kuhamishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gulio Tanzania

    Nilichokiona Iringa sakata la machinga kuhamishwa maeneo ya mjini kimenisikitisha

    Machinga niliowaona hapa ni zaidi ya watu elfu tano hii ni wilaya moja tu hivi tunakwenda wapi kama taifa idadi kubwa. Je, Tanzania nzima machinga wangapi? Tuna ardhi nzuri, mito na maziwa nini kifanyike nani wakulaumiwa. Je, wananchi wanashindwa kuzitumia fursa huko zilizopo ama ni serikali...
  2. benzemah

    Askari anayenyanyasa wananchi kuhamishwa kituo cha kazi, kunajenga picha gani?

    Jumatatu 20 Februari 2023, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuwa limewafukuza kazi Askari wake sita mkoani Arusha (ambao hawajatajwa majina yao) katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya Jeshi hilo. Siku moja baadae, Jumanne 21...
  3. Mystery

    Ni sababu zipi za msingi zilizosababisha Wakuu wa Wilaya wengi kiasi hiki kuhamishwa vituo vyao vya kazi?

    Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi. Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi? Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya...
  4. GENTAMYCINE

    Tajiri wa Morogoro Abood najua leo una Furaha kwa Adui yako mkubwa DC Msando Kuhamishwa

    Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama. Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
  5. mdukuzi

    Muda muafaka mchungaji Mastahi kuhamishwa KKKT Kimara

    Viongozi wa kanisa kama mlivyofanya kwa mchungaji Kimaro fanyeni na kwa mchungaji Wilbroad Mastahi wa kimara KKKT. Huyu mchungaji anaonekana ana ushawishi na ni mpenda naendeleo, amepadilisha sana Kimara, sasa ni muda muafaka kutumia uzoefu wake wa kimara kuboost makanisa mengine. Mpelekeni...
  6. Satoh Hirosh

    Stendi ya Mbagala Rangi Tatu kuhamishiwa Kijichi, sababu ni nini?

    Leo asubuhi nimepishana na mabasi mengi sana ya mikoa ya Kusini pamoja na basi ndogo za Mkuranga na Kibiti yakielekea stendi ya Kijichi. Nikamuuliza mtu mmoja imekuwaje leo haya magari yanaenda Kijichi badala ya Mbagala rangi 3? akajibu magari yote ya mikoani yanayoanzia Mbagala Sasa hivi stendi...
  7. GENTAMYCINE

    Je, kuhamishwa hamishwa Wizara kwa Bashungwa ni dalili ya Ufanisi mkubwa au 'Tunabeti' tu Uwezo wake?

    Nipo tayari kusubiria Majibu yenu (Mirejesho yenu) ya Kutukuka Great Thinkers wa JamiiForums niyasome na Nielimike zaidi.
  8. Kijakazi

    Wamasai 150,000 kuhamishwa kwa nguvu!

    Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat? Mji wa Moshi wote una wakazi laki mbili fikiria Wamasai laki moja na nusu ni kama ufukuze wakazi karibia wote wa mji wa Moshi, This is insane, hata...
  9. Lyetu

    Tujadiri kuhusu wakazi wa Mwanza wanaoishi milimani kuhamishwa

    Habari za usiku wapendwa katika bwana. Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana. Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema. 98% ya...
  10. Mpwayungu Village

    Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake. -------- Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
  11. figganigga

    ‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

    Salaam Wakuu, Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitendo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao. Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro. Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aambiwe...
  12. figganigga

    Mizengo Pinda: Wananchi wa Loliondo wanaohofia kuhamishwa, wasiwe na Wasiwasi (Machi, 2013)

    Salaamm Wakuu, Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo wanaohofu kwamba Watahamishwa. Tuisome kwa Pamoja na tutafakari, je kulikuwa na Lazima ya kutokukaa meza...
  13. A

    Prof. Shivji: Kwanini zoezi liwe la haraka kuwahamisha? Ni kweli Wamaasai wameshirikishwa?

    Heri ya siku kuu na mapumziko, Nikiwa nafatilia ITV leo katika kipindi cha Dakika 45, profesa shifji kajadili mambo mengi, ika mimi naleta la wamasai kuhamishwa Ngorongoro. Anasema mwaka 1958 walihamishwa kutoka serengeti kwenda Ngorongoro kwa ahadi ya kutokuja kuhamishwa tena na serikali ya...
  14. sky soldier

    mwanaume mkristo anaenyimwa unyumba, mke hawawezi shiriki tendo, kuhamishwa mkoa kikazi, na hurusiwi kuongeza mke, mnakabilianaje na hii hali

    Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo. Unakuta -Mke anakunyima game maksudi kabisa - Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa -Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma. .... Na hurusiwi ongeza mke. hii hali dhambi ya uzinzi inaepukika?
  15. F

    Tetesi: Luhanga Mpina kuhamia upinzani 2025. Lipo lengo maalumu linapangwa

    Habari zenu wadau wa JF siasa. Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025 Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya...
  16. J

    Msigwa amhoji Tundu Lissu kupinga Wamasai kuhamishwa Ngorongoro, Lissu akosa majibu

    Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine. So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya...
  17. M

    Ni Vigezo gani Mtumishi was Umma anaweza kuhama au kuhamishwa kabla hajakamilisha miaka mitatu kituo kimoja!?

    Nafahamu kuwa ili Mtumisshi awez2 kihama kituo chake Cha kazi no sharti awe amekaa.k2a.mida usiopunguaa miaka 3,vinginevyo mwajiri ndiye amhamishe! Je Standing Order inasemaje iwapo Mtumishi ana matatizo ya kifamilia ambayo no Genuine mfano ...kuumwa,kuuguliwa nk !
  18. JOHNGERVAS

    Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Habari wakuu, Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas. Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye...
Back
Top Bottom