NCHI INAZIDI KUFUNGULIWA, UKIZUBAA SHAURI YAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Naona nchi inazidi kufunguliwa, wageni Kutoka Nchi za ng'ambo wanazidi kumiminika. Majiji makubwa yamesongwa na wageni wa tabaka za Kati na zajuu. Kazi kwenu vijana na wamama kuchangamka.
Nchi ikifunguliwa inakuwa na...