kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tunauza Accessories za Computer na kufanya Repair

    Tunauza Accessories za Computer aina zote kama... Battery za Laptop & Macbook Keyboard za Laptop & Macbook Screen za Laptop & Macbook Charger za Laptop & Macbook Housing za
  2. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kufanya maombi ya ajira wa TRA unaleta errors wataalam wa IT wa TRA urekebisheni

    Mfumo unaleta internal saver error. Hapo inakua ni ngumu kufanya usajili ili uweze kufanya maombi ya ajira.
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kawaida kwa mwanamke kukaa miezi 2 hadi 4 bila kupata hisia za kuwa na mwanaume?

    Ivi nikawaida kwa mwanamke ambaye ameolewa kukaa miezi miwili mpaka 4 uko bila kupata feeling zozote Za kufanya tendo la Ndoa na mume wake ?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya USDA kufanya handover

    Kufuatia agizo la Donald Trump kusitisha misaada kwa shirika la USDA, naomba kufahamu yafuatayo:- 1. Je, Kuna shirika ambalo limeshafanya handover? 2. Mali za mashirika zitapigwa mnada au utaratibu wa handover kwa nchi husika ukoje?
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yajipanga kufanya sensa ya viwandani mwakani

    Serikali ya Tanzania imetangaza kufanya sensa ya uzalishaji viwandani kuanzia Machi hadi Juni 2025, ikiwa ni mara ya kwanza kwa sensa kama hiyo kufanyika kwa wakati mmoja Tanzania Bara na Zanzibar. Sensa hiyo ambayo mara ya mwisho ilifanyika miaka 12 iliyopita, inalenga kukusanya takwimu katika...
  6. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa DRC: Viongozi wa Africa hawawezi kufanya maamuzi, waache unafiki

    Iko wazi kuwa kweli banyamulenge wana haki ya kuwa raia wa Congo na kupata haki zao zote za msingi kama raia wa nchi hiyo. Lakini je, inapofikia raia hawana uzalendo tena na nchi ambayo kimsingi ni yao na wanaonesha mapenzi na utii kwa kiongozi wa Taifa hasimu tena mwenye asili yao hao bado ni...
  7. JamiiForums Tanzania Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

    "Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na...
  8. JamiiForums Tanzania Kufanya biashara na wajasiriamali ni kazi ngumu sana

    Hizi ndo hints; 1. Wengi wao wanahali mbaya 2. Wengi wao hawana ela 3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa 4. Wengi wao ni walalamishi. 5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
  9. JamiiForums Tanzania Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania CCM inahitaji kufanya reform

    👉Kwa Nia njema Nina Machache kuhusu maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama changu Cha Mapinduzi (CCM), niseme tu kwamba CCM inahitaji kufanya 'Reform' yaani Mageuzi au Mabadiliko ili kutengeneza ari na mwamko mpya wa Chama na kuleta mvuto kwa wanachama wake pamoja na watu wengine wasio wanachama wa...
  11. JamiiForums Tanzania Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo

    Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka. Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422. Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814. Ukipiga hesabu za...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu zenye kufanya mwenza wako anakutafuta akiwa na matatizo tu kisha anakuacha ghafla baada ya kumsaidia

    SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA Kwanini unapata mwenza ambaye anakukumbuka akiwa na matatizo tu yaani labda anahitaji msaada wa kifedha,anahitaji faraja baada ya kupitia huzuni, majonzi, upweke uliopitiliza ni kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Niendelee kubaki Private institution au niende nikafanye kazi ya mtu binafsi

    Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali. Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania imewahi kupigana vita ya kiuchumi? Inahitaji kufanya hivyo?

    Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga kuku wa Ujerumani wakaanza kulia kuwa kuku wa US wanawafanya washindwe kuuza. Serikali yao...
  15. JamiiForums Tanzania Unakuta tu amefika mji fulani kikazi anaanza kusema "duh huu mji una guest houses nyingi". Sasa unajiuliza jamaa akaenda kufanya sex tour ama nini😂

    Wewe umejuaje ni nyingi,😂😂😂 Shauri yako na wakati huu mtakondeana kama mshumaa kwa maana USAID wamed*nda hawatoi mavidonge ya bure
  16. JamiiForums Tanzania Kufeli kwa biashara zinazoendeshwa na serikali ya TANZATOZO

    TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni 1. Viziwi yaan hawasikii 2. Vipofu yaani hawaoni 3. Bubu yaan hawaongei na 4. Njaa yaani wanawekeza tumboni na familia zao... Mfano wa mradi uliofeli ni huu wa MWENDOKASI. 🤣 Kwa mara...
  17. JamiiForums Tanzania Kuhamasishwa au kuhamasika kufanya kitu ni kama cheche, kinachohitajika ni nidhamu yako juu ya unachikifanya

    Kuhamasishwa au kuhamasika kupitia wahamasishaji "motivational speakers" au njia nyingine yoyote ile ni kama cheche ya kuwasha moto ndani yako na kitakachokufanya uendeleze moto uliowashwa siyo kuhamasishwa ila ni nidhamu yako "discipline" juu ya unachokifanya. Wahamasishaji hufanya kazi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Utamsikia anasema "Wanaume wote ni mbwa. Kama hawezi kunidekeza kama mtoto, kwendraaaaa!!"

  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Waziri wa Biashara kudhibiti Wageni kufanya biashara za Machinga, ahoji vijana wetu watafanya kazi gani?

    Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kinyerezi, Kifuru na Mbezi Mwisho wapi kuna mwamko sana? nataka nifanye biashara

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani? *Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo. PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…