribute to Silent Heroes & Heroines: Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till D-Day!”. Je Huu Sio Ubaguzi?!. Why Only Some but not All of Them?!

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili iliyopita. Naendelea na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo ikiwa ni makala ya Tribute to certain Silent Heroes and Heroines, na kuipongeza “Idara” kwa kuwahudumia wastaafu wake hadi mwisho!” kifoni, lakini nina swali, nikiamini binadamu wote ni...
  8. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

    Mirathi ya marehemu Dkt Mengi imezua balaa baada wasimamizi wake kuburuzwa mahakamani kwa tuhuma za kukataa kuwahudumia watoto wa Mengi aliozaa na Jacqueline Ntuyabaliwe. Kesi hii imefunguliwa ikiwa mke huyo mdogo wa Mengi akiwa amezuiwa kukanyaga Kilimanjaro hata kwenda kusafisha kaburi la...
Back
Top Bottom