Wakuu
Siku moja mara baada ya vyama 14 vya siasa nchini kutangaza rasmi kuunda umoja wao kuwa vitashiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Chama cha Wananchi CUF kimetangaza kutoungana na chama chochote cha siasa kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi yoyote ya uongozi.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi Bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi.
Akizungumza mkoani...
Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema utekelezaji wa ujenzi wa daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 umefikia asilimia 21 unatekelezwa kupitia fedha za dharura zilizotolewa na bank ya dunia kupitia dirisha la Contigency Emegency response component (CEC)kwa gharama ya...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi-TPDF) yenye urefu wa kilometa 16.4 kwa kiwango cha lami ifikapo mwezi Disemba, 2025.
Ulega ametoa maelekezo hayo...
Katika mwaka wa fedha 2025-2026 Serikali imetenga Sh bilioni 123.93 kwa ajili kuimarisha huduma za matibabu ya ubingwa na ubingwa bobezi pamoja na kuimarisha tiba utalii nchini.
Hayo yameelezwa leo Julai 2,2025 na Waziri wa Afya,Jenista Mhagama wakati akiwaslisha bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka...
Wakuu
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini.
Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu...
Serikali imejipanga kuhakikisha huduma ya maji inaimarishwa kwa wananchi walioamua kuhamia eneo la Msomera, Handeni.
Naibu Katibu Mkuu Bi. Agness Meena akiongea kwa Niaba ya Waziri wa Maji kuhusu huduma ya maji amesema kazi kubwa inafanyika kuhakikisha miundombinu ya maji inafika katika maeneo...
Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya kata hiyo Myunga wilayani Momba mkoani Songwe.
Akizungumza katika...
Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge lengo ikiwa ni kuendelea kuwasaidia wanafunzi hao kuendelea kupata huduma ya umeme na maji pindi umeme unapokatika.
Mavunde akizungumza baada ya...
Wakuu
Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii?
"Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani"
"Wabunge hawa...
Wakuu
Kutokea kijiwe cha Mwembe Yanga, Temeke - Dar es Salaam :- BanduBaba mdau kutokea kijiwe cha Mwenye Yanga akitoa mazito kuhusu viongozi walivyo sahau changamoto za wananchi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na mifumo madhubuti ya kiutawala na kiutendaji ambayo amedai kuwa kwa sasa haipo.
Heche ameyasema hayo...
Leo nimeikumbuka kauli ya aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa CHADEMA aliyeko Korokoroni Tundu Lissu ambaye alisema wajibu wa kikatiba wa bunge ni kuisimamia na kuishauri Serikali, Wajibu wa bunge sio kuishangilia au kuimba mapambio kwa serikali kama ilivyo...
"Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
"Ni mwanachama wa CCM, lakini nimepata mualiko wa katibu mkuu. Wote ni mashuhuda wa kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi katika kusimamia ilani ya michezo na mafanikio yote tunayoyapata yanaanzia hapa na tumpongeze mwenyekiti wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri na...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza TANROAD na TARURA kuhakikisha wanawasimamia wakandarasi ili waweze kutoa ajira kwa wananchi wazawa pindi wanapotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja.
Waziri Ulega ametoa agizo hilo tarehe 27 Mei 2025 alipotembelea na kukagua mradi wa...
Mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo, Halima Yusuph Nabalanganya, Mei 22, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini kupitia chama hicho.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Halima amesema hatua hiyo inalenga kuomba ridhaa ya wanachama wa ACT-Wazalendo ili aweze...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche ameeleza kwanini wanaona ajenda ya No refoms No election ni muhimu kwa sasa. Anaanza kwa kuhoji,
1. Je, tunachokipigania ni cha kweli kwenye ajenda ya No Reforms No election? Ni kweli, Uchaguzi wa nchi hii...
Serikali imethibitisha kuwa inaendelea na hatua za awali kuelekea ujenzi wa daraja la kudumu linalounganisha Kijiji cha Negero katika Wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, ili kuboresha miundombinu na kuchochea shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa eneo hilo.
Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa TACTIC awamu ya kwanza.
Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, Mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.