kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Polisi kushirikiana na nyumba za ibada ili kuzuia vitendo vya kihalifu kuelekea msimu wa sikukuu

    Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali. Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuichukia na kuilaani taifa stars kuelekea AFCON

    Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea mwisho wa mwaka 2025: Wapi umefanikiwa, umefeli wapi na umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?

    Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani? Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1 Itolewe kwa Uharaka Dar es Salaam, 12 Disemba 2025 Na. 028 Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo ya kiroho kuelekea Desemba 09 huko Tarime

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida afisa mmoja wa polisi Tarime mkoani Mara ameshambuliwa na nyuki hadi kupoteza maisha akiwa kwenye mgahawa wa chakula mjini Tarime, tukio hilo lilitokea siku ya jumamosi Disemba 6 mwaka huu kwenye moja ya migahawa maharufu mjini hapa, hata hivyo chanzo...
  6. JamiiForums Tanzania Waraka wa mwisho kuelekea 9 desember (siku ya ukombozi)

    Asalamaa aleikuh Bwana yesu asifiwe Natumai wote ni wazima kuelekea siku ya ukomboz ambayo ni kesho Ningependa kuwausia machache wala si mengi kama waraka wenu kwenye Kesho ni siki kubwa ya kuanza maisha mapya ya hofu na kutawaliwa kama watumwa na mkolon au siki ya heshima tarehe 29 ndugu...
  7. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto

    Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto. Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati wowote kuelekea Desemba 9

    "Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tushauriane vya kudownload kabla ya changamoto za Internet Desemba 9

    Changamoto kama hii ina uwezekano mkubwa sana kutokea na ikawa ya siku nzima hadi wiki kama ilivyokuwa Mo29. Tushauriana vitu vya kudownload na machimbo yake.
  10. JamiiForums Tanzania Kuelekea D9 hofu yazidi kuongezeka watu wanatest mitambo

    Maandamano ya amani yanawezekana. Mbezi sijui yaliyoanza na.kuisha
  11. JamiiForums Tanzania MAGUFULISM- Falsafa Mpya kuelekea Afrika huru Kiuchumi || Vita ya Kiuchumi dhidi ya Propaganda.

    Hatimaye Kitabu cha MAGUFULISM- Falsafa Mpya kuelekea Afrika huru Kiuchumi || Vita ya Kiuchumi dhidi ya Propaganda kimetoka katika mfumo wa nakala tete (Soft Copy). Kitabu hiki kimesheheni mambo mengi unayoyajua na usiyoyajua kuhusu Dr. John Pombe Magufuli na falsafa ya MAGUFULISM kwa Ujumla...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanazuoni wa Kiislamu: Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi ambaye ni Mkatoliki katumwa na Fr. Kitima na viongozi wa Kikatoliki ndio maana yupo kimya?

    Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake. Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi wa kikatoliki.
  13. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Wazee wa Dar es Salaam wataweza kupunguza juhudi ya Gen-Z kuelekea D09?

    Je, maagizo yatakayotolewa leo kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakazungumze na watoto wao na wajukuu wao waachane na D9, ya Kwamba wanatumika vibaya na kulipwa mabeberu, njia hii itasaidia maandamano yaliyoandaliwa D9 kutofanyika??? Pili, kwa wale watakaoshiriki maaandamano hayo, ataagiza...
  14. JamiiForums Tanzania The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

    Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo yanaweza kuanza mapema kabisa kuanzia tar 5 na tarehe 9 ikawa ni kilele na hitimisho Hii ni mada...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Waongezeeni mishahara Polisi kuelekea Desemba 9 (D9)

    Kama kicha kilivyo kichwa cha habari tunaomba sana sana waongezewe mishahara wale polisi waliokuwa front line siku ile tarehe 29 Oktoba, Tena na wapande cheo , ushauri wangu tuitishe haramabee ya wafanyabiasha na sisi wananchi ili kila pilisi aliyepiga risasi sahihi yaani za kichwa apate angalau...
  17. JamiiForums Tanzania Niliyoota jana usiku kuelekea 9 Dec

    Kuelekea 9 DEC Nimeota maandamano yatakuwepo na maeneo yatakayoshambuliwa zaidi ni misikiti na makanisaa ila ni ndoto tuu ya kupuuzwa.
  18. JamiiForums Tanzania Vita bado mbichi kuelekea DESEMBA

    Unavyozidi kuwashambulia wapigania haki ndivyo wanazidi kuongezeka.. Sikia dakika mbili hiii 👇🏾👇🏾
  19. JamiiForums Tanzania Kuelekea D9 kampuni za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12

    Tanzania ya Sasa hivi ni ya moto sana, zamani yalipoitishwa maandamano watu walichukulia poa tu, Kwa kujua hakuna atakayetoka. Kilichotokea MO29, kimetoa blueprint ya maandamano nchini. Sasa Toka maandamano ya D9 yatangazwe, serikali imenywea kabsa inaogopa kutoa vitisho,na kufanya mazoezi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

    • BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa (Ikiwa watakataa kubali atatoa fundisho) • Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO • Amemuambia chairman wa DP world kuwa miamala yake ipo wazi (Kampigia simu Leo na kuongea nae kwa simu) • mifumo ya kifedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…