kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ni sharti gani ambalo mganga alikupatia na ukashindwa au kukataa kuendelea nalo

    Karibu vijana wa jadi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika. Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ndolezo Petro: Kuendelea kuwakamata Viongozi wa NETO ni kuvunja Katiba ya Uhuru wa Kujieleza

    Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO. Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu...
  4. haszu

    JamiiForums Tanzania Aliezaa na miaka 30 na kuendelea, msimuite single mother, hakutaka kukosa yote.

    Sasa mtu ukute amesoma, ila ajira hana, mume wa kumuoa hana, anafika miaka 30, window ya kupata kupata ujauzito inazidi kushuka, mnataka afanye nini? Kuliko kukosa vyote anaamua japo apate faraja ya mtoto. Msiwasakame sana hawa waliozaa kuanzia 30 na kuendela, wamejifanyia uokozi. Sitetei...
  5. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania M23 yazitaka taasisi za kiserikali kuendelea kutoa huduma

    Jeshi la M23(siliiti kundi tena, kwa walivyofanya, wana hadhi ya kuitwa wanajeshi), huko Kivu kusini, limezitaka taasisi zote za kiserikali kuendelea kutoa huduma kama kawaida. Kuna taasisi ambazo, wafanyakazi walikimbia na kwenda mikoa au nchi jirani, wengine wakienda Kinshasa jijini. Baada tu...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi: CCM kuendelea kuimarisha ushirikiano wa ndani na nje

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. CCM ambacho ni chama tawala nchini kimeeleza kuwa kitasimamia Serikali...
  7. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni busara kuendelea kiujumla na mipaka iliyoachwa na Wakoloni kwa nchi huru za Africa baada ya uhuru?

    Mojawapo ya maazimio na makubaliano ya mwanzo kabisa waliyowafanya viongozi wa nchi za Africa zilizojipatia uhuru miaka ya 1960's ni kuendelea kuheshimu mipaka ya nchi iliyoachwa na wakoloni. Haya makubaliano ya kiujumla jumla hivi yalikuwa sahihi ukizingatia mipaka ya mataifa ya Africa...
  9. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Ezekiah Wenje ana sifa zote za kuendelea kuwa Mwanachama wa CHADEMA, akifukuzwa na Mbowe afukuzwe

    Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM, Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni...
  10. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB kuendelea kutumia njia mbalimbalimkuifikia Jamiii

    Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Khamis amesema Tume inaendelea kutuma njia mbalimbali za kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora ili wananchi waweze kutambua haki na wajibu wao. Hayo alisema Januari 23, 2025 wakati akitoa elimu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Polisi Kuendelea Kusimamia Usalama Shughuli za Vyama vya Siasa Bila Kujali Itikadi: Bashungwa

    POLISI KUENDELEA KUSIMAMIA USALAMA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA BILA KUJALI ITIKADI: BASHUNGWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa...
  13. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Dear ex kwanini mnapenda kuendelea kuhudumiwa kipesa licha ya kuachana

    Happy new years guys 2025!... Mwak jana mwishon niliachan na mrembo wangu ambae kwaukweli tulizoean sana na kupendana. Kumuacha ilibd kutoka na sababu zangu ambazo zili base kiakili (logic thinking).(Niliamua kurudiana na mawatoto wangu) Nikafany maamuZ ya kihisia bado nitaendelea kuw nawe lkn...
  14. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania HOJA NGUMU: Kutetea FAM kuendelea kusalia madarakani ni sawa na kukiri CHADEMA ni chama kilichosheheni vilaza

    Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu. Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20 Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili...
  15. Dear_me_

    JamiiForums Tanzania Naweza kuendelea nilipo ishia kwenye kwenye ufuatiliaji wa passport ta kusafiria

    Habari za muda huu wana jF ningependa kuuliza na kujua Je kama nimeshalipia control number ya passport online nika downlaod na form na imepita miezi sita je nikitaka kwenda kwnye ofisi ya uhamiaji inanibidi nianze upya ufuatiliaji (kulipia 20,000 ) kwenye control number.? au nitaendelea nilipo...
  16. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Tambua mifumo mikubwa inayofanya watanzania kuendelea kuwa masikini!

    Masikini wataendelea kuwepo lakini ujue masikini ni mtaji wa matajiri. Tajiri kamwe asingependa masikini ajikwamue atoke kwenye umasikini, hivyo mifumo imetengenezwa kuendelea kumfunga masikini ili asione wala kusikia ukweli kuhusu hali yake ya umasiki na akijaribu kujitambua na kupambana...
  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Msumbiji kuapishwa Januari 15, 2025 licha hali ya machafuko kuendelea nchini humo

    Baraza la Katiba (CC) limetangaza rasmi kuwa Rais Mteule, Daniel Chapo ataapishwa Januari 15, 2025 kuwa Kiongozi wa Taifa hilo, licha ya wito wa Wananchi, Wapinzani na Jumuiya za Kimataifa kudai Uchaguzi uliompa ushindi haukuwa wa Haki, Huru na Uwazi. Ushindi wa Chapo umeibua Mgogoro na Vurugu...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Aliye na sababu ya kuishi yupo tayari kuvumilia hali yoyote kuendelea kuishi, ni kitu gani kinakupa sababu ya kutaka kuendelea kuishi?

    kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k. Sababu ya kuishi kwa kuogopa kifo ni kwa kila kiumbe, hata panya akibanwa kwenye kona hupata ujasiri wa ajabu wa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu nataka kufanya biashara ya viatu vya kike. Naombeni ushauri

    Habari waungwana mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu na ninaitaji kufnya biashara ya viatu vya kike nifanyaje
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kabla ya Uchaguzi Mkuu, viongozi wafuatao hawatakiwi kuendelea na nyadhifa zao. Hawana sifa na wamepoteza mvuto kwa jamii

    ( 1) Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, anaonekana kama Wizara ya Fedha ni mali yake na ni kama aliyemteua kapigwa upofu huyu mtu ni hatari sana katika kusimamia mambo ya fedha za nchi na Kuna viashiria vingi vya ufisadi tunahisi huenda Kuna Siri kubwa kati yake na aliyemteua...
Back
Top Bottom