Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji nchini litakalofanyika kitaifa mkoani Simiyu mwezi ujao.
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Mrida Mshota, alisema kongamano hilo, litafanyika kuanzia Mei 15 hadi 18, mwaka huu katika...