Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.
Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti.
Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri!
Kenya kwenye burudani kama mpira na...
Pamoja na mabaya mengi yanayotajwa kutoka kwa Magufuli lakini kuna mahali tunafikishwa na viongozi wetu tunadhubutu kusema yule bwana alikua zaidi ya kiongozi.
Kinachoendela sasa Amri ya serikali kufuta baadhi ya vijiji kata kinatoa tafakari mpya juu ya viongozi wetu dhidi ya maazimio yao ya...
Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi mtowa taarifa halafu taarifa yenyewe pumba tupu.
Hivi spika haoni kumkarisha mtu chini wakati alikuwa...
Habari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.
Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD.
Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
Wasaalam.
Nawashukuru watanzania wote kwa ufuatiliaji wa wasilisho la bajeti ya wizara ya jamii 2024/25.
Namshukuru Mungu kwamba, mjadala mkubwa wakati wa uwasilishaji, ni ishara ya elimu kuifikia jamii kwa kina kuhusu kupambana na kutokomeza ukatili wa kijinsia na kudhibiti mmomonyoko wa...
JINA LA MFUMO: JAMII SALAMA (JASA)
UTANGULIZI.
Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na makundi maalumu inakabiliwa na ukosefu wa mfumo bora wa kupata na kufuatilia taarifa za kijamii zinazohusu matukio mbalimbali ambayo yapo kinyume na sheria kitu kinachopelekea watu wengi kufanyiwa...
Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini?
Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini?
Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini?
Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali yanayowahusu makolo, Simbilizi, mbumbumbu au ukipenda waite mazumbukuku academy !!
Kuwa shabiki wa makolo ni...
Hiki kizazi cha watoto wa 2000s kama kinavyoitwa licha ya kwamba sio watoto ila imezoeleka kuitwa hivyo nami wacha nitumie hivyo ili kueleweka zaidi.
Hiki kizazi kwa kweli kinasikitisha sana katika kujikita kufuatilia mambo ya msingi. Ni ngumu sana kutofautisha msomi wa chuo kikuu wa hiki...
Shallom wakuu.
Kutokana na maendeleo ya ukuaji wa sayans na teknolokojia zipo njia mbalimbal za kuzuia uhalifu nyumban kwako au eneo lako la biashara.
Tumekuletea camera nzuri unayoweza kutumia kwa kuinstall nyumban kwako kwa Bei nafuu Sana.
Camera hizi ni ndogo Sana ambazo sirahisi kwa mtu...
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 (jina tunalihifadhi kwa sasa) ambaye inaaelezwa kuwa ana changamoto ya matatizo ya akili amelawitiwa na Wanaume watano.
Tukio hilo limetokea Katika Wilaya ya Hai katika Kata ya Machame, Narumu Mkoani Kilimanjaro limezua taharuki miongoni mwa...
Ili kufuatilia nyendo za Polisi na kuepusha rushwa. Polisi walazimishwe kuvaa body camera ili kufuatilia mazungumzo na mienendo Yao yote ichunguzwe na Mamlaka huru (Independent Police Oversight Authority).
WANAUME WAKUMBUSHWA KUFUATILIA AFYA ZAO KAMA WANAVYOFUATILIA MPIRA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Festo Dugange amewakumbusha wananume kufuatilia afya zao na Afya za Watoto kama wanavyofuatilia mechi za mataifa ya Africa AFCON2023 yanayoendelea nchini Ivory Coast...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini mkoani Manyara Pauline Gekul amewataka wazazi na walezi kufuatilia mienendo ya watoto wao pindi wakiwa mashuleni pamoja na kushirikiana na walimu ili kuboresha mazingira ya Shule pindi inapohitajika mchango wao...
Israel walitoa amri watu waondoke Gaza, amelfu wakatii ila kunao wengi waliona kama mkwara wakabaki, wamelipuliwa wakaanza kutoka nduki, miili ya watoto imetapakaa pembezoni mwa barabara, inataka moyo kuendelea kufuatilia huu ugomvi.
HAMAS popote walipo sijui wanajihisi kivipi au ndio kuendelea...
Ripoti ya African Digital Rights Network (ADRN) inayohusu Nchi zinazotumia Teknolojia ya Ufuatiliaji wa Watu Barani Afrika, imeitaja Serikali ya Nigeria kuongoza katika matumizi ya Fedha zaidi (Zaidi ya Tsh. Trilioni 6.77 ndani ya miaka 10) katika uwekaji wa Mifumo hiyo.
Mifumo inahusisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.