Ndugu zangu Watanzania,
Dorothy Semu aliyekuwa ametangaza kugombea Urais Kupitia Chama chake cha ACT WAZALENDO.
Je anajiondoa ili kumpisha Luhaga Mpina?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
GTs,
Mpina hana uwezo wa kujenga hoja.
Hivyo kushinda urais ni ngumu mno.
Alipaswa abaki kwenye ubunge tu.
Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
1. Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozi. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine.
2. Tunataka Mtoto/mwenza wa Kiongozi asigombee ili tupate nini?. Amevunja kufungu gani cha Katiba?
3. Kama lawama tuzipeleke kwa Walezi/Wazazi wetu kwa...
Miongoni mwa hoja zilizoibua mjadala mkali kutoka kwa Balozi Polepole ni hili swali aliloliuliza: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?
Balozi ameeleza kuwa, pamoja na kuwa kila mtu ana haki ya kugombea, KUTOSHEKA ni msingi mojawapo wa misingi ya uongozi katika...
Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa"
"Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
bunge la chama kimoja
chama kimoja
familia
haya
humphrey polepole
jeshi
kugombea
ndugu
nyie
polepole
polisi
saidia
ubunge
udiwani
utitiri
uwajibikaji
viongozi
vyeo
zamu
zao
CCM Ina wenyewe kwa kweli.
Mtu mmoja, kateuliwa:
1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini
2. Kateuliwa kugombea ubunge viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro
3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake.
Vituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka.
Uliza ana umri Gani na watoto wako...
Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza kugombea tena urais Oktoba mwaka huu akiwa na umri wa miaka 83, licha ya ahadi yake ya awali ya kuachia nafasi kwa viongozi wapya. Uamuzi wake unakuja wakati wapinzani wake wakuu kama Laurent Gbagbo na Tidjane Thiam wamezuiwa kugombea, hivyo kumpa...
Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂
Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6. January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole...
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025.
Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la uchaguzi nchini humo yalikubaliwa.
Hakuna sababu iliyotolewa kwa uamuzi wa kutomruhusu Kamto kusimama...
Hii ni kwa sababu:
1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili.
2. Katiba Mpya ni kipolo chake ambacho angependa kukimalisha kabla haya ondoka.
3. Ngwe ya mwisho ni...
Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili kumalizia kipindi cha awamu ya tano ya uongozi.
Hadi sasa, bado tupo katika awamu ya tano. Awamu ya...
Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini.
Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo.
Swali langu kwa wanamoshi ni hili:
Je...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
Wakuu
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu...
Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!.
Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga,
Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi.
Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele.
Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
Naomba wanasheria na wadau wengine wa mambo ya uchaguzi watusaidie kutupa ufafanuzi juu ya hiili.
Pia, nini maana na wajibu wa kisheria wa wanaoitwa wadhamini ili tuone implication yake katika sheria na zoezi zima la uchaguzi wa Raisi.
Na je, kisheria, kuna uhusiano gani kati ya sheria ya...