kufikisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa Zushu Na Diamond Anakaribia Kufikisha Billion Moja Alizopewa Kama Zawadi Ndani ya Wiki Moja Wakati CHADEMA Wanaelekea Kukata Tamaa Kukimbia

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
  2. JamiiForums Tanzania Harakati za kufikisha umri wa miaka 100

    Kuishi miaka mingi ni utajiri tosha kwa mwanadamu, kuliko yule aliyekuwa na utajiri mkubwa na kabla ya kufikisha miaka 70 akakata moto. Wapo wanaosema, ili kufikisha miaka mingi inakulazimu kila unapopiga hatua fulani za kimaisha, jitahidi kuishi maisha ya kipato cha chini, kuanzia ulaji...
  3. JamiiForums Tanzania Ambao tunaweza kuunga bao tatu tukutane tupeane mbinu za kufikisha nne

    Heshima ya mwanaume ni kuweza kumudu kuhudumia familia. Watoto na mke wale, watibiwe na kupata stahiki zingine kwa wakati. Pia heshima ya mwanaume ni kumt.... MBA mke au MICHEPUKO mpaka aseme tayari inatosha. Hakuna raha kama kuweza kupiga show kwa ufasaha. Mwanamke ukiweza kumpa mahitaji yake...
  4. JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE iliyobakia kwa Tundu Lissu KUFIKISHA TAARIFA za maumivu anayopitia ukonga ni NJIA ya kanisa katoliki, je Padri unae msalishaga.

    Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao. Hali hii ni tofauti sana mathalani kwa WENZETU makanisa ya kilokole wao viongozi wao uwasikiliza waumini wao. Mfano mtu kama...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imesema tuongezwe mishahara lakini Fanikiwa Microfinance inatuongezea 'target ya kufikisha'

    Kuna Taasisi inaitwa Fanikiwa Microfinance inajishughulisha na utoaji wa mikopo, Makao Makuu yapo Dar es Salaam na pia wana matawi mengi Mikoani. Alipoingia Rais Madarakani waliambiwa waongeze mishaara kufikia laki 6, walipoambiwa hivyo wakatupandishia target kufikia milioni 20 kwa mwezi ili...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo - Kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu

    Habari Samahani naomba utusaidie kufikisha hii taarifa kwa wahusika. Wakazi wa Ubungo kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu, kunakua na gombania. Goli kwamba atakaeweza kuforce kupita ndo huyo huyo. Kwenye makutano ya barabara mwanzo palikuwa na mataa lakini saivi...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu nifanye hatua zipi kufikisha magoli matano?

    Au najidanganya tu wakuu tu wakuu.
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Uume Unashindwa Kusimama Vizuri Baada ya kufikisha Miaka 30?

    Kupiga punyeto (kujichua) mara nyingi huchukuliwa kama kitu cha kawaida, lakini ukweli ni kwamba ni tatizo linalosababisha madhara makubwa kiafya na kisaikolojia. Watu wengi wanaozoea kufanya hivi hawaoni dalili mapema, lakini baada ya muda hujikuta wakipoteza nguvu za kiume wakifika miaka 30...
  9. JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

    Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUCHAGUA Na cha kusikitisha ni kwamba… KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua. Kila jambo unalofanya ni uchaguzi: – Unapochagua kulala badala ya kusoma... – Unapochagua kula bata badala ya kuwekeza... – Unapochagua kulalamika badala ya...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusu MAFANIKIO Unaopaswa Ku-ufahama Mapema Sana Kabla Hata ya Kufikisha Miaka 25. Wengi Hujutia Sana Kwa Kuchelewa Kuufahama

    Ukweli Mchungu ni Kwamba.... Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako kina mzizi mmoja: NAMBA. Na cha kushangaza zaidi? Namba hazidanganyi. Hazisahau. Hazisamehi. Kipato chako ni namba Matumizi yako ni namba Akaunti yako ya benki ni namba Uwekezaji wako ni namba. Na hata kufeli kwako —...
  11. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunafikisha ujumbe wa mabaya yanayofanywa kutoka haya maeneo ya kihistoria, msitaje hayo maeneo bali taja mamlaka hizo zinazofanya mabaya hayo

    Usiseme Iran inaandaa nuclear bali sema IRGC inaandaa nuclear. Usiseme palestine imerusha makombora bali sema hamas wamerusha makombora Usiseme Israel anapigana lebanon bali sema israel anapigana na hezbollah Usiseme Yemen inadungua meli za US bali sema wahuthi wanadungua meli za US Haya ni...
  12. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kurudisha taarifa za brela kila mwaka kwa makampuni yaliyosajiliwa kufikisha kipindi cha kuanzia mwaka mmoja tangu yasajiliwe(brela return)

    BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
  13. JamiiForums Tanzania Nina ndoto ya kufikisha miaka 100 ya kuwa hai duniani

    Habari Wadau see Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁 Yaani niishi hadi mwaka 2100 Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
  14. S

    JamiiForums Tanzania funga maduka ingia barabarani na màbaango yenye kufikisha ujumbe

    watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito.
  15. JamiiForums Tanzania Dunia yaipongeza Tanzania kwa mikakati iliyojiwekea ili kufikisha huduma ya Maji Vijijini

    TANZANIA YANG’ARA AJENDA YA MAJI KWA USTAWI WA WOTE,AWESO ATOA KAULI Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia...
  16. JamiiForums Tanzania Wenye miaka zaidi ya 30, kitu gani unajutia kufanya/kutofanya kabla ya kufikisha miaka 30?

    Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa. Ongezea tujifunze
  17. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Sukari wa Zuchu umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube

    Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa. Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube. Na pia anaingia kwenye orodha ya...
  18. JamiiForums Tanzania LeBron James avunja rekodi yake NBA, ni mchezaji pekee duniani kufikisha Pointi 40,000

    MAREKANI: Nyota wa Mpira wa Kikapu, LeBron James amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kuwa Mchezaji wa kwanza wa Mchezo huo kufikisha Pointi 40,000 katika historia ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini humo (NBA) Mwaka 2023, 'King James' anayeichezea Los Angeles Lakers alimpita nyota...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ukiwaelewa Walimwengu.... hawakupishida

    Kwa jinsi tulivyoumbwa hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, kila dereva anamuona mwenzake hajui kuendesha chombo cha moto.
  20. JamiiForums Tanzania Kutoka Uganda: Nadhani hii ndiyo njia rahisi ya kufikisha ujumbe kwa walioshika mpini

    Nimesoma mahali wananchi waishio kule Gom's maeneo ya Kivule, Chuo cha Biblia, Air wing, relini kuendelea huko mbele. Lakini hata wale wanaotoka Mbeya au Mwanza kupitia ile njia ya Chunya hata kwingine huko ulipo, hii hapa tumia kufikisha ujumbe. Mkipanda mimea mtavuna chakula. ... au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…