Serikali imesema katika kipindi cha kuanzia Novemba 2020 hadi Februari 2025, jumla ya ajira 8,084,204 zimezalishwa nchini. Kati ya hizo zipo zitokanazo na sekta rasmi na isiyo rasmi.
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka...
wakuu
Ivi karibuni kumekuwa na mikutano ya vyama siasa ila sijasikia kuhusu mazingira?
Hawa akina Heche,Makala,wasira na Lema wanaosema kuhusu ajira,elimu,na barabara na afya wanajua chochote kuhusu mazingira?
Hawajui kwamba utekelezaji wa mambo hayo yanahitaji mazingira hawasemi kuhusu jinsi...
wakuu
Ni kama October Tunatiki imeanza kupenya na No Reforms No election inasahaulika
=====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Katavi Ndg. Amir Said Katalambula amewasihi Wananchi wa Mkoa wa Katavi kupiga kura za kishindo Kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kutokana na...
wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata"
=====
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika;
"Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika...
Diwani wa Kata ya Swaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Shaban Saleh Nduta, ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 11 Juni 2025, akitoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza mbele ya umati wa wananchi na viongozi wa chama, Nduta amesema uamuzi...
Na Askofu wa dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake wa Facebook anaandika,
DUNIA BILA MUNGU na WAPINZANI BILA CHAMA
Ukipenda ubishi, jiepushe kuwa na hasira. Siku moja nusura nizichape na rafiki yangu Mwislamu. Akaniuliza; nyie Wakristo mnasema Yesu alikufa...
No Tundu Lisu No problem makamu mwenyekiti wa Chama Cha demokrasia na maendeleo John Heche, anaendelea kuonesha kuwa yeye sio makamu kivuli wa Chama ni mtu wa mabadiliko.
Wakuu
Manaenda naye?
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaendelea kukumbwa na changamoto za ndani baada ya Mahakama Kuu kutangaza kusitisha shughuli zake za kisiasa kwa kipindi cha siku 14.
Kesi hiyo yenye namba 8323 ya mwaka 2025, imefunguliwa na mwanachama wa chama hicho, Said Issa Mohamedi pamoja na...
Mwalimu wa Dini ya kiislamu na mtaalam wa Dua Shekhe Abuu Jadawi amewataka kuachana na watu wanaoisukuma ajenda ya No reforms No election na kudai kuwa wametumwa na wanafanya Kwa maslahi yao, akisema kuwa mbwa wanopanda juu ya mtu kuwa si kawaida na kama amepanda amepandishwa na mtu.
Aidha...
Mchungaji mstaafu wa kanisa la kiinjili la kilutheri( KKKT) nchini Mchungaji Richard Hananja amechukizwa na kauli ya Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe ya kumwita Mbunge huyo wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro" akiwa madhabahuni kuwa ni matumizi ya madhabahu kama sehemu ya kufanya...
Wakuu!
Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi ambavyo baadhi ya wabunge wetu bado hawajafahamu vizuri majukumu yao ya msingi kama wawakilishi wa wananchi.
Katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia changamoto nyingi kama ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, ubovu wa miundombinu, huduma duni za afya...
Wakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani wasiotaka uchaguzi watajua wenyewe.
Akizungumza kuelekea uchaguzi mkuu Sillo amesema jambo la msingi...
Wakuu
Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) linaloendeshwa kwa kodi zetu watanzania limethubutu kufunga comments kwenye mtandao wake wa Instagram eti kwa sababu tu wananchi wanaihubiri "NO REFORMS NO ELECTION" Kwa kutoa maoni kwenye taarifa wanazozipakia.
Shirika linaloendeshwa kwa kodi zetu...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma, ili kukabiliana na foleni za magari.
"Naomba nichombeze, tumejenga SGR Dar es...
"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia...
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Catherine Magige, amechangia sare 1,300 zenye thamani ya shilingi milioni 35.1 kwa wajumbe wa Baraza la UWT Mkoa wa Arusha.
Magige alikabidhi sare hizo mbele ya wajumbe wa baraza hilo lililofanyika mkoani Arusha...
Akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mollel Papaa, wilayani Babati, mkoani Manyara leo, Jumatano Juni 04.2025 Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla amesema fulamu ya 'The Royal Tour' iliyofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa...
Ni mimi tu au kuna wengine mnaoweza kutuelezea yani wanabomoa hapa wakisha bomoa wanakwenda kwengine yani kama vurugu.
Ni kwamba haya ni kwa ajili ya kuzindua kampeni zenu CCM kuwa mnajenga barabara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.