kugomea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Shukran vijana wa Tanzania aka Gen Z kwa kugomea maandamano ya 9/12

    Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!! IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa...
  2. K

    GE2025 Kanisa Katoliki toeni tamko ya kugomea chaguzi za kitapeli

    Tumesali novena sawa lakini ni unafiki kwenda kwenye chaguzi ambazo kwa kila namna hazina maana na tayari tume imeweka mfumo wa kura fake. ! Sasa wakatoliki twende kupiga kura fake! Toeni tamko tuache uoga na unafiki
  3. Chadema msimpe nafasi ya kugomea Urais Gwajima

    Naongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu. Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe. Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho...
  4. Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

    "Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi. Hawa...
  5. Zamelek Apewa points 3 na magoli 3 baada ya Ahly kugomea Cairo Derby

    Ahly wamegomea kuleta timu uwanjani kwakuwa FA ya Egypt walikataa ombi la Ahly ya kuleta waamzi kutoka Ulaya Ahly waliwaomba FA ya Egypt ilete waamzi kutoka Ulaya kuchezesha Cairo Derby Kwakuwa Ahly hawana Imani na waamzi wa ndani Lakini wenzao Zamalek walikuwa tayari kuleta timu uwanjani na...
  6. Sababu halisi za Simba kugomea mechi ni hizi hapa.

    1. Kamati ya ufundi kutoka Kahana kuzuiwa kwenda kufanya kazi yake kiwanjani. 2. Kipa Kamara na Che Malone Kukosekana kwenye mechi kubwa kama Ile. 3. Aziz Ki kumbe hakuwa mgonjwa, atakuwepo. 4. Mechi kuchezwa telarehe 8 siku ya jumamosi. Sababu nyingine zooote hizo ni uongo na visingizio TU, na...
  7. Almasi Kasongo na wenzako wa TPLB mnatuharibia mpira wetu mnatakiwa mjiuzulu hakuna kanuni inayoruhusu timu kugomea mechi wa kunyimwa kufanya mazoezi

    Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4) Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maofisa wa mchezo na vyanzo vingine,kamati ilibaini kua klabu ya simba...
  8. S

    Hakuna kanuni inayoibeba Simba kugomea Mechi

    Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo inagomea mechi kutokana na makosa ya Kikanuni😀! Ukitaka...
  9. M

    Simba barua yenu ya kugomea mechi ina mkanganyiko mkubwa,,mjitafakari kabla hayajawakuta

    Barua hii iliyoandikwa na Simba Ina mkanganyiko sana sijui wamekurupuka ama vipi,,nimeisoma vizuri mstari baada ya mstari na nimeona wamejichanganya pakubwa! Kwanza nukuu ya kwanza hii hapa;- 1) Nukuu''katika sintofahamu iyo Simba iriarifiwa na meneja wa uwanja kuwa hana maelekezo ya kamishna...
  10. Chikulupi Kasaka Achukua Fomu ya Kugomea Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Chikulupi Njelu Kasaka ambaye ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe 14.08.2024. Chikulupi Njelu Kasaka amechukua fomu katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa...
  11. R

    Kisa Cha kondakta anayepanga kugomea kukabidhi gari Kwa mmiliki.

    Haya mambo ya sikukuu haya!! Baada ya nauli kupanda sana, wanaukoo tukashauriana tuliumie basi letu la ukoo katika safari yetu ndefu mbele yetu, tukachangishana, tukawasiliana na mmiliki na kushirikisha wakubwa wengine katika ukoo, ukatengezwa mwongozo wa SHERIA na KANUNI za safari na mchakato...
  12. Dodoma: Wanafunzi 17 wadaiwa kutimuliwa baada ya kugomea somo lililofutwa na Serikali

    Wanafunzi 17 wanaodaiwa kusoma kozi ya Afya ya Jamii (Community Health) katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi (Decca) ambayo ilifutwa tangu mwaka 2019 wameiomba Serikali kuwapatia sehemu ya kuishi wakati wakisubiri hatima yao baada ya kufukuzwa na uongozi wa chuo hicho. Wanafunzi hao...
  13. Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

    Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo. Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani...
  14. K

    Mtoto kugomea shule akiwa kidato cha Nne

    Nipo hapa Dodoma eneo la Kisasa karibu na block F, Block F ni eneo ambalo wanakaa watu wengi wa kipato cha chini. Kuna binti alibahatika kufaulu hadi kufika kidato cha nne2023! Sasa cha ajabu alitoroka na kurudi, lakini hataki tena kuendelea na shule hadi wazazi wake wamempeleka polisi na...
  15. Arusha: Aliyemuua mwanaye kwa kugomea Jando ahukumiwa Kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watatu wakazi wa mkoani Arusha akiwemo baba aliyemuua mwanaye wa kidato cha pili baada ya kugomea jando. Hukumu hizo zimetolewa leo Jumatano Februari 15, 2023 baada ya watuhumiwa hao kutiwa hatiani na mahakama hiyo katika...
  16. Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

    Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika. Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao wataamua kuchukua fomu za kugombea urais kupitia upande wa pili. Wananchi walio wengi wamekumbwa na...
  17. M

    Ngoja tuone kama Saudi Arabia itaendeleza uthubutu iliyouashiria kwa kugomea matakwa ya Marekani

    Marekani inajiamini kuwa inaweza kuitishia nchi yoyote kama itaona kuwa inataka kufanya jambo ambalo litaathiri maslahi ya Marekani, hata kama jambo hilo ni kwa manufaa ya nchi hiyo. Hapa duniani ziko nchi ambazo zimedhihirisha uthubutu wa kuiambia marekani ikome kuingilia maamuzi yao na...
  18. Morrison kawapiga kanzu CEO wa Simba na wote walioamini kwamba kugomea release letter ndio kumzuia kucheza Yanga

    Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba. Mwenye Nguvu mpishe tu. Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita. Walitaka kumkomoa Morrison kwa kumpunguzia mshahara na kumnyima release letter ila wakili msomi kawaumbua.
  19. Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

    Huyu kichaa ataachiwa apigane mwenyewe.... Kuna wanajeshi wameamua liwalo na liwe hawapigani. _________________ More Russian soldiers refuse to fight in Ukraine Prepared to face consequences, many Russian troops are disobeying their officers and are not willing to go to Ukraine...
  20. Ligi Kuu Bara: Kocha Afungiwa Miaka Mitano Kwa Kushawishi Wachezaji Kugomea Mchezo

    Mbwana Makata Kocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wa Mbeya Kwanza wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo tukio lililosababisha mchezo wa timu yao dhidi ya Namungo FC kutofanyika. Kamati ya Saa 72 ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…