kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

    Wanajamvi salaam! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume...
  2. JamiiForums Tanzania Hali ya kua na mawazo baada ya kufanya ngono

    Mara nyingi mtu hujuta baada ya kufanya ngono isiyo sahihi kwa sababu tamaa huisha, lakini matokeo yake hubaki — hisia za aibu, huzuni, kutotimia kwa matarajio, na hisia ya kujidharau. Mwili hushiba kwa muda, lakini roho huumia kwa muda mrefu. Na mara nyingi hii hali huwakuta watu wenye tabia...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    Wakuu mko salama? Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence) Nini maana ya Queefing?? ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba. Utajiuliza...
  4. R

    JamiiForums Tanzania IGP: Polisi mnaweza kufanya kazi zenu mkiwa marafiki wa Raia wema!

    Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP. Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi. Sijapenda. Ukiwauliza...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamii ya kitanzania hatuwezi kufanya biashara ya kifamilia

    Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini? Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo ana familia kweli? na kama ipo wajitafakari kwa hali hii aliyonayo wanamruhusu vipi kufanya siasa badala kupambania Afya yake

    Naomba Familia ya Mzee Cheyo imzuie Ndugu yao kuangaika na mambo ya siasa ambayo hayana tija kwake. Namshauri apambanie Afya yake kwanza. Itakuwa aibu mzee wao kupata madhara na kumsababishia matatizo zaidi ya kiafya. https://www.facebook.com/share/v/1Akh38Vb5f/
  7. JamiiForums Tanzania Je, huu ndio utendaji wa Jeshi la Polisi? Polisi anajisifia kufanya harassment?

    Je, huu ndo utendaji wa Jeshi la Polisi? Polisi anajisifia kufanya harassment? Hata siamini.. Naomba Neema asipotezwe.
  8. JamiiForums Tanzania Sasa unaambia vijana wasibabaike na kudanganyika na BIASHARA utafikiri sasa wana choice nyingine lukuki za kufanya

    Mi nafikiri tuache ujuaji sana. Experience yako binafsi isiwe ndio hitimisho kuu. Kwa maisha yetu sisi masikini wa kiafrika, fursa ziko limited na expensive maana rasilimali zimekuwa economized. Kijana huyu ambae amekaa miaka 6 hata hajawahi kuitwa katika interview, kijana alieishia forma 4...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kufanya kampeni ni lazima,kwa nini CCM wasisubiri tu mpaka siku ya uchaguzi watu wakawapigie kura

    Niseme kwanza sitoshiriki kupiga kura,lakini naona ni jinsi gani viongozi wanamatumizi mabaya ya pesa,hii gharama ya kuzunguka inchi nzima kwa msafara wa viongozi na wapambe CCM wanashindwa kukaa nyumbani kuokoa gharama halafu wajitokeze tu siku ya kupigiwa na kupiga kura,maana kwa hayo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Mshipa kwa Mzee wa Umri miaka65 hospital Gani nzuri kufanya operation

    Habar wadau msaada wenu,Mzee wangu Umri miaka65 Leo umemkamata Mshipa wakorodani moja kuuma na nyonga kuachia,ikabid awahishwe hospital akapatiwa sindano Mshipa ukapoa, Sasa nauliza tiba yake huwa ni nin,naje hospital Gani nzuri kufanya matibabu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Humphrey Polepole, muda wa kufanya Reform bado upo na Tundu Lissu aachiewe

    Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake. Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama...
  12. JamiiForums Tanzania JAMII CHAT: Uchawi ni sayansi ya kuunda miujiza au ni technique ya kufanya akili kuamini matokeo yametokana na miujiza?

    Karibuni:
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

    Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini? Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga...
  14. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya watanzania kuwa MAMBUMBUMBU sio werevu kama wakenya ,na nini cha kufanya

    Nawasalimu salaam ! Leo niwasanue sababu kubwa ya mnashangaa kwa nini wakenbya wako walivo halafu sisi tumezubaa . utajiuliza inakuwaje watekaji wawili wanaenda stendi kisa wamekuja na gari la STJ wanamchukua baba eneo la wazi kama stendi katikati ya wanaume si chini ya 100 na wanaondoka...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufanya sherehe zinazidi kuchangamka

    Barua hii inajieleza yenyewe.
  16. JamiiForums Tanzania Tujue hule ulienda kufanya nini?

    HAYA KOKOTO ZINAITWAJE KWA KINGEREZA? TUJUE KWELI WAZAZI HAWAKUPOTEZA ADA KWAKO
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanya biashara minadani naombeni uzoefu

    Habari zenu wa JF. Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha. Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
  18. JamiiForums Tanzania Siri ya utajiri ni kufanya yasiyofanywa au kufanya yaliyoshindikana

    Elewa Code halafu tembea nayo.
  19. JamiiForums Tanzania Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

    Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Ithibati ni nini na itakiwaje kufanya kazi?

    ITHIBATI NI NINI NA ITAKIWAJE KUFANYA KAZI? Kumekuwa na mazungumzo mengi mtandaoni kuhusiana na bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, kwenye Kikao cha dharura cha @speshokabwanga Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile anaelezea ithibati ni nini na inafanyaje kazi. Full...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…