Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfuko wa Ubunifu wa Samia “SAMIA Innovation Fund” wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 utakaotoa mikopo nafuu kwa wabunifu kwa lengo la kuendeleza na kubiasharisha ubunifu pamoja na kutoa fursa za ajira kwa watanzania kupitia kazi za ubunifu.
Waziri wa...
"wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali...
Kata ya Mtumba yanufaika na ujenzi wa barabara pamoja na kalavati kwa gharama ya shilingi 73,000,000 kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa usafiri na usafirishaji katika eneo hilo.
Hayo yalielezwa na Diwani wa Kata ya Mtumba, Edward Maboje alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
Kata ya Mtumba, Halmashauri ya Jiji la Dodoma yapatiwa jumla ya shilingi 83,000,000 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuboresha maisha yao.
Hayo yalielezwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Mtumba...
“Jumla ya miradi ya maji 2,331 imekamilika ambapo 1,965 ni ya vijijini na 366 ni ya mijini na hivyo kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji vijijini kutoka wastani wa asilimia 70.1 mwaka 2020 hadi asilimia 83 mwezi Desemba, 2024 na maeneo ya mijini kutoka wastani wa asilimia 84 hadi asilimia...
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa, Kuruthum Issa Runje, imefanya ziara maalum Wilayani Kilwa kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020–2025...
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) mkoni Rukwa limetoa wito kwa wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi ili kupata viongozi bora watakaojali maslahi ya wafanyakazi na kuleta maendeleo ndani ya nchi.
Hayo yamebainishwa na mratibu wa TUCTA mkoani...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC Jaji Jacob Mwambegele amesema tume hiyo imeanza awamu ya pili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ikihusisha mikoa 15 mzunguko wa kwanza huku huku akiwataka wananchi ambao hawakuboresha taarifa zao awamu ya kwanza watumie nafasi...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema mtu yeyote asiwagombanishe wananchi kwa sababu wakigawanyika hakuna maendeleo yanayoweza kufanikiwa.
Shigongo amesema atatangulia mbele ya wananchi waliomchagua na kwamba kama ni kuumia, yupo tayari kuumia kwanza kabla ya wananchi wake wa Buchosa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Njombe, Seth Vegula, amesema kuwa kama viongozi wa chama, wameguswa sana na hali ya sasa ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa CHADEMA ni chama kilichosajiliwa kwa mujibu wa katiba na hivyo kina haki zote za kikatiba kufanya...
“Kwa masikitiko sana wako watu wanaozunguka huko mataani kuwadanganya Watanzania na wanawaambia kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi, kimsingi Naibu Spika ukiangalia mabadiliko wanayoyasema ni mabadiliko ambayo mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utashi wake mkubwa wa kisiasa aliamua...
“Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
Dc wa Singida - Godwin Gondwe amesema kitendo cha Rais Samia kuadhimisha siku hii kubwa Singida na kujenga uwanja mkubwa kwa siku chache, wana Singida wanasema hawamdai chochote Rais Samia.
Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wafanyakazi wanafurahishwa na maboresho wanayofanyiwa na Serikali ya awamu ya sita.
Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 1, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ mkoani yanayofanyikia kitaifa mkoani Singida ambapo mgeni...
Wakati Taifa likingoja uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema hatarajii kuona wafanyakazi wanabaki nyumbani siku itakapowadia.
Amesema wafanyakazi wana nguvu ya kuiweka Serikali madarakani hivyo wanapaswa...
Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameapa kuwa hatorudi nyuma katika kuhamasisha vijana kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za Udiwani na Ubunge katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, licha...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla akizungumza na wakazi wa Temeke Aprili 30.2025 amewashukia wale wote wanaobeza maendeleo ya jiji la Dar es Salaam, kwa kusema kuwa watu hao hawajui historia ya jiji hilo na hatua ya kimaendelea iliyopigwa kuanzia kipindi cha...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameviita vyama vya upinzani nchini Tanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, akieleza kuwa hata mabadiliko wanayoyataka na kuyahimiza ya kisheria na kimfumo yatapatikana ndani ya bunge hilo na siyo...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa, ameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), akisema zinadhoofisha jitihada za Asasi za Kiraia katika kuchangia maendeleo ya taifa.
"Tumeona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.