kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini, Humphrey Nsomba achukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini

    Mwenyekiti wa Ccm Mbeya Mjini Humphrey Nsomba amechukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  2. Just Pray

    PreGE2025 Emily Sanga ajitosa kuwania Ubunge jimbo la Uyole kushindana na Tulia Akson

    Emily Noah Sanga amechukua Fomu kugombea Ubunge katika jimbo jipya la Uyole. Itakumbukwa pia Tulia Akson Mbunge wa Mbeya mjini anayemaliza muda wake alitangaza nia ya kugombea ubunge kupitia jimbo la Uyole
  3. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Lema amesema Maria Sarungi ni msaliti anaitafuna CHADEMA ndani kwa ndani

  4. Just Pray

    PreGE2025 Mtangazaji wa Azam Tv, Hasheem Ibwe atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga, Kilimanjaro kupitia CCM

    Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. == MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.... Salamu kwa Vijana wenzangu, Huu ni wakati wa...
  5. Just Pray

    Oscar Oscar: Kwa mahitaji ya Dunia ya leo, kusoma na kuandika haipaswi kuwa moja ya Sifa ya mtu kuwa Mbunge

    Kwa mahitaji ya Dunia ya leo, kusoma na kuandika haipaswi kuwa moja ya Sifa ya mtu kuwa Mbunge. Walau Shahada ya kwanza ya Chuo Kikuu inaweza kusaidia. a
  6. R

    PreGE2025 Dakika za jioooni, Eric Shigongo aweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa, Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi, iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao Hatua hiyo imepongezwa na wananchi wa Kisiwa cha Soswa ambapo...
  7. DuaZaMama

    PreGE2025 Kitwana apiga marufuku matangazo na picha za makaratasi za wagombea

    Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Unguja Mheshimiwa Idrissa Kitwana Mustafa amepiga marufuku matumizi ya picha za makaratasi kwa wagombea katika maeneo yota ya mkoa huo huku akitaka watumie picha za kidigitali ili kuleta haiba nzuri ya mji. RC Kitwana ametoa maagizo hayo wakati akizungumza na...
  8. DuaZaMama

    PreGE2025 Mchakato wa CHAUMMA kupata mgombea Urais nchini kuanza

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa Tanzania kupitia chama hicho, pamoja na kupitisha ilani ya uchaguzi, utafanyika baada ya kukamilika kwa mikutano ya awamu ya pili ya Operesheni C4C. Kalenda ya kumpata mgombea huyo, imesogezwa mbele...
  9. DuaZaMama

    PreGE2025 Zawadi wanazotoa Wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni Rushwa au la?

    Hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya Wabunge wanaojitokeza katika majimbo yao na kuanza kutoa misaada mbalimbali, pia kuna Wanasiasa ambao nao sio Wabunge lakini hawakauki kwenye majimbo. Wengine wanakuwa mbele ya kamera na hadharani kabisa wanatoa zawadi mbalimbali kwa Wananchi au makundi...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Wasira: 'No reforms no Election' si hoja ya kisiasa ni kuvunja katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza...
  11. DuaZaMama

    PreGE2025 UVCCM Chato yawaonya wanaopanga njama kuvuruga uchaguzi mkuu

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Chato Mkoani Geita, wametoa Msimamo wao na kuvionya baadhi ya Vyama vya Siasa ambavyo vimekuwa vikipanga njama za kufanya vurugu kwa kuwatumia vijana katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, kuacha mara moja kwani watasimama katika kuhakikisha...
  12. DuaZaMama

    Baadhi wanawake DAR wafanya dua kuliombea Taifa amani

    Baadhi ya wanawake Mkoa wa Dar es Salaam wamefanya dua maalumu ya kuwaombea viongozi wakuu wa nchi Rais Dk.Samia Suluhu Hassan na Rais Dk.Hussein Mwinyi na kuliombea Taifa liendelee kuwa na uhuru na amani iliyopo. Wanawake kutoka makundi mbalimbali waliungana wakiwemo wale Mahujaji waliotoka...
  13. DuaZaMama

    Mchengerwa: Wakileta pesa zao pokeeni lakini kura kwa mchengerwa

    Wakuu ===== Leo nimeamka na CCM, Nasikia sikia kuna watu wanapitisha viela vyao ili kuwadanganya,naomba niwaambie kitu kimoja,wakileta hizo pesa zao pokeeni na kuleni lakini ikifika wakati wa kupiga kura basi kura zote kwa Mchengerwa. "Hao wanaoleta hizo pesa nadhani wanatoa sadaka na nyie...
  14. W

    PreGE2025 Wabunge Wameamka, Miaka yote Mitano walikuwa wapi?

    Wakuu, Katika kipindi cha wiki moja tu, mbunge mmoja ambaye kwa muda wa miaka mitano alikuwa kimya na asiyeonekana mara kwa mara katika shughuli za maendeleo, sasa ameibuka kwa kasi ya ajabu. Swali la msingi ambalo linaibuka kwa wananchi ni hili: Mbunge huyu alikuwa wapi kwa miaka yote mitano...
  15. DuaZaMama

    PreGE2025 Ahmed Misanga: Tusijiweke nyuma tukashiriki uchaguzi mkuu

    Mgeni rasmi katika hitimisho la Tamasha na Kongamano la Waislamu Ahmed Misanga, akizungumza na washiriki 1,800 wa tamasha hilo kutoka mikoa ya Tanzania Bara, pamoja na mambo mengine Misanga ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akagusia kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  16. Just Pray

    Video: Wananchi Kisesa wamshangilia Luhaga Mpina wagoma kutawanyika baada ya mkutano

    Wakuu, Wananchi wa Kisesa wanaonekana wana mahaba na mbunge wao licha ya kuchabangwa na Rais. Umati mkubwa wa wananchi wa Mwandoya waliokuwa wamehudhuria mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, wameshindwa kujizuia kwa furaha waliyonayo, na kujikuta wakimsindikiza hadi...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Mwanafunzi UDSM: kusipokuwepo uwajibikaji mwananchi ndiye anadhurika, No reforms, No election itaiwajibisha serikali

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

    Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa. Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na...
  19. DuaZaMama

    Mrisho Mpoto akienda kupokea bahasha kutoka Kwa Rais Samia

    Wakuu ===== Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂. "Ni mwendo wa Ngiri Mkia juu" Huyu Mjomba ni msanii hata mbele ya bahasha, anaweza kucheza hadi pesa...
  20. Mindyou

    PreGE2025 Rais Samia: Waganga wa Kienyeji, mgombea akija na fungu, wewe kula; lakini…

    Wakuu, Akizungumza leo kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya ZIWA, leo tarehe 21 Juni, 2025, Rais Samia amesema: "Ombi langu hasa kwa viongozi hasa wa kimila, waganga wale wa kienyeji ombi langu, kipindi hiki wanaoomba kupata nafasi mbalimbali watawatembelea na wanapo watembelea...
Back
Top Bottom