kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  2. Just Pray

    PreGE2025 Wananchi bonde la Uyole waanza kumchangia fedha ya fomu Spika Tulia ili agombee ubunge jimbo la Uyole

    Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye baadhi wananchi kutoka Uyole wameanza kumchangia fomu Cc Stuxnet ===== Wakati vuguvugu la kisiasa...
  3. Just Pray

    PreGE2025 Amos Makalla: Wananchi wa Buchosa msimhukumu mbunge wenu kisa ubovu wa barabara

    Wakuu, Kwakweli hatutakiwi kuwachekea na kuwaonea huruma hawa wabunge, wasiotimiza tunachohitaji wananchi, wanataka tusiwahukumu, ili tuendelee kuteseka huku wao wanateleza na matumbo yao. ==== Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, amewataka wananchi wa Buchosa...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Lembruce Mchome licha ya kuonekana mkutano wa CHAUMMA, asema bado ni Mwenyekiti CHADEMA adai, Akidi haikutimia kumvua uanachama

    Wakuu Lembruce Mchome, anasema yeye ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Mwanga, kwa sababu idadi ya watu iliyotakiwa kumvua uanachama haikutimia.
  5. W

    PreGE2025 CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA, Yasema kama ni kuiua CHADEMA ingewekeza nguvu kwa Zitto Kabwe

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), hususan kiuchumi. Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamehoji chanzo cha fedha za CHAUMMA na kasi ya...
  6. Nipe Maji

    PreGE2025 Picha: Hii ndiyo miradi inayotarajiwa kupitiwa na mwenge wa uhuru, Ruangwa 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma, amefanya ziara ya kukagua na kuhakiki miradi mbalimbali ya maendeleo itakayopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 pamoja na barabara zitakazotumika katika mbio hizo. Ziara hiyo imefanyika leo Mei 21, 2025, ambapo Ngoma ametembelea maeneo...
  7. Just Pray

    Hotuba hii ya Nyerere, hakika alikuwa mdau aliyependa mabadiliko ya Sheria Mbovu kwenye chaguzi, angekuwepo leo angeihubiri 'No reforms No election'

    Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election' === Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Devota Minja mkutanoni CHAUMMA, asema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi labda kuwe na vita

    Wakuu Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
  9. Just Pray

    PreGE2025 Waziri Bashe amuomba Spika Tulia akagombee ubunge jimbo la Uyole na si Mbeya Mjini

    Wakuu Watu wa uyole wamefikiwa sasa, Stuxnet upo wapi, Spika Tulia Akson Mwansasu atakubali kuliachia jimbo la Mbeya mjini uchaguzi wa mwaka huu akagombee Uyole? Waziri wa kilimo Hussein Bashe leo Mei 21, 2025, katika mkutano wa 19 wa Bunge la 12, jijini Dodoma, akiwasilisha hotuba ya bajeti...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Video: Shamrashamra Ubungo Plaza, CHAUMMA pameanza kuchangamka

    Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na...
  11. Just Pray

    PreGE2025 Amkeni: Serikali imetoa Tsh. bilioni sita kujenga ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Dar, yatoa magari 2 ya milioni mia sita

    Wakuu, kuna uhitaji au ulazima wowote wa kujenga ofisi mpya za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam zikiwa zimetolewa bilioni sita sasa, Ofisi zilizopo sasa zina changamoto gani mpaka kutaka kujenga ofisi mpya? == Serikali imetoa fedha shilingi Bilioni sita, kwa ajili ya kujenga ofisi mpya ya Mkuu wa...
  12. Nipe Maji

    PreGE2025 Waziri Mkuu: Tume Huru ya Uchaguzi imeshatuambia uchaguzi upo, chama kinachotaka kwenda kiende

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wananchi kuwa makini na kauli zinazotolewa na watu mbalimbali kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, akisisitiza umuhimu wa kuchuja maneno na kulinda mshikamano wa taifa. Akizungumza katika mkutano wa hadhara leo...
  13. Just Pray

    PreGE2025 Heche aitaka nyomi iliyojitokeza mahakamani leo, kurudi tena Juni 02, 2025, asema mikutano ya 'No reforms No election' inaendelea kama kawa

    Akisisitiza kuwa hakuna kutetereka wala kuogopa, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche akiambatana na Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe. Tundu Lissu, amefurahia sana wingi wa wananchi waliojitokeza leo Mei 19...
  14. Just Pray

    PreGE2025 Walioondoka CHADEMA, UWT Njombe yawakaribisha CCM yasema wasije na vurugu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Njombe Dkt. Scholastika Kevela amewataka viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Njombe waliojiondoa na Chama hicho kujiunga na CCM akidai kuwa Chama chao kina utaratibu wa kusikilizana. Dkt...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Kilimanjaro: CHADEMA yajaza nafasi zilizoachwa na viongozi waliojivua uanachama

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro kimejaza kwa muda nafasi mbalimbali za uongozi kufuatia kujitoa uanachama kwa waliokuwa viongozi. Waliojitoa unachama ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa, Gervas Mgonja, Katibu wa Mkoa Basil Lema, pamoja na viongozi wengine...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Peter Msigwa: Nawashauri G55 waje CCM, hawana ushawishi kuendeleza siasa za mageuzi

    “Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo” “Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Katibu wa CHADEMA Bariadi na wengine 83 wajiunga na CCM

    Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Bwana Charles Nduhi Lyaganda amejiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM akiambatana na Wanachama wengine 83 wa Chama hicho. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Kadi ya CCM, Lyaganda amewaambia wananchi kuwa...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti UWT Njombe asema watailinda CCM kwa gharama yoyote ile kama Simba na Yanga

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Dkt. Kevela...
  19. Just Pray

    PreGE2025 Makalla: Kuna mgogoro mkubwa ndani ya CHADEMA, inaenda kufa, Heche msitafute mchawi

  20. Just Pray

    PreGE2025 Julius Mwita aliyeondoka CHADEMA asema alikuwa anazuiwa kuingia ofisi ya Lissu, pia alikuwa hapendwi

    "Mwenyekiti wa sasa alisema ataishughulikia sekretarieti, na bahati nzuri watu waliamua kujishughulikia wenyewe na asilimia 90 ya wajumbe wa sekretarieti ya CHADEMA waliondoka wenyewe hawakufukuzwa, kwa mazingira yale unaishi katika kipindi hupendwi wala huthaminiki," - Julius Mwita aliyeondoka...
Back
Top Bottom