kufanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zimamoto kufanya kazi ya uokoaji kwenye migodi ni mzaha, uachwe

    Tanzania ina migodi mingi sana lakini hakuna kikosi cha wataalamu wa uokoaji migodini! Tanzania inauhusiano wa miaka mingi, cha kushangaza imeshindwa kutumia uhusiano huo kwa kuwaomba watoe mafunzo kwa watanzania kuhusu uokoaji migodini. Afrika Kusini inao uzoefu wa uokoaji migodini kwa miaka...
  2. R

    JamiiForums Tanzania IGP: Polisi mnaweza kufanya kazi zenu mkiwa marafiki wa Raia wema!

    Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP. Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi. Sijapenda. Ukiwauliza...
  3. JamiiForums Tanzania Ithibati ni nini na itakiwaje kufanya kazi?

    ITHIBATI NI NINI NA ITAKIWAJE KUFANYA KAZI? Kumekuwa na mazungumzo mengi mtandaoni kuhusiana na bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, kwenye Kikao cha dharura cha @speshokabwanga Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile anaelezea ithibati ni nini na inafanyaje kazi. Full...
  4. JamiiForums Tanzania Mulamula alitolewa Marekani akaja akapewa ubunge na uwaziri ila leo anakatwa juu kwa juu , wasomi muwe makini ni ngumu sana kufanya kazi na akil ndogo

    Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe. In short don't trust politicians hasa ukiwa smart . Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
  5. JamiiForums Tanzania Utaweza kufanya kazi kwenye sehemu kama hii.

  6. JamiiForums Tanzania Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili. Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Samia hataki kufanya kazi na watu wenye IQ kubwa?

    Joseph Gwajima Luhanga Mpina Hersi Said Arafat Haji Byabato Mpango Majaliwa Polepole Lissu Heche Butiku Warioba Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why? Huyu mama anawataka wakina Babu Tale na Msukuma! Sasa namwambia atadondoka nao mwaka huu Kama hakuna reform...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kufanya kazi ya malipo laki na hamsini Kwa mwezi

    Kuna jamaa namshangaa baba Zima eti kazi linalofanya malipo laki na hamsini Kwa mwezi yaani kabisa unaaga familia Yako asubuhi kwamba unaenda kazini kutafuta maipo laki na 50 ndio maana Kila siku jamaa linalalamika mke wake anamsaliti huku wahuni tunaichapa Kwa njaa za mke wake
  9. JamiiForums Tanzania Mpango, Majaliwa na Polepole ni watu walioamua kuacha kuendelea kufanya kazi na utawala huu. Je nini kinaendelea?

    Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka kustaafu kwa hiari cheo icho ambacho amedumu nacho kwa Muhula mmoja wa Urais. Hatujakaa sawa Waziri Mkuu...
  10. JamiiForums Tanzania Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  11. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi private sector bongo unatakiwa uwe na roho ngumu

    Imagine,sasa hivi wenzetu wa government wanawaza mshahara wa mwezi wa 7,sisi huku kwa wachina hatujalipwa mpaka leo tarehe 5 mshahara wa mwezi wa 6. Private bongo ni zaidi ya matatizo.
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata pesa kwa kufanya kazi za kuajiriwa mtandaoni (remote jobs)

    Kama umehitimu chuo kikuu au una certificate kutoka chuo au taasisi yoyote ya elimu ya juu, huu ni wakati wako wa kuchukua hatua ya kujiingizia kipato kupitia kazi za kuajiriwa mtandaoni. Kazi zipi unaweza kufanya 2. Mahali pa kuzipata 3. Jinsi ya kujiandaa 4. Na mbinu za kushinda ushindani...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Kipindi kinakuja huko Mbele Serikali itasaka Watu wa Kufanya Kazi Serikalini Kwa TOCHI?

    Najaribu kujiuliza tu wakuu. Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk. Sasa katika maongezi na dodoso...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  15. JamiiForums Tanzania Webinar kuhusu wanaotaka kusoma na kufanya kazi Ujerumani

    Join us, on Thursday 12th of June 10:00 AM (EAT) this Thursday, 12th of June.for an exclusive webinar featuring a special guest, Mike. Mike has successfully navigated the journey from student life in Germany to a thriving career in Europe. Learn firsthand about university life, application tips...
  16. JamiiForums Tanzania Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

    Habari wana jamvi! Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000. Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000. Kwa mwaka faida inabaki 1.8M.. - Nimegundua bado nahitaji...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

    Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
  18. JamiiForums Tanzania Panya 100 Wafuzu, waenda Ughaibuni kufanya kazi

    Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amesema kupitia mradi wa kufundisha wanyama (APOPO) hususan Panyabuku wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo(SUA), panya 100 wamefundishwa na kufuzu na kupelekwa nchi mbalimbali. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Zipi faida na changamoto za kufanya kazi chini ya wahindi, wasomali &waarabu?

    Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu. NB: No place for racism
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada wa Kazi – Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali

    Habari wakuu! Pooleni na majukumu ya kazi, bila kupoteza muda ningependa kuandika ujumbe wangu moja kwa moja. Ninapitia changamoto kubwa ya kipato kwa sasa, huku nikiwa na familia inayonitegemea ya mke na mtoto mmoja. Najua maisha ni kupambana, na ndiyo maana najitokeza kwa unyenyekevu kuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…