kufundisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Umuhimu wa kufundisha watoto kuogelea kuanzia miezi mitatu

    Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku. Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune...
  2. Walimu sita wanalazimika kufundisha zaidi ya Wanafunzi 700 Sekondari ya Mwabusalu-Meatu

    WALIMU SITA, WANAFUNZI MIA SABA Mwabusalu Sekondari, Meatu Simiyu (Miaka 3, DIV I-0, II-7, III-14, IV-74, O-9) Habari Gani Tanzania? Shule ya Serikali ya Upili ya Mwabusalu (SLP 232) iliyopo Wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu inakabiliwa na uhaba wa walimu kwa miaka mingi sasa. Mwaka huu wa 2021...
  3. Wahadhiri wanastaafu miaka 65 waruhusiwe kuendelea kufundisha kutokana na Uhaba wao

    Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameisisitiza Wizara ya Elimu kuhakikisha wanaliangalia upya suala la Wahadhiri ili waweze kuendelea kufundisha hata baada ya kutimiza miaka 65, kwani wengi wao kwa umri huo ndiyo wanakuwa wamezidi kubobea kwenye taaluma zao. Kauli hiyo ameitoa Bungeni...
  4. Chuo gani ni kizuri katika kufundisha kozi ya Sheria?

    Wadau inakuaje? Ninapenda kujua chuo gani ni kizuri kinachotoa elimu nzuri ya Sheria 'coz mdogo angu anataka ajue mapema vyuo atakavyo-apply. Kaniomba nimsaidie alafu mimi sijasoma kozi kama yake; kwhiyo inaniwia ngumu kutambua. Lakini wadau wa JF hamtashindwa kunisaidia naombeni vyuo vitano...
  5. Nilipokuwa Mwalimu nilionyesha kwanza uwezo wangu wa kufundisha kabla sijaleta ushawishi kwa wanafunzi nilibobea sana kufundisha A level Physics

    Yaani haujashika hata chaki haujaanza hata kuandika wanafunzi hawajakuelewa kuwa unafundisha vibaya au vizuri unaanza kujisifu tu mm ninajua kufundisha bila hata kusolve hata swali moja. Nawashauri waalimu mnapotaka kuleta ushawishi wa namna yenu ya kufundisha fundisheni tu kwa juhudi na...
  6. M

    Natafuta shule nijitolee kufundisha

    Habari ndugu zangu, Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu,natafuta shule yoyoyte , msingi au sekondari dar er salaam, nijitolee kufundisha. Msingi ni masomo yote. Sekondari ni geography, General studies au civics. Natanguliza shukrani
  7. J

    Spika Ndugai: PhD zina manufaa kwenye kufundisha na kutafiti lakini siyo bungeni, Dkt. Ndugulile aliwahi kumuita Waziri Profesa Ziro

    Akimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni. Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa...
  8. Naomba muongozo kuhusu suala hili la kufundisha mtandaoni

    Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye uzoefu wa kuwa tutor (kwa somo lolote) mtandaoni; hususan kufundisha Kiswahili kwa watu wa nje. Ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia? Asante.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…