kufanya biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Wafanyabiashara Walia na Wageni Kufanya Biashara Kariakoo, Faini Ndogo

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi kuchukuliwa na serikali kuahidi kuongeza usimamizi. Mbali na malalamiko hayo, wafanyabiashara hao pia...
  2. youngkato

    Hatua za Kupata Leseni na kufanya Biashara ya Kuuza Nafaka (Mazao)

    Ngazi za Biashara ya Mazao Ngazi ya Kaya Hapa ndipo wakulima wadogowadogo huzalisha kwa ajili ya familia na ziada kidogo kuuza sokoni. Ngazi ya Wakulima Wakubwa na Makampuni Wao hulima kwa wingi kwa ajili ya biashara, kuuza ndani na hata nje ya nchi. Ngazi ya Usindikaji na Uuzaji Baadhi...
  3. M

    Uliwahi fanya biashara na mtu mliyekutana kupitia mitandao ikageuka Sinema? Eleza mkasa wako hapa!

    Mteja aliyenipeleka kwa wakili kwa ajili ya Radio Nilipomaliza chuo, nilikuwa natafuta mteja redio, nikapata mteja mmoja wa ajabu sana. Nilikuwa nauza redio kwa shilingi elfu 30 tu, lakini jamaa akaniambia, “Twende kwa wakili tusaini mkataba!” Nilidhani anatania, kumbe yuko siriazi kweli ...
  4. didy muhenga

    Rwanda yashika nafasi ya 38 duniani kwa kuanzisha biashara. Yaizidi Portugal, Belgium, Netherlands na nchi nyingi

    Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa. Tanzania imeshika nafasi ya 141 huku majirani Kenya wakiwa nafasi ya 56 na Uganda nafasi ya 116...
  5. youngkato

    Faida za kufanya Biashara kama kampuni

    1. KAZI NA MIKATABA (Tenda) Ukisajili biashara yako kama kampuni, nafasi ya kupata kazi kubwa za mkataba (contract au tenda) huongezeka mara nyingi zaidi. Makampuni na taasisi nyingi hupendelea kushirikiana na kampuni badala ya mtu binafsi, kwa sababu kampuni huonekana kuwa na uwajibikaji na...
  6. Muuzaji Mkuu

    Muongozo kamili: Kufanya biashara ya mbao za mpaina kutoka Njombe kwenda mikoa mingine kama Dar es Salaam,Dodoma nk

    NYARAKA MUHIMU ZINAHITAJIKA ILI MBAO ZISAFIRISHWE BILA USUMBUFU KWENYE VITUO VYA UKAGUZI NJIANI ‎ ‎ 1️⃣ Certificates (Vyeti) ‎ ‎✓• Taxpayer Identification Number certificate (TIN) – Cheti cha mlipa kodi kutoka TRA. ‎✓• Business License / Registration Certificate – Leseni ya biashara. ‎...
  7. jamaikatz

    Mikoa 7 huwezi kufanya biashara kama huna mganga wa kweli

    1.Njombe 2.Mbeya 3.Mwanza 4.Katavi 5.Rukwa 6.Dar 7.Simiyu
  8. Kazanazo

    Hivi kwanini jamii ya kitanzania hatuwezi kufanya biashara ya kifamilia

    Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini? Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya...
  9. youngkato

    Kwanini ni Muhimu kufanya Biashara kama kampuni?

    Kwanini ni Muhimu kufanya Biashara kama kampuni? Pia inaonyesha jinsi kampuni inaweza kufanya biashara nyingi chini ya jina moja na kufaidika na masharti ya kodi yanayoruhusu kutoa gharama halisi kabla ya kulipa kodi. Nafasi Kubwa ya Kupata Kazi na Tenda Kufanya biashara kama kampuni...
  10. U

    Mliowahi kufanya biashara minadani naombeni uzoefu

    Habari zenu wa JF. Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha. Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
  11. McLaren

    Baada ya Tanzania kubania wageni kufanya biashara nchini, Kenya imejibu mapigo

    Siku chache baada ya Serikali ya Tanzania kutangaza kanuni mpya za leseni za biashara na kodi, Kenya imepinga hatua hizo ikizitaja kuwa za kibaguzi na tishio kwa mshikamano wa kiuchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Kenya kupitia Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda imesema ina...
  12. O

    Vijana tumejiandaa vipi na fursa zinazotokana na wafanyabiashara wa kigeni waliozuiwa kufanya biashara nchini?

    Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu
  13. Mmawia

    Wafanyabiashara ndogondogo wa Kenya wacharuka baada ya Tanzania kuzuia wageni kufanya biashara ndogondogo

    Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania. Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
  14. L

    Kama Unataka Kufunga Biashara Yako au Kupumzika Kufanya Biashara Kwa muda Fulani, Fuata hatua hizi

    Kama ukisajili biashara yako Brela na ukatalka kufunga au kuacha kufanya kwa muda hizi ni hatua za kufuata; 1. Funga jina la biashara Hapa Kuna processes kadhaa -Log in kwenye account yako ya Brela -Chagua new services -Chagua business name cessation Brela watakutaka uandike sababu ya wewe...
  15. Mowwo

    Hii ni Maalum kwa Wafanyabiashara wa sasa au wanaotarajia kufanya biashara siku za usoni

    Wakuu Kama wewe ni mfanyabiashara jiandae kwa kuingia gharama hizi katika uendeshaji(zote ni za serikali ispokua # moja) 1. Kodi ya Frame – Malipo ya pango kwa mwenye jengo la biashara. 2. Kodi ya TRA – Kodi ya mapato au VAT inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania. 3. Leseni ya Biashara –...
  16. youngkato

    Huruhusiwi kufanya biashara TZ kama hauna hivi vigezo vya kupata reseni

    1. Kuwa na TIN kutoka TRA Moja ya vigezo vya msingi kabisa ni kuwa na Hati ya Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TIN ni ushahidi rasmi kwamba biashara yako imetambuliwa kisheria kama inayopaswa kulipa kodi. Bila TIN, huwezi kusajili biashara yako...
  17. youngkato

    Umuhimu wa kuwa na leseni ya biashara

    Unataka biashara yako itambulike kisheria, iaminike na ufanye biashara yako bila wasiwasi? Basi LESENI YA BIASHARA ni kitu cha lazima kwa mafanikio yako! Na kwa sasa TUNAKUPA OFA YA KUPATA LESENI KWA HARAKA NA GHARAMA NDOGO SANA Kwa nini Leseni ya Biashara ni Muhimu? 1. Unatambulika kisheria...
  18. Champion_Boy

    Msaada wa hatua za kufuata ili kufanya Biashara ya Internet

    Hivi karibuni nimepata wazo la kufanya Biashara ya Internet ISP akiwa TTCL kwenye maeneo ya Sokoni au Center zenye watu wengi kwa kuweka WiFi mteja atalipia kwa njia ya Vocha (number maalumu) mfano kwa Masaa 12 kwa Sh 1000 au 500 kwa masaa 6 n.k Hivyo ni hatua gani za Kufata kwa kuanzia na eneo...
  19. Surya

    Kwasasa kuanza maisha kwa kufanya Biashara ili ufanikiwe unahitaji Nguvu ya ziada

    Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia... Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote...
  20. Right Marker

    Sahau kufanya biashara na mwanaume anayekwambia 'Subiri nimshirikishe mke wangu'

    Madalali watakuwa wameshanielewa. Ni ngumu sana kufanya biashara na mwanaume anayekwambia usubiri akamshirikishe mke wake ili mkewe atoe "Go ahead" ndipo mfanye biashara. Hiyo si biashara tena, ni mahaba😀 Hakuna ambaye hajui kuwa asilimia kubwa ya wanawake sio risk taker, wengi ni waoga ingawa...
Back
Top Bottom