kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    Wananchi wenye lafudhi ya kisukuma waliopewa baiskeli za CCM wasema Luhaga Mpina hakukosea, aliongea mambo ya msingi

    Wakuu, Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu. Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya...
  2. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi adai Mpina ni dikteta, hafai kuonewa huruma

  3. Nipe Maji

    PreGE2025 Zaidi ya shilingi bilioni 107 zatumika usambazaji umeme vijijini Simiyu

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetumia takribani shilingi bilioni 107.36 kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote 474 vya Mkoa wa Simiyu. Kapinga ameyasema hayo leo Juni 18, 2025 wakati akitoa tathmini ya hali ya upatikanaji wa umeme Mkoa wa Simiyu...
  4. DuaZaMama

    PreGE2025 Ado Shaibu: Wezi Wa Kura washughulikiwe kama Wezi Wengine

    mwizi wa kura ni kama mwizi anayevunja duka, kuiba fedha na kufanya matukio mengine kama hayo hivyo anapaswa kushughulikiwa kama wezi wengine. Akizungumza leo Juni 18, Katika viwanja vya Bakhresa, Manzese Ubungo Dar Es Salaam, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu Ado amesema...
  5. DuaZaMama

    Viongozi Msiopenda kuulizwa nyie ni akina nani?

    wakuu ===== Viongozi wengi nchini Tanzania wakiulizwa kuhusu ukweli wa mambo wameonakana kuwa wakali sana ivi kiongozi asiyependa kuulizwa jambo anafaa kuwa kiongozi wa wananchi kweli? Tumsikilize dada yetu kwa umakini sana Amewagusa viongozi ambao hawapendi kuulizwa
  6. DuaZaMama

    PreGE2025 Slogan ya kazi na Utu isonge mbele ndani ya mitano tena

    Shekhe wa wilaya ya meatu, Juma Kizeba maarufu JJ leo alipopewa nafasi ya kutoa , sala fupi kwa niaba ya waislamu wote, mbele ya Rais akiwa ziarani mkoani Simiyu, amemwombea Rais umri mrefu ili aendelee kutimiza slogan ya kazi na utu ndani ya miaka mitano ijayo.
  7. Nipe Maji

    PreGE2025 Mbunge wa viti Maalum Neema Mgaya atangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine viti maalum uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025

    Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Njombve Neema Mgaya ametangaza Rasmi kuchukua fomu ya Kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa October 2025. Neema amesema hayo alipohudhuria baraza la UWT wilaya ya Njombe lililofanyika June 13,2025 mjini Njombe.
  8. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Deo Mwanyika: Nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka na nina uhakika, nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka

    "Mimi niliwaahidi Wananjombe kuwa nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka, Sasa Wananjombe wenyewe wanasema tunakuhitaji kwahiyo nitagombea (tena) kwa ajili ya Wananjombe kwanza, Mimi sigombei kwa ajili yangu, kwanza kwa ajili yao; na Mimi nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka...
  9. DuaZaMama

    PreGE2025 Said Goha: Mnaowatumia Wapambe Kufanya Kampeni, Kanuni ziko wazi Vikao Vya Uchujaji

    Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Said Goha alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Mkoa ambapo alikuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyeuliza kuwa "ni kweli CCM Imezuia kampeni kabla ya wakati, je CCM inasema nini kuhusu wapambe hao?" Katibu Goha alieleza kiundani...
  10. DuaZaMama

    PreGE2025 Wasira: Katika Afrika hii tuyoijua hakuna Chama kikubwa kuliko CCM

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira ameeleza mambo mbalimbali yanayoifanya CCM kuwa idumu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  11. DuaZaMama

    PreGE2025 Salim Faraj Abri Asas: Mtaitwa na wengi na kipindi hiki mtakuwa na 'press conference' nyingi

    MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Faraj Abri (ASAS) amewakumbusha wanachama wa chama hicho ambao wana dhamira ya kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi kupitia mwamvuli wa CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuepuka kutumia mwanya huo kuwashambulia watia...
  12. DuaZaMama

    PreGE2025 Kikwete: Nchi ni tulivu, mambo safi chini ya Rais Samia

    "Nakupongeza sana kwa kazi kubwa unayoendelea kufanya nchini katika maeneo mbalimbali, katika nyanja mbalimbali. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia na kwa hii ambayo tumeona leo, kwanza kuhusu uwanja wa ndege, uwanja wa ndege wa Msalato umekuwa ni dhima ya viongozi...
  13. DuaZaMama

    PreGE2025 Salum Mwalimu Katibu Mkuu CHAUMMA: Yaja siku CHADEMA watataka kufanya kazi na CHAUMMA

    Dhoruba iliyotokea sisi wengine tukasema hapana. Tukasema hapana kwasababu tunazizuia akili zetu zisitawaliwe na mihemko, tunazizuia akili zetu zijawe na sifa za kuja mbele za watu na kupigiwa makofi huku tukijua hatuna namna yoyote ya kuwasaidia watanzania, tukakataa, ndio sababu tukasema...
  14. DuaZaMama

    Maaskofu 500 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima watinga Mahakamani kufuatilia kesi ya Kanisa kufungiwa

    Mawakili wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania, Peter Kibatala na Gloria Ulomi wakiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo. Wengine ni viongozi wa dini mbalimbali wakiwemo wa kanisa hilo waliofika kusikiliza shauri hilo. Msajili wa Jumuiya za...
  15. DuaZaMama

    PreGE2025 Jimbo la Singida Mjini kuwaniwa na vijana

    Wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likitarajiwa kuvunjwa rasmi katika siku chache zijazo, taswira ya kisiasa katika baadhi ya majimbo inabadilika kwa kasi, huku majina mapya yakianza kujitokeza na kuchukua nafasi kubwa kwenye mijadala ya...
  16. BigTall

    Edo Kumwembe: Viongozi wa Nchi Masikini wanapenda sana ufahari, alichokisema Tarimba si kipaumbele cha Mtanzania

    Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye...
  17. DuaZaMama

    PreGE2025 Mwigulu Nchemba: Nina imani kuwa katika uchaguzi huu CCM haitapoteza JIMBO lolote wala KATA yoyote, tunaenda kushinda kwa kishindo kikubwa

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba akiwasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2025/2026 "Nisisitize tena, Serikali chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi imedhamiria kwa dhati kuhakikisha maendeleo...
  18. DuaZaMama

    Pensheni kuongezwa kwa asilimia 150 wanaolipwa na hazina

    Bajeti ya Serikali mwaka 2025/2026 imetangaza neema ya kuongezwa kwa pensheni wanaolipwa na hazina kwa asilimia 150. Akiwasilisha bungeni bajeti ya mwaka husika leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hatua inatokana na Serikali ya Awamu ya Sita inatambua umuhimu na...
  19. DuaZaMama

    Watu Wakizoa Sukari Ajali ya Morogoro

    Katika hali ya isiyo ya kawaida watu Mamia ya watu wameonekana wakizoa Sukari iliyomwagika barabarani baada ya kutokea ajali Katika eneo la Lugono_ Melela barabara ya Morogoro-Iringa Leo Juni 12 ,2025. Ajali hiyo imehusisha Lori la Mizigo lililobeba Shehena ya Sukari Lenye namba za usajili...
  20. DuaZaMama

    PreGE2025 Mzee Wasira: Uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi. Amesema lengo la uhuru ni...
Back
Top Bottom