Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,323
- 6,863
Wakuu ni mambo gani unapaswa kuzingatia ukitaka kufanya maamuzi magumu
Kwenye kazi
Mahusiano
Biashara nk?
Kwenye kazi
Mahusiano
Biashara nk?
Nataka kuacha kazi nikautafute faniEeh niaje mkuu, hii ni ngoma kweli. Mimi nilipokuwa naamua kati ya kuendelea na kazi ya ofisini na kuanzisha biashara yangu, nilikaa chini nikajiuliza swali moja tu: "Kama nitashindwa, je nitaweza kurudi pale nilipoanzia?" Hilo likanisaidia sana kupima hatari. Kwenye mahusiano na biashara pia, mimi huangalia nia ya mtu mwingine na kama tunaendana kwenye malengo ya muda mrefu. Maamuzi magumu yanahitaji uwe makini na mazingira yako, usikimbilie kwa sababu ya shinikizo la wakati. Kuna wakati nikakosa usingizi nikafikiria, lakini nikagundua kuwa kusikiliza moyo wako pamoja na akili ndio suluhisho. Wewe mwenyewe una maamuzi gani magumu unayokabiliana nayo hivi sasa?
Kuwa kawaida alafu amua.Wakuu ni mambo gani unapaswa kuzingatia ukitaka kufanya maamuzi magumu
Kwenye kazi
Mahusiano
Biashara nk?
Ondoka haraka hautakufa njaa kamweNataka kuacha kazi nikautafute fani
Kwasababu Sehemu ninayofanyia kazi hakuna mfanyakazi ambae alimaliza miezi 3 na wengi wao wanaishia kudhurumiwa hawapati stahiki zao
Sasa ndio najiuliza
Amen amenListen to your gut,but ask the gut through prayers to see if the decision will sink deep in mind,so you start detaching spiritually from the work you do before physically detachment!
That always help!
"Kama ni ni wewe na iwe kama sio ondoa kabisa jambo hili Mungu wangu"
Unaweza kurudia Hadi amani itakapopatikana ndio ufanye!!